Kwanini Magufuli anachukiwa na CCM, Chadema, ACT, CUF na wasomi wengi ila anapendwa na wanyonge?

Umaskini ni uchawi, maskini hapendi tajiri na maskini anaamini tajiri ndio amemfanya kuwa maskini.
Matajiri unao wasema ndio hawa wanatafuta Ajira serikalini,maana bila hizo vyeo serikalini ni watu wa kawaida tu,ndio maadui wa magu maana aliwatoa, nao bila kuwa serikalini ni sawa na samaki bila maji.wanamshangilia mama huku Wana haribu,bei za vitu,tozo na ubabaishaji mwingi tu.eg stiglers gouge.
 
Hakuna aliyekuwa anamchukia bali alikuwa anachukiwa na 'matendo yake mwenyewe'. Acha usingiziaji.
 
Roho inakuuma Kinana kurudi?? Alipokuwa jpm hakuwa ccm? ccm ni ile ile
 
Mzalendo asiyependa kufuata sheria wann cc?
Akwende zake kuzimu huko
Kama hafuati sheria ila anatuletea maendeleo yanayoonekana basi anatufaa.

Hatutaki Rais anayefuata sheria lakini tunazidi kuwa masikini, watoto wetu wanaharibiwa na madawa ya kulevya, ufisadi unazidi, Rushwa inakuwa juu na kunakuwa na mfumuko wa hali ya juu.

Tunataka Rais anayeweza kunyanyua masikini na kupunguza gap kati la wenye nacho na wasionacho.
 
Huwa napata sana shida kuelewa hao watu wanaomchukia JPM. sijui km ni watanzania kweli au watu wa aina gan...

Ni kweli kbsa kuwa matajir wa tanzania (tunaposema matajiri usijiwek ww kwasbb familia yk wanakutegemea ukajihis ni tajiri) mtu mwenye turnover ya kuanzia 100Billion shillings. Sio unatumia crowd unajiita tajir huo n upuzi.

Wengi sn kweny 10 aghalabu 8 ni wapiga deal, n ngum mno kukuta tajiri aliyenyook kwenye nchi hii, ni wachache sn sn. Km utabisha ni kwasbb hujafik level hizo na huerew lolote juu ya utajiri

Kimsingi utajir uliopindukia mara nyingi unakua na njia zisizo rasmi sn.

JPM alichukiwa kwasbb hao watu aliwashik vibaya sn kwenye deals zao,
Na kwa bahati mbaya sn ndio hao wamilik wa MEDIA kwa asilimia kubwa sn, au wanalip sn propaganda za kutak kufuta legacy ya mzalendo.

Mtu anasem wasomi, matajiri hawakumpend JPM. unauliza msomi gan...??? Ulimwengu, warioba, mbowe, lissu hao ndio wasomi...???

Hao wote walipata ugali kwa njia za nyuma chuma alikata mirija wakawa wanatapatapa
 
Raisi anayejenga Airport kwao Na mkandarasi amweke Bwana Shemegi?
 
Yeye aliyezipiga mnada nyumba Za serikali mbona unamsahau?
 
Ukiambiwa wewe ni mjinga usitoe povu! Kila mtu anajua kuwa Magufuli aliyekuwa zaidi ya shetani!
 
Ila ACT na CUF ni wadini wa waziwazi kabisa wale jamaa ni washamba hawafai saiv wapo na samia kwa sababu ya dini na wala sio kitu kingine ndio maana hawamkosoi wala nini zaidi ya kimsifia.
 
Ila ACT na CUF ni wadini wa waziwazi kabisa wale jamaa ni washamba hawafai saiv wapo na samia kwa sababu ya dini na wala sio kitu kingine ndio maana hawamkosoi wala nini zaidi ya kimsifia.
Ndivyo ulivyoambiwa Kanisani kwenu?
 
Mkuu acha kumsema marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…