Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Aziz?

Wote Samia na Rostam wanatafuta fursa! Samia anatafuta fursa akijificha nyuma ya mgongo wa Rostam.
 
Sijaongelea mambo ya kimamlaka ila nimesema ukienda Vatican iko Rome na huenda Rostum anaenda kufanya Shopping Rome.

Na Rome iko Italy.
Mkuu Vatican na Roma ni nchi mbili tofauti..
VATICAN ni nchi tofauti..

Unaifahamu LESOTHO..
SI iko ndani ya South Africa?
UNajua ya yenyewe ni Mchi iliyo ndani ya nchi?
 
Mkuu Vatican na Roma ni nchi mbili tofauti..
VATICAN ni nchi tofauti..

Unaifahamu LESOTHO..
SI iko ndani ya South Africa?
UNajua ya yenyewe ni Mchi iliyo ndani ya nchi?
Kwahiyo ukifika Vatican unapigwa marufuku kufanya Shopping Rome?
 
hawa ndio mataicoon wanaamua nani, wakati na nini kifanyike ili mambo yaende hawa matajiri ndio wenye nchi mkuu.
 
Ukisikia ntu ya mfumo ndo hao sasa! Au unadhani usalama wote ni wamatumbi tu???
Mbona vitu vingine ni vyakujiongeza easy tu.
Watu wa bara wanaona akishakua mweusi tii na kujua kilugha basi yeye ndio Mzalendo,Mtanzania halisi. Hii nchi Ina historia na imetoka mbali. Kitendo cha mwanamke mzanzibari kua raisi tena bila tabu yoyote ni kitu kikubwa,ila sababu washamba wengi wasiojua mambo yanavoenda ndio wamebaki kuzua theory mbalimbali ambazo ni ziko mbali na ukweli wenyewe.
 
Miaka hiyo ya 1995, ilikuwa ni enzi ya Mwinyi. Rostam yupo kwenye mishemishe toka enzi za Mwinyi mpaka leo. Kila ishu, kila dili, kila kiongozi, kila skendo, Rostam jina lake lipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…