Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wabongo wameshindikana, Andrew Nyerere yeye yuko Buddha na ndio anatafsiri vitabu vyake kuja kwenye kiswahili.Samahani, hapa ulimaanisha nini??
Ukinipa ufupisho wa hayo mambo itapendeza! Inaonekana umeiva kwenye elimu ya dini, umeelewa na siyo kukariri! Huna papara, hasira, hisia, mhemko ,jazba na chuki!
Bado BUDHISM mkuuKwa sasa Dini yangu Kubwa ni Upendo, Kujali wengine na Kusaidia Watu Wanaohitaji msaada wangu..
Ubaya ni kwamba Judaism haina Ufupisho wa maelezo Ya Kitheolojia..
Hapana Kuiva ni vigumu sana Ila Nilichonacho huwa napenda kukitoa..
Kwa kifupi Dini ya Judaism Ina Tofauti na Dini ya Kikristo na Uislamu Kwa 85% kwa mafundisho yao..
Yaani Ukristo na Uislamu unafanana kwa 70% lakini uko tofauti na Uyahudi kwa 90% yaani unafanana kwa only 10% tu..
Nilijifunza mengi sana.. Kupitia Halakha,Gemera , Mishnah zinakufanya Ujue Sheria na Torah kwa ukaribu sana
Bado mkuu. Kuwa rabbi sio mchezoDah Hongera sana....
Kwahyo Sasa Hivi naweza kukuita Rabbi..?
Hakuna majina ya kizungu, hayo majina yapo pia kwa kiswahili. Mjerumani haiti Gabriel.Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc
Jini Sharif, Maimuna, etc
Kwanini?
Nayaelewa Mkuu hayo..Bado mkuu. Kuwa rabbi sio mchezo
Unatumia miaka mingi kusoma maandishi ya kale ya Kiyahudi - Tanakh, Mishnah, Talmud, ili kupata ustadi wa kusoma, kuelewa, kuchambua, na kufikia hitimisho sawia la kitheolojia na kivitendo kuhusu kuishi kulingana na sheria ya Kiyahudi, ambayo inaelezea kwa undani jinsi Myahudi anavyopaswa kuishi kulingana na Agano kati ya Mungu na watu wa Kiyahudi.
Kuna hatua tano za kufata hadi uidhinishwe kuwa Rabbi.
1- Lazima uwe Myahudi. (kiimani)
2 - Ujue vizuri Tanakh, Mishnah, Talmud. Hapa wanataka uwe na ujuzi wa kusoma, kuelewa, kuchambua na kuishi kwa mujibu wa sheria ya Kiyahudi, kulingana na Agano kati ya Mungu na wayahudi.
3 - Ufaulu mitihani inayoonyesha ustadi wako na ujuzi wako maalum katika maeneo fulani ya sheria ya Kiyahudi kivitendo. Mamlaka, na Rabbi Mkuu wa Israeli, watachunguza kuhusu elimu yako na ujuzi uliopata.
4 - Lazima ujifunze chini ya ulezi wa rabbi mwenye uzoefu jinsi ya kutumia ujuzi wako katika hali halisi ya maisha.
5 - Lazima wajiridhishe unaonyesha tabia na utu mzuri wa kimaadili, wa kumcha Mungu, na kukubali kwa unyenyekevu kujitolea, kibinafsi kwa sheria na mila za watu wa Kiyahudi.
Ukifaulu hayo yoye, unaidhinishwa kuwa Rabbi.
Budhism naisoma kwenye Vitabu tu Ila sio Ngumu sanaBado BUDHISM mkuu
Niko namba 3 mkuu.Nayaelewa Mkuu hayo..
Me nilidhani Tayri Umeshamaliza Maana Mimi niliacha niliporudi Tz nikaamua Kuacha Uyahudi kabisa
Ni story ndefu sana AiseeNiko namba 3 mkuu.
Ulikutana na changamoto gani mpaka ukaamua kuacha.
Ok.Ni story ndefu sana Aisee
Naomba majina ya hao malaika kwa kiswahili napia maomba majina ya hao majini kwa kiswahili fasaha vilevileMalaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc
Jini Sharif, Maimuna, etc
Kwanini?
Kuna shidah hapa sema ni ngumu sana kunielewa, hayo maneni ni ya realm gani?? Hiyo kuzimu yako ulio weka hapo chini physical kama utaikutaHabari Tena Mkuu!
Ukisoma kwenye Isaya 40:22 inayozungumziwa Sio Dunia as Whole but inayozungumziwa ni Dome-Shaped Structure ambayo Huitwa Firmament..
Unajua maana ya firmaments??
Nakurejesha Genesis/Mwanzo 1:6-8
"And God said, Let there be a firmament in the midst of the waters, and let it divide the waters from the waters.
And God made the firmament, and divided the waters which were under the firmament from the waters which were above the firmament: and it was so.
And God called the firmament Heaven. And the evening and the morning were the second day."
so lets Discuss Ulichoandika Isaya 40:22
Na kilichopo kwe he Mwanzo 1:6-8..
Firmament ni duara ya Anga Ambayo huitwa Mbingu ndo hiyo ambayo Mungu hukaa kwa mujibu wa Biblia na Ndo hiyo huitwa Mbingu Ni kama Dome hivi..
Hii ndo Dunia According to Bible Mkuu Yenye Firmament..
View attachment 2979150
View attachment 2979152
So Mkuu Pitia na Hizi verse..
1 Chronicles 16:30: “He has fixed the earth firm, immovable.”
Psalm 93:1: “Thou hast fixed the earth immovable and firm …”
Psalm 96:10: “He has fixed the earth firm, immovable …”
Psalm 104:5: “Thou didst fix the earth on its foundation so that it never can be shaken.”
Isaiah 45:18: “… who made the earth and fashioned it, and himself fixed it fast …”
Neno took, and make them wives ni tofauti,Try Me mkuu kwa sababu Najua Hebrew, Latin, Greek so lets Make a translation kwenye Ulicho na hofu nacho
Ok sasa Nifatilize hapa Chini..Neno took, and make them wives ni tofauti,
Najua Unazungumzia Nini so Realm ya Kuzimu Ni 5th Dimension Anticlockwise au Ni 5th dimension Kushuka Chini...Kuna shidah hapa sema ni ngumu sana kunielewa, hayo maneni ni ya realm gani?? Hiyo kuzimu yako ulio weka hapo chini physical kama utaikuta
Unafahamu kuwa hivyo vitabu vya kwenye biblia vilitolewa kwenye Tanakh ya kiyahudi na kupangwa upya? Waka ondoa vingine wasivyovitaka?Nje ya main biblical scriptures. Hiz ni doctrine ambazo hazithibitishwi na maandiko ya kikristo. Ni kama mambo ya imani zilizozaliwa kutokana na tamaduni tu wa watu, sio ukristo kwa jinsi navyofikiri mimi. Hazipo katika vitabu 67 vya kibiblia
Jerome alitaja sifa aliyokuwa nayo Shetani, hakutaja jina lake. Tafuta maana ya Lucifer. Maana yake kwa Kiswahili ni nyota ya asubuhi. Halafu msome IsayaKuna sehemu wanasema ametajwa kwenye kitabu Cha Ayubu ndio Niko hapa nimetulia nachimbua Hadi nimpate,