ni matunzo mkuu , japo ni kweli huwezi linganisha na toyota .... mimi niliunguza kwa uzembe wangu nina option ya kupeleka engeneering waipeleke standard thrn kufanya overall nikikosa half engine ...Nissan ni mzigo ndugu yangu!
Kwahiyo unatushauri service tufanye chini ya miembe?mnapigwa parefu sana na service mnazofanya kwenye dealerships (stealerships). I pity you.
nunua vipuri, fluids, oil, n.k. maduka yenye kuaminika, au kama unaweza agiza. tafuta mafundi wenye historia nzuri, wanaojua nini wanafanya. wapo.Kwahiyo unatushauri service tufanye chini ya miembe?
Bora niingie gharama sehemu ya uhakika kuliko kuingia hasara maradufu chini miembe
Ungesema hivyo sasanunua vipuri, fluids, oil, n.k. maduka yenye kuaminika, au kama unaweza agiza. tafuta mafundi wenye historia nzuri, wanaojua nini wanafanya. wapo.
Jamaa katili wewe..[emoji23][emoji23][emoji23]Basi unakosea mkuu, kama vipi anza mtindo mtindo wa kupunguza bolts kwenye chuma yako cause hata ikipelea bolt moja au mbili life litasonga...
Anzia kwenye matairi kisha nenda mpaka kwenye steering wheel , shock absorber /spring na kwingine kote...
Then utanipa majibu...
Ni kweli mkuu ila asante sana nimefanikiwa kupata kingine sasa hivi nimebaki na tatizo moja ambalo bado linanichanganya kidogo nilikuwa nikikimbia speed ikifika 120 gari ina vibrate sana pia nikishika brake napata iyo vibration hadi sterling inavibrate sasa mara ya kwanza nilidhani labda ni mountain zimekufa nimebadilisha zoote lakini tatizo bado lipo sasa sijui shida itakuwa ni niniKama uliilaza garage lazima wameshaiba..
Unaweza kupata kwa kuagiza kati ta laki 6 mpaka laki 8.
Au upate gari lililopata ajali wakuuzie kisela...
Gari kuvibrate kuna mambo mengi..Ni kweli mkuu ila asante sana nimefanikiwa kupata kingine sasa hivi nimebaki na tatizo moja ambalo bado linanichanganya kidogo nilikuwa nikikimbia speed ikifika 120 gari ina vibrate sana pia nikishika brake napata iyo vibration hadi sterling inavibrate sasa mara ya kwanza nilidhani labda ni mountain zimekufa nimebadilisha zoote lakini tatizo bado lipo sasa sijui shida itakuwa ni nini
Asante mkuu nitalifanyia kazi nimeona mahali pia wanasema muda mwingine inaweza kuwa inasababishwa na kufa kwa u joint hivo ntafania kazi yote haya nione kama tatizo bado litakuwepoGari kuvibrate kuna mambo mengi..
Yawezekana mifumo ya suspension haijakaa vizuri..
Wakati mwingine hata tairi bovu linaweza kusababisha tatizo hilo..mfano kama matairi yamevimba vimba..
Kama umeshaweka mounts zote mpya, anza kukagua suspension parts moja baada ya nyingine na matairi..
Kama vipo sawa, ishu inaweza kuwa nyingine
Nitakupa mfano kuna nissan ya bi dada m'moja ilikuwa imewasha taa ya ABS. Shida ilikuwa mguu wa upande wa dereva mbele.Hata siwaelewi kitu gani fundi anaweza kushindwa kutengeneza kwenye hizo Nissan zilizopo mnazosema ni mpya...Maana Nissan nyingi ni ngumu kidogo au ninyi ndio mnachelewa kutengeneza gari ikihitaji matengenezo haraka maana gari huwa inaongea inapokua na tatizo kwa mtu wa magari hata Kama sio fundi utajua unaanzia wapi...
Safi. Na katika kitu watu hawajui ni kuwa thermostat zina kipindi maalumu cha kutumia. Ni vema gari nyingi zinazokuja hasa hizi mileage imefika 50,000 + zikabadilishwa thermostat maana inakuwa imeshakaa sana.Mafundi wetu bado saana..
Juzi mwezi Februari gari lilileta shida..
Radiator fan ilikuwa ikifunguka, haizimi na inazunguka kwa kasi isiyo ya kawaida..
Injini ikawa inapandisha joto..
Nikafanya diagnosis hapakuonekana code yoyote..
Wapiga ramli hao wakasema swichi ya fan ya radiator ndiyo imekufa...Wakaja mafundi kama watatu wakasema swichi imekufa hivyo ikihisi joto la injini inafungua fan na inashindwa kuzima..
