Bora Josh kajilipua mwenyewe, maana watoto na mke anao ila sijawahi sikia kama wamekufa[emoji848]Akikupa Mungu mkuu ndio ushatoka.ila vya Mungu unakula na raha na amani kama bonus wakati unasherehekea utajiri.
Ila hao jamaa wa ibris nasikia huwa cha moto wanakiona. Akimalizana na watoto wako na mke na mama mkwe mwisho wa siku atataka damu yako kama exchange ya ulivyokula.
Yaani kula uliwe hahaha
Ingekuwa ni hivo watu wengi wangeshatoboa, vikwazo vipo vingi sana mungu anaweza kukupa ila usifike mbali, binadamu wabaya sana watakurudisha nyuma kwa namna yoyote ile.Akikupa Mungu mkuu ndio ushatoka.ila vya Mungu unakula na raha na amani kama bonus wakati unasherehekea utajiri.
Ila hao jamaa wa ibris nasikia huwa cha moto wanakiona. Akimalizana na watoto wako na mke na mama mkwe mwisho wa siku atataka damu yako kama exchange ya ulivyokula.
Yaani kula uliwe hahaha
Mambo ya ibilisi hayana furaha ya milele ni furaha ya kihuzuni na masharti mengi kwa macho wanaonekana wamefanikiwa lkn moyoni maumivu makubwa usithubutu watu wa Mungu wanamafanikio malunwa sana japo hawajionyeshi ibilisi huwalaghai kwa kuonuesha kamq wamefanikiwa nyuma yake kuna kilio kikubwaUkitaka utajiri wa kichawi au kifreemasoni ni kugusa tu, cha msingi uwe tayari kutimiza masharti.
Ukitaka utajiri wa KiMungu hata ufanyeje lazima usugue benchi vya kutosha. Hata Ibrahim mwenyewe utajiri wake alitoka nao kwao akiwa mpagani. Matajiri wakubwa wa kikristo ni wachungaji ambao hizo pesa wamezipiga kwenye sadaka za waumini. Je, Mungu anazidiwa na ibilisi?
Ukitaka kusafiri kwenda hata US kichawi ni ungo wako tu na safari haizidi usiku mmoja. Ukitaka kusafiri supernaturally kiMungu unafeli labda kwenye ndoto. Walijaribu wasabato masalia ikala kwao, kuna jamaa alisafiri kutoka samaria hadi ukanda wa gaza kufumba na kufumbua katika bible ila zamani miaka 2000 iliyopita (Filipo). Siku hizi utasugua benchi sana.
Watumishi wa Mungu wa zamani walikuwa maSTAR kuliko wachawi na watumia majini.
Walifufua, walibadili miti kuwa nyoka,walivunja archmedes principle kwa shoka kuelea, walizuia mvua miaka mitatu na kuruhusu walipojisikia, walipojisikia Kwenda mbingini Magari ya Mungu yalishuka kuwabeba, walikuwa wakitembea watu ni kupona tu kwa vivuli hata ukigusa kanzu tu.
Siku hizi haya mambo yanafanywa na wale wanaotuhumiwa kuwa wa uongo. Wale wanaoaminiwa kuwa ni wa kweli hawana uwezo wa kufufua hata paka.
Tatizo ni nini?
Mungu amekubali ibilisi amshinde hivi au watu wa Mungu ndio hawamuamini.
Hahahahaha! Ndugu yangu umepinda sana. Imagine shetani aingie kwenye kanisa la Gwajima kuna wa kupambana naye? Kwa matendo Gwajima ni wa karibu wa ibilisi. Finished.Kwa hiyo sisi wadau wake ndio tunazingua.
Huwa nasikitika sana, hata kapepo
Kanaweza kumkata mitama mtumishi, kajini kale choka mbaya kabisa kanaweza kuvuruga msikiti au kanisa kumtoa ni kama vile kuwakamata magaidi wa kibiti. Huwa najiuliza sasa akija ibirisi kamanda mwenyewe si anaweza kunyonya damu waumini wote bila kufanywa chochote.
Sijui Mungu huwa anatuonaje
AiseeHata hao wa zamani pia ni mambo ya kusadikika tu...
Hebu mvizie yule 'DC wa kale'yule mkazi wa gereza la kisongo,akiletwa mahalamani umwulize... Atakuwa na jibu murua !!Ukitaka utajiri wa kichawi au kifreemasoni ni kugusa tu, cha msingi uwe tayari kutimiza masharti.