Kwanini Mandela anasifiwa wakati hakuwapa Uhuru Waafrika wa asili wa Afrika Kusini

Inasikitisha sana
 


Umewahi kukaa siku 5 magereza sababu ya wa Tanzania? Tafakari hayo maneno utakuwa umepata jibu la swalo lako.
 
hivi unajua hata ulichoandika kweli??
 
jaribu tu kuwaza ingekuwaje hapa Tanzania karibu kila sehemu unayotafuta shamba tayari inamilikiwa na wazungu wachache huku sisi wengi wa asili hatuna ardhi
%90 ya aridhi yote yenye madini tanzania inamilikiwa na mabeberu,
 
hakuna kiongozi mnafiki kama nyerere,
 
Uganda nilienda kwenye 2016-7 wahindi kibao
 
Uganda nilienda kwenye 2016-7 wahindi kibao
Na ndio wenye hela tabaka la juu, Uganda hata Wasomali wachache wanadharau wenyeji. Idd Amin alipochukia kwanini Wahindi ndio wenye hela akawafukuza na kugawa biashara zao kwa Waganda. Mtu alikuwa kilaza na mzinzi uko eti anapewa usimamizi bakery ya mikate. Wakafirisika, ile wanarudi Wahindi miaka ya Museveni wakakuta viwanda na biashara zao zimekufa wakaanza upya na wakawa na utajiri.

Hii ngozi hatutaki kujitafakari. Kazi lawama, ngono, kujiliza na kuomba.
 
Mandela aliwauza Wasauzi yupo kiongozi mmoja aliuawa mwaka 1993 huko borgsburg ndie alikua na msimamo wa Ardhi alikataa kuungana na Sera za ANC wakati Mandela anatoka jela ilibidi Kaburu wafanye mpango auawe ntakumbuka chama chake na yeye mwenyewe...
 
Mara nyingi kama sio mara zote ukisikia mtu anatumia rangi kuzungumzia maslahi ya nchi Kunakuwq na hidden agenda
Zimbabwe lilipoanza vuguvugu la utaifishaji mashamba kutoka kwa weupe wachache raia wengi walidhani ni kwa maslahi ya nchi. Baada ya mashamba kunyakuliwa yakagawiwa kwa watu walioitwa WAPIGANIA UHURU Operation ya haya mashamba wakati yanamilikiwa na Wqzungu kuanzia gateman mpaka CEO wote walikuwa blacks na activities zilikienda very smooth. A rational decision ilikuwa ni kuwaachia hawa watendaji (blacks) waendeshe hizo shughuli za uzalishaji lakini WAPIGANIA UHURU wakawa ndio mwiba kwa watendaji
Mwishowe mashamba na viwanda vyote vikafa kifo Cha mende
 
Mandela sifa yake kubwa ni kukaa gerezani miaka 27 hamna kingine kimsingi nyerere kafanya kazi kubwa africa sifa zingeenda kwake zaidi ya Mandela
 
Anaetaka kusifiwa kama Mandela nae akae gerezani kwa miaka 28, anyanyaswe, ateswe kwa kutumia umeme. Mandela anastahili hiyo heshima.
 
Hiyo forgiveness ndio mabeberu walimpendea, japo bado US iliendelea kumuweka Mandela na ANC kwenye orodha ya magaidi mpaka mwaka 2008 walipomuondoa.
 
jaribu tu kuwaza ingekuwaje hapa Tanzania karibu kila sehemu unayotafuta shamba tayari inamilikiwa na wazungu wachache huku sisi wengi wa asili hatuna ardhi
Tunge adapt, waza madini yanavyouzwa ilifaidika kule chalinze pamoja na gesi. Kaja jamaa akagawa mitungi ya gesi yao eti Kuni ni mbaya , pia wanaweka Sheria Kali eti tusikate miti kwa mkaa na kuni huku kwa mbao inakatwa na madini yanachimbwa sijui Sasa ni zipo maliasili ambazo haziishi
 
nafuu ya kabakisha wazungu angalau mambo yapo hivyo,angewanyang'anya kila kitu au kiwatimua nadhani hali ingekua mbaya zaidi ya hapo,pengine kungekua na wakimbiza kutoka south Africa kwa nchi za jirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…