Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Zile zama familia zikitembeleana, wageni wanakuja home watoto mnafurahia na watoto wenzenu, hadi ugeni uondoke wote ni furaha tu.Kama mtu una miaka 20ās au 30ās Maisha ya zamani matamu yalikuwa mwaka gani?
Weekend iliyopita nilienda club baada ya muda mrefu nilichokikuta na uhalisi niliotarajia (zoea) ni vitu viwili tofauti. Hakuna vibe kabisa na hapo ndipo niligundua kuwa sasa mimi ni muhenga.aani kila ukihitaji kuufurahia wakati you have to back in past.
Kuanzia Muziki
Kuanzia Chakula
Kuanzia marafiki
Kuanzia ndugu n.k
Technology na utandawizi vinaharibu, kwasababu tumeshindwa handle kwa usahihi haya mambo..Kwa sasa tunaishi katika dunia ambayo tunaweza kupata kitu tunachohitaji Ila life is so tasteless.
Ukiangalia kila MTU anatafuta furaha katika Pombe , Weed , sex , Entertainment n.k
Kila nikikumbuka those era , life was so great. In term of living watu waliishi pamoja , kutembeleana Ku -have funny kila mwisho wa mwaka n.k
Ila Maisha ya sasa kama yamepoteza ladha kuanzia katika Maisha halisi ya mtaani hadi mitandaoni.
Yaani kila ukihitaji kuufurahia wakati you have to back in past.
Kuanzia Muziki
Kuanzia Chakula
Kuanzia marafiki
Kuanzia ndugu n.k
Watu wanamiliki kila kitu Ila hawana furaha , wapo na Psychomotor impairment
People are so greed now.
The old is gold forever.
š¶Jackson Allan "Remember when"
The poor man is not the one who has so little is one who craving for more.Kwa sasa tunaishi katika dunia ambayo tunaweza kupata kitu tunachohitaji Ila life is so tasteless.
Ukiangalia kila MTU anatafuta furaha katika Pombe , Weed , sex , Entertainment n.k
Kila nikikumbuka those era , life was so great. In term of living watu waliishi pamoja , kutembeleana Ku -have funny kila mwisho wa mwaka n.k
Ila Maisha ya sasa kama yamepoteza ladha kuanzia katika Maisha halisi ya mtaani hadi mitandaoni.
Yaani kila ukihitaji kuufurahia wakati you have to back in past.
Kuanzia Muziki
Kuanzia Chakula
Kuanzia marafiki
Kuanzia ndugu n.k
Watu wanamiliki kila kitu Ila hawana furaha , wapo na Psychomotor impairment
People are so greed now.
The old is gold forever.
š¶Jackson Allan "Remember when"
Ukiangalia hata bia za sasa, taste yake na zile za zamani ni mbingu na ardhi kbs, hizi za sasa ukinywa ni kama unakunywa mkojo! Naunga mkono mada ya mleta mada.Sio kwa wote , mbona mimi naona maisha ni matamu sana ? Ukiweka thamani yako ipimwe kwa vitu lazima maisha utayaona mabaya tu
Naomba kujifunza yafuatayo:
au yeye anatumia mbinu gani kuwabana?
Maisha yamekosa maana kwa sababu ya ubinafsi & uchoyo wa watu kama wewe DR HAYA LAND 30 JR , ona kwenye huu uzi nimekuuliza unisaidie ktu kdogo tu hapo lakn umepiga kimya kama hujaona swali langu.hello, naomba unijibu maswali haya tafadhali. DR HAYA LAND 30 JR
Huu ni ukweli mtupu Dr.Kwa sasa tunaishi katika dunia ambayo tunaweza kupata kitu tunachohitaji Ila life is so tasteless.
Ukiangalia kila MTU anatafuta furaha katika Pombe , Weed , sex , Entertainment n.k
Kila nikikumbuka those era , life was so great. In term of living watu waliishi pamoja , kutembeleana Ku -have funny kila mwisho wa mwaka n.k
Ila Maisha ya sasa kama yamepoteza ladha kuanzia katika Maisha halisi ya mtaani hadi mitandaoni.
Yaani kila ukihitaji kuufurahia wakati you have to back in past.
Kuanzia Muziki
Kuanzia Chakula
Kuanzia marafiki
Kuanzia ndugu n.k
Watu wanamiliki kila kitu Ila hawana furaha , wapo na Psychomotor impairment
People are so greed now.
The old is gold forever.
š¶Jackson Allan "Remember when"
š tafuta pesa bwashee ,uache kunywa local biaUkiangalia hata bia za sasa, taste yake na zile za zamani ni mbingu na ardhi kbs, hizi za sasa ukinywa ni kama unakunywa mkojo! Naunga mkono mada ya mleta mada.
SahauMpaka siku tukuokote mtaroni!
Maisha hayana maana tena,Kwa sasa tunaishi katika dunia ambayo tunaweza kupata kitu tunachohitaji Ila life is so tasteless.
Ukiangalia kila MTU anatafuta furaha katika Pombe , Weed , sex , Entertainment n.k
Kila nikikumbuka those era , life was so great. In term of living watu waliishi pamoja , kutembeleana Ku -have funny kila mwisho wa mwaka n.k
Ila Maisha ya sasa kama yamepoteza ladha kuanzia katika Maisha halisi ya mtaani hadi mitandaoni.
Yaani kila ukihitaji kuufurahia wakati you have to back in past.
Kuanzia Muziki
Kuanzia Chakula
Kuanzia marafiki
Kuanzia ndugu n.k
Watu wanamiliki kila kitu Ila hawana furaha , wapo na Psychomotor impairment
People are so greed now.
The old is gold forever.
š¶Jackson Allan "Remember when"
KweliKuna ule ubwabwa maharage wa hapo miaka ya tisini na kitu, ukipikwa nyumbani mtaa mzima unanukia, siku ukiwekwa na nazi ndio balaa.
Ni kweli kabisa ladha zimepotea katika kila kitu.
NdyoBinadamu tuna hulka ya kupenda vitu ambavyo havipatikani kwa urahisi, maisha yamekosa ladha kwasabab vitu vingi vinapatikana urahisi.
Acha kabisa.Zamani kunywa soda ni hadi sikukuu za Eid, Christmas nk ukinywa soda Yani utamu hadi unausikilizia.
Hapa sipingi kabisa mbunye imekuwa rahisi mno kupatikana na kibaya zaidi nyingi zina magonjwa so zinakata stmu mapema.sasa hv kila muda wa chakula mtu anakunywa na soda hapo ladha lazima ipotee
Zamani kupata mwanamke wa kula papuchi ujue ameshakuzungusha si chini ya mwaka hadi miaka, siku unamla yani ni kama huamini Yan utamu wake unausikilizia vilivyo....lakini sasa ngono unapata mda wowote hadi ladha imezoeleka haina msisimko ule tena
Na mengine mengi ya mfano wa hayo,