Kwanini Mandela anasifiwa wakati hakuwapa Uhuru Waafrika wa asili wa Afrika Kusini

Kwanini Mandela anasifiwa wakati hakuwapa Uhuru Waafrika wa asili wa Afrika Kusini

Uhuru si kufukuza waliojenga nchi. Kitendo cha kukubali wote waishi kwa pamoja ni cha kupigiwa mfano.

Nyerere alishawahi kusema hili miaka ya 70 kama sio 80.

"Makaburu wakitaka kuishi vyema watoe haki sawa na waafrika waishi pamoja lakini sio wao kujifanya wana sheria zao"....

Mkiwafukuza mtakua na tofauti gani na wao walivyowabagua?
Uhuru si kutukuza waliojenga nchi kwa kutumia rasilimali walizopora

Uhuru si kuendelea kuwaachia mali za nchi wezi walioziiba

Kuna uhuru gani bila uwajibikaji kwa waliokandamiza haki za wengine ?
 
Hii nchi kama tungekuwa chini ya ukoloni basi isingekuwa tofauti na Rwanda&kenya kwa ukabila, migogoro ya wao kwa wao, ubaguzi wa rangi, ukabila, udini mpaka ukanda, kiufupi nchi ingekuwa ya hovyo.
Ukabila ulikuwepo Africa hata kabla wazungu hawajafika, waulize babu zako wakupe story za zamani za vita vya makabila, Wangoni waliopo Tanzania walipigwa vibaya na Shaka wa kabila la Wazulu katika vita vya kikabila huko Africa Kusini wakakambilia hadi Tz kabla hata wazungu hawajaanza kuitawala Africa Kusini vizuri.
 
Acha mawenge na chuki zako za kikoloni hapa, huyo mandela kafanya lipi la maana? Histori hamsomi kazi kudandia dandia mambo juu juu.

Huyo mandela atamfikia kwame nkuruma?, nyerere? Jomo kenyata?, patrice lumumba?,

Ifike mahala tuache utoto, hayo maendeleo mnayodanganywa huko South Afrika unadhani yanawasaidia nini wenye ardhi Kama ardhi yenyewe imekaliwa kimabavu?

Alafu jitahidi usome sana maana hujui hata Neno Afrika lina maana gani, kabla ya yote Afrika ilitambulisha mtu mweusi, hapo kabla Afrika nzima ilikaliwa na watu weusi kabla ya uvamizi wa waarabu na wazungu, hawa ndio walioleta huu ubaguzi wa rangi na kuwaitwa wakaazi weusi waafrika mpaka leo hii hata wasio weusi waishio Afrika nao wanaitwa waafrika, lkn chimbuko la Neno/Jina Afrika ni mtu mweusi.

Jamani tujitahidi sana kusomesha watoto wetu elimu sahihi wasiwe kama hawa wapumbavu na washenzi wasiojua umuhimu wa babu zetu waliopambana dhidi ya udharimu wa mtu mweupe.

Maoni ya watu wanaowapinga babu zetu waliopigania uhuru, hayo hutolewa na vibaraka ama watu weupe, ni ajabu sana kumuona mtu mweusi anapinga juhudi za akina nyerere kupigania uhuru, ama mjinga anaemsifia mandela wakati hakuna la maana alilofanya zaidi ya kuwasariti ndugu zake na kuwamilikisha kwa mkoloni.

Someni muepuke aibu ndogondogo.
Nelson Mandella ni level nyingine katika bara hili kataa au kubali huo ndo ukweli.Nelson Mandella kaishi gerezani kwa ajili ya ukombozi wa watu weusi wa Afrika kusini na mwisho alifanikiwa kukomesha utawala wa kibaguzi wa Makaburu.Huu ni mchango bora kabisa kama hili hulioni basi una matatizo yako na chuki binafsi kwa Mandella.

Wakoloni ndio wameijenga Afrika mfano majiji makubwa tu hapa Tanzania yamejengwa na wakoloni ni mpumbavu pekee ndio atashindwa kutambua mchango wa wakoloni katika bara hili, licha kwamba Kuna vices pia walifanya.wakoloni ndo wameifanya Afrika iwe hivi ilivyo kuanzia mipaka,siasa,uchumi nk.

