Kwanini mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote humwogopa YESU KRISTO

Mapepo ya wapi ya kwenye movie ya yesu alipo wamulu wale nguluwe. Test basi ngamboshi tuone usiku utakucha kwa maluweluwe
 
Maombi yana msaada mkubwa sana kwenye kuugua mwili. Mungu anaponya.
Rejea kwenye swali la awali bila maelezo mengi mkuu au kama yana ulazima yajibu moja kwa moja swali.
 
Kama maombi yanamsaada kwanini viongozi wa maombi hawajiombei wapone bali hukimbilia mahospitalini su nao hawana imani??
 
Huenda nae ni pepo la Kiyahudi lenye uwezo mkubwa. Ila ni kwa nini ameshindwa kuwateka wayahudi na imani yao?
 
Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
 
Achana na mapepo hayo yasioonekana, tuanze na vibaka wa mtaani kwanza tukemee wote waache, kisha washerati na wazinzi, kisha umasikini na magonjwa.

Unakoromeanaje na pepo ambaye hatumuoni?
 
Achana na mapepo hayo yasioonekana, tuanze na vibaka wa mtaani kwanza tukemee wote waache, kisha washerati na wazinzi, kisha umasikini na magonjwa.

Unakoromeanaje na pepo ambaye hatumuoni?
Kuwakemeaje? Hapo sijakuelewa kuwafata mtaa kwa mtaa au?
 
Mbona matajiri hatuoni wakipatwa na mapepo!!
Wengi wao lao moja, mapepo yanafata watu wasio nao sambamba, ata mlevi sjui mwizi ni tofauti na mtu ambaye anajisafisha kwa damu ya yesu, kwahiyo shetani haweZi kuwinda mtu wake ni ujinga atazunguka kutafuta waliomkataa ila aweze kuwatwika maroho! Shetani anatafuta watu wa kwenda nao..
 
Kwa hiyo matajiri ni watu wa shetani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…