IFRS
JF-Expert Member
- Dec 19, 2014
- 2,920
- 5,279
Napenda na mimi nichangie
Mungu ameweka Kanuni tofauti tofauti ambazo yeye mwenyewe Mungu anazifuata.
Mojawapo ya kanuni ni kutengeneza historia kwa kila jambo. Mungu anaanza jambo na 1, then 2, then 3, then 4 na kuendelea. wakati shetani anatoka 1 anakuja 100.
Mfano Mungu alipoanza Uumbaji, Siku ya kwanza aliumba mbingu na nchi, Siku ya pili aliumba kingine, ya tatu aliumba kingine etc
Mungu alikuwa na ndoto ya dunia kuwa na watu bilioni 7, lakini alianza na Adamu, akaja Eva, wakazaa mtoto wa kwanza Kaini, jumla wakawa watatu, akazaa mtoto wa pili akiwa Abel, dunia ikawa na watu wanne. Ukifuatilia ukifuatilia hapo utaona ilichukua mamia ya miaka dunia kuwa na watu 10 tu. Mungu alimwambia Ibrahimu nitaufanya uzao wako uwe mwingi kama mchanga wa bahari, kwa akili zetu binadamu tulitegemea basi ibrahima angezaa watoto hata 100 ila Mungu alimpa Isaka. Lakini ahadi yake imetimia, Leo hii taifa la israel tokea ibrahimu mpaka Leo ni watu wengi sana.
Na kwenye mafanikio ni hivyo hivyo, mafanikio ya Mungu ni hatua kwa hatua, na mafanikio sio wewe, Mungu anaanzaga na wewe (ibrahimu) lakini anamaanisha atabariki kizazi Chako chote