UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Angewaogopa asingewarekodi na kuvujisha, kama kweli hao watu wangekuwa na ubavu basi hapo walikuwa wamechokozwa au tuseme Magufuli alianzisha shambulizi tungeona wakijibu.Walikuwa wakiogopana wote, katika ulimwengu kuna watu ambao huwaogopi kabisa wakikuletea kwere kidogo tu unawazibua, ila kuna ambao unawaogopa na wao pia wanakuogopa, ambao hupendi kuwa na vita nao ila wakikuanza utawajibu
Mfano Marekani vs Iraq, Iraq akizingua kidogo Marekani anamvamia bila kusita, ila Urusi akimzingua hatapenda kupigana nae hadi pale inapobidi