Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Jibril,Mikaail,Israfiil,Malakul mawt,Hamalatul Arshi.
Hawa wote ni malaika.
Je kuna Jina la kizungu hapo!?
Sema sio mbaya ulikui hujielewi unachoongea.
Jini Magoma Jina Magoti Jini nani sijui hawa wanaonekana au uongo na hawana majina ya kizungu wote wana majina ya kizaramo na kindengereko wala hawana majina ya kiarabu
 
Jini Magoma Jina Magoti Jini nani sijui hawa wanaonekana au uongo na hawana majina ya kizungu wote wana majina ya kizaramo na kindengereko wala hawana majina ya kiarabu
Huyo anachopagawa yeye kitu kimoja,hajui kama hayo majina unaweza yatohoa kwa lugha tofauti tofauti.
Kama Malakul mauti kwa kiswahili izrael mtoa roho.
Jibril kwa kizungu Gabriel.
Pia Jibril hiyo hiyo kuna neno la kihebrew unamuita hauitamki Jibril kama Jibril.
 
"Mzungu" wanaitwa na wabantu, towa "z" kwenye hilo neno inabaki nini?

Sifahamu kwa Kiswahili ina maanisha nini.

Yesu "uyahudi" kautolea wapi?
 
Kwanini Grace, hujaona jina jingine kama Groly au unamchokoza mzee wetu 😂😂😂
 
Uislam is not connected kwa hivyo vitu usitudanganye acha uongo sasa.
Nionyeshe Biblia yenye aya za Majini nikuonyeshe Msaafu wenye aya za Majini, vitu vingine usipende kubishania bishania ovyo Uislamu sio Qur'an sio nyinyi mnasema Majini wameumbwa kwa Moto au Wewe ni Mburushi? Pale juu comment #1 Jamaa anaelezea ABC zote Wewe unabisha nini?
 
Uislam is not connected kwa hivyo vitu usitudanganye acha uongo sasa.
Uislamu is centrally controlled and physically connected directly proportional to the Majini, niseme hivyo maana nilivyosema mwanzo hujaelewa
 
Uislam is not connected kwa hivyo vitu usitudanganye acha uongo sasa.
Masjid-Al-Jinn ndio Msikiti maarufu wanaoswali Majini tu upo huko Saudia Arabia sio wapi Saudia ya Arabia mji wakuitwa Mecca kule mwaenda kurusha mawe kwenye ule mjiwe mweusi hapo wanaingia kuswali Majini tu, kwa Msaada wa Google

Bisha tena na hapo
 
Nitafutie Maimuna ya kizungu au Maruhan ya kizungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…