Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, unaposema "Sisi wengi wa asili" unamaanisha nini??jaribu tu kuwaza ingekuwaje hapa Tanzania karibu kila sehemu unayotafuta shamba tayari inamilikiwa na wazungu wachache huku sisi wengi wa asili hatuna ardhi
Mandela he was a sell out. Kabla ya kutolewa kule gerezani alipewa masharti akasaliti mapambano waliyopigania na comrads wenzake.Sifa anazopewa hazilingani na uhalisia, nawe kama unsmuona shujaa pengine umekuwa brainwashed
Alihamasisha forgiveness dhidi ya makaburu kwamba waendelee kumiliki ardhi takribani asilimia 85 yenye rotuba, jaribu tu kuwaza ingekuwaje hapa Tanzania karibu kila sehemu unayotafuta shamba tayari inamilikiwa na wazungu
Alihamasisha forgiveness dhidi ya makaburu kwamba waendelee kumiliki migodi
Alihamasisha forgiveness dhidi ya makaburu kwamba waendelee kumiliki vitega uchumi vinavyotegemea rasili mali za nchi
Watanzania wenye makabila asili yaliyoishi hapa kabla hata ya ukoloni, we the indigenous native TanzaniansJe, unaposema "Sisi wengi wa asili" unamaanisha nini??
shamba unalomiliki ama analomiki mzazi wako ungependa linyanganywe apewe mzungu ?Watu weusi wameachiwa asilimia 15 tu nchi washaiharibu yote je wakiachiwa kila kitu sauzi itakua kama tz tu
Huyo mzulu amesema kwa nini Serikali ya ANC imeshindwa kuboresha hali ya umeme, miondombinu, huduma za kijamii, kudhibiti uhalifu wa kutisha na xenophobia kwa muda mrefu sasa?Kuna mzulu nilikutana nae Chuo alisema hi kauli, #Mandela sold us akendelea kusema kwamba the one who control means ya Uchumi wa nchi ndiye anayecontrol hata Uongozi wa nchi.
Wewe Umeshawahi kufika na/au kuishi nchini Zimbabwe ?shamba unalomiliki ama analomiki mzazi wako ungependa linyanganywe apewe mzungu ?
Acha mawenge na chuki zako za kikoloni hapa, huyo mandela kafanya lipi la maana? Histori hamsomi kazi kudandia dandia mambo juu juu.Nelson Mandella ni Baba wa Afrika hii,huwezi mfananisha ni kiongozi yoyote ndani ya bara hili.Ni upumbavu kuamini mtu ili awe mwafrika lazima awe mweusi.Afrika kusini ilijengwa na Makaburu ambao mpaka leo nguzo muhimu ndani ya Afrika kusini.
NAC wameiharibu SA kama walivyo fanya wakina Mugabe, Nyerere, Nkrumah nk,katika mataifa yao.
Huo ni uongo mkubwa, wazungu kwa sasa Africa kusini wanamiliki ardhi ndogo kuliko inayomilikiwa na serikali na raia weusi wa Africa Kusini. Serikali ya Africa Kusini imekuwa inachukua kidogokidogo ardhi ambazo lease zake zina expire na kununua nyingineKivipi waakati wazungu ambao wapo asilimia 8 wanaendelea kumiliki ardhi asilimia 80
Zimbabwe kipindi ardhi inamilikuwa na wachache {walowezi} ilikuwa inazalisha chakula Cha kutosha, waafrika walipo lalamika wakapewa ardhi mwisho uchumi ukaanguka na njaa juu.Kivipi waakati wazungu ambao wapo asilimia 8 wanaendelea kumiliki ardhi asilimia 80
Kuna uwezekano baadhi yenu msingezaliwa maana baba/babu zenu wangeuawa ama kukosa uhuru katika ardhi yao wenyewe, ni ajabu majitu yasiyo tambua nini maana ya Uhuru kung'ang'ania kutawaliwa na mtu mweupe kisa maendeleo ambayo nayo msingeyafaidi.Mandela alikuwa sahihi 100% kuwaacha makaburu. Angewaachia hao wazulu Afrika kusini ingekuwa kama Zimbabwe. Hata hapa kwetu kulikuwa na maamuzi ya hovyo sana kuwanyang'anya watu hasa weupe mali zao wakati wa awamu ya kwanza. Matokeo yake ni nchi kurudi nyuma sana.