Kitendo Cha kuona Afrika ni bara la weusi tu,tayali usha onesha ubaguzi kwa jamii zisizo nyeusi ndani ya bara hili,sasa wewe unatofauti gani na Makaburu wa Afrika kusini enzi za utawala wa ubaguzi wa rangi.

"Hatukuwapinga Makaburu wa Afrika kusini kwa sababu ya rangi zao bali matendo yao,hata wewe mwafrika ukiwa na tabia kama walizo kuwa nazo Makaburu na wewe ni kaburu tu"Nyerere.

Robert Mugabe alionesha ukatili na ubaguzi kwa walowezi na mwisho wa siku sote tunajua nini kilitokea Zimbabwe baada ya walowezi kuondoka.Mwisho shida ya bara hili sio mzungu bali sisi wenyewe.
 
Ukichunguza vizuri wanaolilia kutawaliwa na watu weupe, hivyo ni vitoto vingi vya miaka ya 90-2000 kwaiyo usivilaumu havijui madhara ya utumwa ktk ardhi yao.

Hii nchi kama tungekuwa chini ya ukoloni basi isingekuwa tofauti na Rwanda&kenya kwa ukabila, migogoro ya wao kwa wao, ubaguzi wa rangi, ukabila, udini mpaka ukanda, kiufupi nchi ingekuwa ya hovyo.

Wengi humu nasisitiza wasingekuwepo leo hii kama tungeendelea kutawaliwa na hayo maendeleo wanayoyalalamikia kwanini wasiyafanye wao maana nao wana akili&nguvu za kufanya mageuzi.

Ukiondoa umasikini hapa Tanzania bado kuna tatizo la Afya ya akili pamoja na Upofu&utumwa wa akili, watanzania wengi sana hawana akili.
Ndugu zao wamelima mashamba ya huko vijijini kwao unga na maharage wamewatumia visarufeti huku mjini, basi wakila, kusaza na kushiba kinachofuata ni kushika smartphones kuja humu. hawajui thamani ya ardhi,
 
unadhani yanawasaidia nini wenye ardhi Kama ardhi yenyewe imekaliwa kimabavu?

Alafu jitahidi usome sana maana hujui hata Neno Afrika lina maana gani, kabla ya
Maoni ya watu wanaowapinga babu zetu waliopigania uhuru, hayo hutolewa na vibaraka ama watu weupe, ni ajabu sana kumuona mtu mweusi anapinga juhudi za akina nyerere kupigania uhuru, ama mjinga anaemsifia mandela wakati hakuna la maana alilofanya zaidi ya kuwasariti ndugu zake na kuwamilikisha kwa mkoloni.

Someni muepuke aibu ndogondogo.
Ardhi ya Afrika Kusini kwa sasa haikaliwi kwa mabavu na yeyote, serikali inaweza kuchukua ardhi na tayari inamiliki mamilioni ya ekari ambazo hazifanyiwi kazi na zinapeanwa kwa "wazalendo" kifisadi ambao wengi wao nao wanazalisha kwa tija ndogo ukilinganisa na wazungu,

Halafu ni sahihi zaidi kusema Mandela aliyekaa gerezani kwa miaka 27 kwamba alipagania uhuru huko hao wengine uliowataja ingefaa zaidi waitwe watafuta uhuru.
 
Ukweli lazima usemwe weusi ni waharibifu Tanganyika ya mkoloni ilikuwa bora kuliko Tanganyika ya Nyerere.
Wengi hamuelewi, bahati ya maendeleo Tanganika iliharibiwa na Uingereza, mkumbuke baada ya Ujerumani kupokonywa Tanganyika, nchi haikubaki kama koloni bali ilikuwa ikisimamiwa na Muingereza. Sasa katika namna yoyote Muingereza hakuwa na plan za maendeleo Tanganyika. Uhuru wa Tangnyika uliaombwa na ukawa unaandaliwa so Wazungu wasingeweza kuboresha sehemu ambayo wanajua wanaondoka any time. Mandela alitumia akili sana, Binafsi sioni nyerere alitusaidia nini kwani uhuru hata asingeudai ungekuja tu mana hatukuwa koloni la mtu by the time anasema kapigania. Angeacha wazungu watawale wajenge kama south maana hain atofauti na sasa hivi, hawa kina mwigulu wana roho mbaya kuliko hata hao makaburu wa south.
 
