Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Soma isaya 40 mstari wa 22But What about Revolution..
Dunia ya Kwenye Biblia haizunguki Jua Ila Jua Linazunguka Dunia..
Dunia ya Kwenye Biblia Iko fixed and Immovabe wakati sayansi sio..
Galileo aliuliwa na kupingwa na Kanisa Kwa sababu Alisema Dunia Inazunguka Jua na ni Duara
Soma na job 26:7