Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Aziz?


Rostam ni King maker toka enzi za Mkapa. Usikute hata hii miradi anayo sain Maza na Waarabu anamfanyia kazi Rostam.
 
Vatican iko Italy labda alitaka kwenda kufanya Shopping Rome.
Vatican na Italy ni sehemu tofauti kiutawala na kila kitu..
Unaweza ukawa Raia wa Italy lakini usiwe Na uraia wa Vatican..

Vatican Ni separate kwenye Kila kitu mpaka Utawala au hujui hilo?

hujui kama Rais wa Italy hana Mamlaka Vatican?
Na vatican ni Independency state so kwa Kiserkali haiko italy
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…