Kuna uwezekano baadhi yenu msingezaliwa maana baba/babu zenu wangeuawa ama kukosa uhuru katika ardhi yao wenyewe, ni ajabu majitu yasiyo tambua nini maana ya Uhuru kung'ang'ania kutawaliwa na mtu mweupe kisa maendeleo ambayo nayo msingeyafaidi.

Huwa naombea sana hiki kizazi cha mitoto ya miaka ya 70-2000 mngeupitia ule utumwa walio pitia babu zetu akili zingewakaa sawa msingekuwa na mawazo ya kutawaliwa kisa mpate mseleleko.

Ni aibu kutegemea kujengewa nchi yako na mkoloni, jengeni kwa nguvu zenu, acheni mawazo ya kijinga na kitumwa enyi wakosa akili.
Hivi tawala zipi za watu Weusi hapa duniani zimefanikiwa pakubwa ktk kuzijenga nchi zoo sambamba na kuziletea maendeleo makubwa ya kiuchumi mfano wa yale yaliyopo Afrika ya Kusini?
 
Wengi hamuelewi, bahati ya maendeleo Tanganika iliharibiwa na Uingereza, mkumbuke baada ya Ujerumani kupokonywa Tanganyika, nchi haikubaki kama koloni bali ilikuwa ikisimamiwa na Muingereza. Sasa katika namna yoyote Muingereza hakuwa na plan za maendeleo Tanganyika. Uhuru wa Tangnyika uliaombwa na ukawa unaandaliwa so Wazungu wasingeweza kuboresha sehemu ambayo wanajua wanaondoka any time. Mandela alitumia akili sana, Binafsi sioni nyerere alitusaidia nini kwani uhuru hata asingeudai ungekuja tu mana hatukuwa koloni la mtu by the time anasema kapigania. Angeacha wazungu watawale wajenge kama south maana hain atofauti na sasa hivi, hawa kina mwigulu wana roho mbaya kuliko hata hao makaburu wa south.
Kaburu Botha alisha wahi sema " mwafrika hawezi kujitawala" jambo hili hata Malkia Elizabeth aliwahi kuwaambia wapigania uhuru wa kiafrika kwamba nyie mnadai uhuru lakini uwezo wa kujitawala hamna.

Na ukiangalia ni kweli Yale walio yapinga enzi za Ukoloni ndo yale yale walikujaa kuyakumbatia mpaka leo.
 
Kaburu Botha alisha wahi sema " mwafrika hawezi kujitawala" jambo hili hata Malkia Elizabeth aliwahi kuwaambia wapigania uhuru wa kiafrika kwamba nyie mnadai uhuru lakini uwezo wa kujitawala hamna.
Na wewe unayapaa uzito haya maneno, harakisha mlete hata mke wako nikusaidie kumtawala, wewe huwezi
 
Hivi tawala zipi za watu Weusi hapa duniani zimefanikiwa pakubwa ktk kuzijenga nchi zoo sambamba na kuziletea maendeleo makubwa ya kiuchumi mfano wa yale yaliyopo Afrika ya Kusini?
Umemuuliza swali nzuri sana,Mimi binafsi huwa nawaza ikiwa mambo madogo kama mipango miji,maji Safi na salama,afya,Elimu nk tumeshindwa tutaweza mipango ya maendeleo ya kiuchumi kweli ?

Kipindi taifa kama SA likiweka mipango ya taasisi imara na sio mtu imara,Tanzania ilikuwa ikiimba mapambia ya "zidumu fikra za Mwenyekiti"
 
Na wewe unayapaa uzito haya maneno, harakisha mlete hata mke wako nikusaidie kumtawala, wewe huwezi
Kataa kubali huo ndio ukweli wenyewe,huwezi weka katika uzani ulio sawa Kati ya uongozi wa nyumbani na nchi.Hapa anajadiliwa Mandella wewe unaleta mambo ya mke.

