Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Vizuri sana!
Lakini Usisahau kuwa Israel haiko Ulaya..
Na kingine Turkey/Uturuki iko kati ya Ulaya na Asia lakini watu wake hawawi Regarded kama Wazungu..
So Definition yako ya Mzungu inakataa kwa mantiki hizo..

Uko sahihi Kabisa kwamba waebrania si Lazma wawe wayahudi..
Na ndo maana nimekuambia kuwa Kuna waebrania ambao Wanatoka Ethiopia ni weusi na pia Ni wayahudi...

Yesu alikuwa Ni muebrania Na alikuwa Myahudi Pia
 
Wewe unayemuita Gabriel sisi twamuita jibril .. majini ni viumbe kama wewe na kama ulivyo wewe umepewa jina basi na wao wanajipa majina ..
 
Mwenye kutoa riziki ni Allah pekee na wala si hayo majini wala pete .. shiriki ni mbaya sana ndugu yangu
 
naunga mkono hoja, mkuu Kiranja Mkuu weka uzi wa majini wote asee,

ndo mana waarabu wana mahela mengi kumbe majini wanawapa tag
 
Kuna Watu ni Waongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…