matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Ukitaka utajiri wa kichawi au kifreemasoni ni kugusa tu, cha msingi uwe tayari kutimiza masharti.
Ukitaka utajiri wa KiMungu hata ufanyeje lazima usugue benchi vya kutosha. Hata Ibrahim mwenyewe utajiri wake alitoka nao kwao akiwa mpagani. Matajiri wakubwa wa kikristo ni wachungaji ambao hizo pesa wamezipiga kwenye sadaka za waumini. Je, Mungu anazidiwa na ibilisi?
Ukitaka kusafiri kwenda hata US kichawi ni ungo wako tu na safari haizidi usiku mmoja. Ukitaka kusafiri supernaturally kiMungu unafeli labda kwenye ndoto. Walijaribu wasabato masalia ikala kwao, kuna jamaa alisafiri kutoka samaria hadi ukanda wa gaza kufumba na kufumbua katika bible ila zamani miaka 2000 iliyopita (Filipo). Siku hizi utasugua benchi sana.
Watumishi wa Mungu wa zamani walikuwa maSTAR kuliko wachawi na watumia majini.
Walifufua, walibadili miti kuwa nyoka,walivunja archmedes principle kwa shoka kuelea, walizuia mvua miaka mitatu na kuruhusu walipojisikia, walipojisikia Kwenda mbingini Magari ya Mungu yalishuka kuwabeba, walikuwa wakitembea watu ni kupona tu kwa vivuli hata ukigusa kanzu tu.
Siku hizi haya mambo yanafanywa na wale wanaotuhumiwa kuwa wa uongo. Wale wanaoaminiwa kuwa ni wa kweli hawana uwezo wa kufufua hata paka.
Tatizo ni nini?
Mungu amekubali ibilisi amshinde hivi au watu wa Mungu ndio hawamuamini.