Ndo yale yale alisema Botho "Mwafrika anapenda sana ngono na kuoa wanawake wengi".
 
Na wewe unayapaa uzito haya maneno, harakisha mlete hata mke wako nikusaidie kumtawala, wewe huwezi
"Let us agreed that Blacks cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled. "

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.

Kauli hii ya Botha ina ukweli mchungu sana kuhusiana na sisi watu Weusi hapa duniani. Ushahidi na Uthibitisho kuhusu kauli hii upo ktk nchi zote za watu Weusi na zenye watawala Weusi hapa duniani.
 
Huyo mandela atamfikia kwame nkuruma?, nyerere? Jomo kenyata?, patrice lumumba?,

Jomo Kenyatta baada ya kushika madaraka tu alikwapua takribani ekari laki tano za ardhi nzuri akajimilikisha yeye na familia yake huku akiwaacha mau mau wenzake wakifa na chang'aa kwenye squatters.

Kwame Nkurumah na kikundi chake madarakani walikuwa mafisadi wakubwa sana na sera zao za ujamaa uchwara zilizosababusha udhia mkuu, kama wasingeondolewa mapema na wanajeshi Ghana ingeharibika vibaya sana na kukosa utulivu kwa muda mrefu kama nchi nyingine nyingi za Africa Magharibi.
 
Jomo Kenyatta baada ya kushika madaraka tu alikwapua takribani ekari laki tano za ardhi nzuri akajimilikisha yeye na familia yake huku akiwaacha mau mau wenzake wakifa na chang'aa kwenye squatters.

Kwame Nkurumah na kikundi chake madarakani walikuwa mafisadi wakubwa sana na sera zao za ujamaa uchwara zilizosababusha udhia mkuu, kama wasingeondolewa mapema na wanajeshi Ghana ingeharibika vibaya sana na kukosa utulivu kwa muda mrefu kama nchi nyingine nyingi za Africa Magharibi.
Kwame Nkrumah alipinduliwa mapema na Mwanajeshi chotara wa kizungu baada ya kuona kwamba Rais huyo alikuwa anazingua sana. Tanzania iko hovyo kwa kila kitu ni kwa sababu tulimchekea sana Mwl. Nyerere na sera zake mbaya za Siasa-mfu za Ujamaa ambazo watawala wanajipachika Umungu-mtu, kujikweza, kutaka kusifiwa, kuabudiwa na kutukuzwa na wananchi badala ya kuiongoza nchi ili kuleta maendeleo makubwa ya kiuchumi.
 
Kuna mzulu nilikutana nae Chuo alisema hi kauli, #Mandela sold us akendelea kusema kwamba the one who control means ya Uchumi wa nchi ndiye anayecontrol hata Uongozi wa nchi.
Hao wazulu ni manyani meusi akili kisoda yalikuwa yanatumiwa na makaburu kuleta fujo wakati wa uchaguzi wa Mandela na chama chao cha Inkhata
Ndio maana hawana mashiko yeyote huko
 
hilo shamba lako ama mashamba ya huko kijijini kwenu ungefurahi wazungu wangeendelea kuyamiliki ? ungejipiga kifua kusifia Nyerere katupa uhuru ?

TUKUBALI WAPI TUMESHINDWA NDIPO TUNAWEZA KUJIKOMBOA

Zimbabwe, Mozambique, Angola, Tanzania, Cameroon, Nigeria n.k zimeshindwa kujilisha licha ya ardhi kubwa ya rutuba.

Moeletsi Mbeki wa Afrika ya Kusini anaelezea kushindwa kwa mtu mweusi :

Hayo yamepigiliwa msumari na Moeletsi Mbeki kuwa tuache kulia tumepigwa kila eneo tofauti na jamii zingine ulimwengu:

Moeletsi Mbeki, kaka wa Rais wa zamani Thabo Mbeki alisema wazungu hawakuiba ardhi nchini Afrika Kusini, bali walipigania.



Mbeki alikuwa akizungumza kwenye 702 siku ya Jumatano katika mahojiano mapana kabla ya uchaguzi wa kitaifa na wa majimbo tarehe 29 Mei.