Niakanunua Swichi nyingine, tatizo likawa pale pale...
Nikawaambia huenda thermostat imekufa, wabisha sana wakasema havina uhusiano..
Nikarudi home, nikawasha gari tena nikaacha lipate moto, fan ikawaka, nikashika hose inayotoa maji kwenye inji kuja kweny radiator, ilikuwa ya moto sana kiasi cha kutokushikika..
Hose ya chini inayotoa maji kwenye radiator kwenda kwenye injini ni ya baridi kabisa...Kati ya hose ya chini na injini, ndipo thermostat ya gari langu ilipo....Nikagundua thermostat imekufa kwa mtindo unaoitwa Stuck closed...hivyo maji ya radiaotor hayaingii kwenye injini..
Yale yaliyopo kwenye injini yanachemka sana na ile swichi (sensor) ya kufanya fan iwake , ikawa haizimi kwa sababu maji ya ndani ya inji hayapungu joto.
Nikatoa thermalsta mwenyewe, nikaitest kwa kuichensha jikoni, inafunguka kwa shida sana na kuwa wakati haifunguki..
Baada ya kuitoa tatizo likaisha, joto la injini likipanda fan inawaka na likishuka inazima kama kawaida.
Kwa sasa nataka ninunue thermostat mpya niweke.
Mafundi wetu hawa, mmh...
Binafsi nimeamua kuwa fundi wa gari langu mwenyewe...
Mafundi huwa nawapelekea zile sehemu za kimakanika zaidi, mfano bearing, shockup nk
Thermostat haina cha mkoa wala inchi. Kile kifaa kazi yake ni kuregulate joto la engine na flow ya coolant.nikushauri, kama hiyo gari ni la petroli, na ni automatic, na unalitumia mkoa wenye joto la wastani, achana na thermostat. maana with or without thermostat joto litapanda tu hadi kufikia optimum (magari mengi naona temp. gauge huwa ni katikati ya cool na hot). muhimu hakikisha coolant ipo.
baada ya hayo, niseme "Toyota All The Way".
Kabisa... Nissan all the way.Nashukuru sana kwa ushauri mkuu
Binafsi nitapenda kuirudishia ila lazima iwe genuine...
Japo sina haraka sana..
Itoshe tu kusema "Nissan all the way."[emoji3][emoji119][emoji119][emoji3]
Hebu acha uongo. Hakuna kifaa unakiona kwenye gari kisiwe na kazi yake na ukakitoa gari ikawa haina mushkeli katika kuitumia.ni kweli ina kazi nyingi, ila kwa utashi wangu naona kama kitu kikikosekana na maisha yanaenda basi hicho kitu sio lazima kiwepo.
kwenye ulaji wa mafuta sijaona tofauti kwangu.
Unapokuwa na gari ambayo parts zake ni expensive then usidundulize matatizo. Umesikia inagonga haraka shughulikia tatizo.Nishawahi tumia xtrail. Mnyonge haiwezi, itamfia.
Ha ha ha ha ha ha dah watu wana roho mbaya sana. Wameshakuibia catalyst converter. Hizo zinapatikana unaagizia na unaifunga fresh ila next time kuwa makini usiache gari gereji, usiilaze sehemu za ajabu ajabu. Vibaka wanaziiba sana hizo.wakuu nissan dualis inasauti mbaya kama exahaust ina tundu lakini nilifungua nikakuta yale masega hayapo je hii inaweza kuwa sababu na naweza pata wapi masega
Hizo zinapatikana unaagiza na unaletewa inafungwa safi tu....na nilifanya engine diagnosis gari haina shida yoyote natafuta fundi mzuri a fix hili tatizo la sauti msaaada wadau gari mpya haina 3 month
Haupo serious.... Hebu tukaushie basi.nimeshaanza. stabilizer ilikuwa inaleta mambo meusi, ikarekebishwa mara ya kwanza, ya pili muda mfupi tu baadaye, nikaona ukiazi huu. nikaitoa, sai iko store.
nafanya hivyo kwenye non-essential parts tu.
Unatumia gari gani hiyo?! Taa ya Gani inawaka kwenye dashboard?!Ni kweli mkuu ila asante sana nimefanikiwa kupata kingine sasa hivi nimebaki na tatizo moja ambalo bado linanichanganya kidogo nilikuwa nikikimbia speed ikifika 120 gari ina vibrate sana pia nikishika brake napata iyo vibration hadi sterling inavibrate sasa mara ya kwanza nilidhani labda ni mountain zimekufa nimebadilisha zoote lakini tatizo bado lipo sasa sijui shida itakuwa ni nini