Naomba unijibu swali langu please, hilo shamba lako ama mashamba ya huko kijijini kwenu ungependa yanyanganywe wapewe wazungu ?Wewe Umeshawahi kufika na/au kuishi nchini Zimbabwe ?
Umejuaje yeye au wazazi wake wanamiliki shamba?shamba unalomiliki ama analomiki mzazi wako ungependa linyanganywe apewe mzungu ?
Ukichunguza vizuri wanaolilia kutawaliwa na watu weupe, hivyo ni vitoto vingi vya miaka ya 90-2000 kwaiyo usivilaumu havijui madhara ya utumwa ktk ardhi yao.Naomba unijibu swali langu please, hilo shamba lako ama mashamba ya huko kijijini kwenu ungependa yanyanganywe wapewe wazungu ?
Wazungu walipofika Africa Kusini walikuta sehemu kubwa ni mapori au jangwa yasiyofanyiwa chochote, baada ya kuendeleza ndio yakawa mashamba.Naomba unijibu swali langu please, hilo shamba lako ama mashamba ya huko kijijini kwenu ungependa yanyanganywe wapewe wazungu ?
Pengine hana hata shamba hajui umuhimu wake ndio maana anachukulia poa, si ajabu akauza shamba la urithi aende kununua simuUmejuaje yeye au wazazi wake wanamiliki shamba?
Si ajabu History una FWazungu walipofika Africa Kusini walikuta sehemu kubwa ni mapori au jangwa yasiyofanyiwa chochote, baada ya kuendeleza ndio yakawa mashamba.
Sasa kama yeye hana shamba na kuna mtu mwingine ana ekari 1000 ambazo amezishikilia tu hazifanyii chochote si bora mzungu azichukue yeye apate ajira kwenye uwekezaji wa huyo mzungoPengine hana hata shamba hajui umuhimu wake ndio maana anachukulia poa, si ajabu akauza shamba la urithi aende kununua simu
Tusome nini? Je, unafahamu kwamba vitabu vya Historia vya Tanzania kuhusiana na suala la historia ya Afrika ya Kusini viliandikwa kwa kupotoshwa makusudi na watu wa Propaganda wa CCM kwa lengo la kuwakandia na kuwapaka matope Makaburu wa Afrika ya Kusini??? Unafahamu kuhusu suala hili??Acha mawenge na chuki zako za kikoloni hapa, huyo mandela kafanya lipi la maana? Histori hamsomi kazi kudandia dandia mambo juu juu.
Huyo mandela atamfikia kwame nkuruma?, nyerere? Jomo kenyata?, patrice lumumba?,
Ifike mahala tuache utoto, hayo maendeleo mnayodanganywa huko South Afrika unadhani yanawasaidia nini wenye ardhi Kama ardhi yenyewe imekaliwa kimabavu?
Alafu jitahidi usome sana maana hujui hata Neno Afrika lina maana gani, kabla ya yote Afrika ilitambulisha mtu mweusi, hapo kabla Afrika nzima ilikaliwa na watu weusi kabla ya uvamizi wa waarabu na wazungu, hawa ndio walioleta huu ubaguzi wa rangi na kuwaitwa wakaazi weusi waafrika mpaka leo hii hata wasio weusi waishio Afrika nao wanaitwa waafrika, lkn chimbuko la Neno/Jina Afrika ni mtu mweusi.
Jamani tujitahidi sana kusomesha watoto wetu elimu sahihi wasiwe kama hawa wapumbavu na washenzi wasiojua umuhimu wa babu zetu waliopambana dhidi ya udharimu wa mtu mweupe.
Maoni ya watu wanaowapinga babu zetu waliopigania uhuru, hayo hutolewa na vibaraka ama watu weupe, ni ajabu sana kumuona mtu mweusi anapinga juhudi za akina nyerere kupigania uhuru, ama mjinga anaemsifia mandela wakati hakuna la maana alilofanya zaidi ya kuwasariti ndugu zake na kuwamilikisha kwa mkoloni.
Someni muepuke aibu ndogondogo.