Kakake rais wa zamani pia aligusia mafanikio na kushindwa kwa sera ya African National Congress (ANC) katika miongo mitatu iliyopita ya serikali.

Wazungu walishinda mapigano
Mbeki alisema wazungu walipigania ardhi waliyonayo.



“Kulikuwa na vita kati ya watu weusi na watu weupe na wazungu wakashinda vita hivyo. Hawakuiba ardhi waliyoiteka.”

Alipoulizwa kama "mfumo wa kushinda" haukuwa wa haki kwa sababu wazungu walikuwa na rasilimali nyingi, Mbeki alisema kwa urahisi kuwa watu weusi walipigana na kushindwa. "Hapana, walipigana dhidi yake, walishindwa na unaposhindwa lazima ukubali kushindwa." Alipoulizwa kama "mfumo wa kushinda" haukuwa wa haki kwa sababu wazungu walikuwa na rasilimali nyingi, Mbeki alisema kwa urahisi kuwa watu weusi walipigana na kushindwa. "Hapana, walipigana dhidi yake, walishindwa na unaposhindwa lazima ukubali kushindwa."

Muhimu kwa ANC
Mbeki amekuwa akikosoa sana chama tawala cha ANC na Rais Cyril Ramaphosa.
Mwaka jana, alisema Afrika Kusini kuna uwezekano wa kuona ufisadi zaidi huku ANC ikikaribia kupoteza mamlaka.
Alisema Afrika Kusini haiko vizuri chini ya urais wa Ramaphosa.

Hapana, hapana, sisi sio bora zaidi. Kwa miaka 10 iliyopita, pato la kila mtu la Afrika Kusini limekuwa likipungua, ambayo ina maana kwamba tumekuwa maskini zaidi na bado tunazidi kuwa masikini hadi leo, hivyo hatuko vizuri zaidi.”

Mbeki alidai kuwa viongozi wa umma ndio kiini cha ufisadi.

"Sehemu ya uchungu ni jinsi ANC inavyokaribia kupoteza mamlaka, ndivyo ufisadi unavyozidi kuona.

Inabidi watoe kwenye bakuli hili la kulishia chakula na kuiweka mifukoni mwao kwa sababu wanafikiri kwamba baada ya [uchaguzi] hawatakuwa tena madarakani. Kwa hivyo, ninaogopa tuna maumivu mengi zaidi kutokana na ufisadi katika miezi ijayo,” Mbeki alisema.

Ramaphosa ‘sio kiongozi’
Mbeki hapo awali alisema Ramaphosa si "kiongozi bali wakala wa chama".

Alisema Ramaphosa ana moja ya mashine bora zaidi ya uhusiano wa umma ambayo anaweza kufikiria, "bora zaidi kuliko Bell Pottinger", lakini alishindwa kama rais wa Afrika Kusini.

"Mtu huyo ameshindwa kabisa kama rais, hawezi kuamua chochote, lakini watu wengi wanaamini kuwa anaweza kuokoa Afrika Kusini."

Cyril sio kiongozi kweli. Kamwe hakuwa kiongozi. Yeye ni mpambe au wakala wa chama lakini anajionyesha kuwa kiongozi. Yeye si kiongozi - ikiwa utamweka karibu na Nelson Mandela, Thabo Mbeki na hata Jacob Zuma."

Mbeki alisema Ramaphosa anashindwa kuwa kiongozi kwa sababu haamini chochote
Anakwenda na mtiririko. Anaamka asubuhi na kusema ‘upepo unavuma upande gani’ na ‘Nitaenda hivyo’.”

Mbeki pia alisema ANC kama pamoja inapaswa kulaumiwa kwa kushindwa kwa nchi.

'White people didn’t steal the land… black people must accept defeat’ – Moeletsi Mbeki​

1713221383870.png

Moeletsi Mbeki, the brother of former President Thabo Mbeki said whites did not steal the land in South Africa, but rather fought for it.

Mbeki was speaking on 702 on Wednesday in a wide-ranging interview ahead of the national and provincial elections on 29 May.

The former president’s brother also touched on the African National Congress’ (ANC) policy successes and failures in the last three decades of government.

