Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Soma isaya 40 mstari wa 22
Soma na job 26:7
 
Reactions: 511
Huyo jini wako ni mermaids
 
Kwa hiyo Mungu hakuwepo kwa sababu jina lake naye halikuwepo?🤔
 
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc
Jini Sharif, Maimuna, etc

Kwanini?
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc
Jini Sharif, Maimuna, etc

Kwanini?

Ujinga kitu kibata sana. Hivi mtu unaanzaje kuandika ujinga kama huu ?

Hayo majina ya majini, hao wanaona waita ulitakiwa uwaulize wameyajuaje ?

Lakini Kuna malaika Jibril hili jina la Kiarabu, malaika mtoa roho kwa Kiarabu anaitwa "Malakul Mauti, kwa Kiswahili anaitwa Malaika Mtoa roho au wa Mauti."
 
Uislamu unaamini kuna majini walisilimu baada ya kusoma quran na ukisilimu lazima upewe jina la Kiarabu hii ndiyo maana majini wana majina ya kiarabu waliyoyachagua baada ya kusilimu

Kwanini mnakuwa wajinga kiasi hiki ? Nani alikwambia ukibadili dini lazima ubadili na jina ? Hili sio sharti.

Wako watu wengi wamebadili dini na kubaki na Majina yao vile vile. Japokuwa ukipenda pia unaweza kubadili, ila huruhusiwi kubadili ubini.

Wapo masheikh kibao US na UK wamebadili dini wakapenda kubadili Majina yao, mfano yupo Sheikh Mustafa George, Umar Quin, Abuu Bilal Davis.

Kwahiyo jitahidini muwe mnasoma na since kusikia sikia tu maneno na kuyachukua, mnaonekana wajinga sana.
 
Mimi nimewahi kuwa Judaism So I know Jews Na wanachokiamini
Samahani ulitumia njia na hatua zipi kwa hapa bongo?? Au ulikuwa nje ya nchi?? Hakuna dini ngumu ya kujiunga kama ya kiyahudi.

Converting to Judaism​


Converting to Judaism is not easy. It involves many lifestyle changes and about a year of studying.

Conversion and Jewish law​


Conversion to Judaism is a process governed by Jewish religious law. Conversions are overseen by a religious court.


There are also two ritual requirements:


1) a male convert must undergo circumcision - if they are already circumcised, a single drop of blood is drawn as a symbolic circumcision


2) the convert must undergo immersion in a Jewish ritual bath, a mikveh, with appropriate prayers


 
Gabriel - Jibril
 
Nafikiri hii reply haikulengwa kwangu umeikosea maana haihusian na nilichoandika mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…