Whites conquered​

Mbeki said the whites fought for the land they have.

“There was a war between the black people and the white people and the whites won the war. They did not steal the land they conquered it.”
Asked if the “system of conquering” was unfair because the whites had more resources, Mbeki simply said that black people fought and lost.“No, they fought against it, they were defeated and when you are defeated you have to accept defeat.”Asked if the “system of conquering” was unfair because the whites had more resources, Mbeki simply said that black people fought and lost.“No, they fought against it, they were defeated and when you are defeated you have to accept defeat.”


Critical of ANC​

Mbeki has been very critical of the governing ANC and President Cyril Ramaphosa.
Last year, he said South Africa was likely to see more corruption as ANC comes closer to losing power.
He said South Africa is not better off under the presidency of Ramaphosa.

No, no, we are not better off. For the last 10 years, the per capita income of South Africans has been declining, which means we have been getting poorer and we are still getting poorer today, so we are not better off.”

Mbeki alleged that public officials are at the heart of corruption.

“The painful part is the closer the ANC gets to losing power, the more corruption we are going to see.

They have to take out from this feeding trough and put it in their pockets because they think that after [the] elections they will no longer be in power. So, I am afraid we have a lot more pain coming from corruption in the coming months,” Mbeki said.


Ramaphosa ‘not a leader’​

Mbeki previously said Ramaphosa is not a “leader but a party agent”.

He said Ramaphosa has one of the best public relations machines he could think of, “even better than Bell Pottinger”, but failed as South Africa’s president

“The man has totally failed as a president, he can’t decide on anything, but many people believe he can save South Africa.”

Cyril is not a leader really. He was never a leader. He is an apparatchik or an agent of the party but he presents himself as a leader. He’s not a leader – if you put him next to Nelson Mandela, Thabo Mbeki and even Jacob Zuma.”

Mbeki said Ramaphosa fails as a leader because he does not believe in anything
He goes with the flow. He wakes up in the morning and says ‘which way is the wind blowing’ and ‘I’m gonna go that way’.”

Mbeki also said the ANC as a collective should be blamed for the country’s failures.
Source: citizen.co za
 
Matatizo nyeti 15 ya nchi za kiafrika baada ya kupata uhuru

Mahojiano ya Moeletsi Mbeki wa Afrika ya Kusini kuhusu waafrika kulialia na kubeba tumaini lisilokuwepo la kuonewa huruma.

Aainisha matatizo nyeti 15 ya nchi za kiafrika baada ya kupata uhuru, Yaliyoangusha uchumi wa nchi kwa kukosa ujuzi, weledi na uongozi

Matatizo yanayosababisha nchi za Waafrika nchi zao kuburuza mkia katika maendeleo ya watu na vitu ni katika maeneo ya Nishati ya Umeme, elimu duni kuanzia shule msingi hadi vyuoni, Kilimo cha mashamba makubwa, Masoko, viwanda, uongozi, rushwa, upendeleo, maprofesa wasomi kukimbilia ubunge na kazi ktk sekta ya umma badala ya sekta binafsi n.k

Haya mapungufu hapo juu ndiyo msingi sababu nchi za kiafrika zimezidiwa na hata nchi za Asia

Moeletsi Goduka Mbeki is a South African political economist

Moeletsi Mbeki foresees another five years of ANC’s five deadly sins


View: https://m.youtube.com/watch?v=WT15c0w4Soo
 
Km Nyerere tu, akipewa sifa huwezi jua kua ilifika hatua nchi ilimshinda, hali ikawa mbaya.
Harakati zenyewe za uhuru kafanya kukalibisha.

Ila sasa, kila kitu utasikia nyerere. Unafiki mwingi sana
Wachache Sana watakuelewa
 
Mandela alikuwa na chaguo hilo la kuwaacha makaburu waendelee na maisha yao kiuchumi au awanyang'anye mali zao kuzuke vita vya wenyewe kwa wenyewe kati weusi na wazungu.
Mandela huyo alikuwa wa mchongo ndio maana aliwaacha wazungu org walimuua jela
 
"Let us agreed that Blacks cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled. "

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Back
Top Bottom