inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
1995 ndiyo alianza kujijenga,na vijana wenzie akina lowasa na jakayaMiaka hiyo ya 1995, ilikuwa ni enzi ya Mwinyi. Rostam yupo kwenye mishemishe toka enzi za Mwinyi mpaka leo. Kila ishu, kila dili, kila kiongozi, kila skendo, Rostam jina lake lipo.
Watu wanasema ni mfanyabiashara wa siku nyingi toka enzi za Mwinyi akiwa mdogo ila hakuwa don. Ila alikuwa na connection na mawaziri na manaibu waziri enzi za Mwinyi. Na enzi hizo jakaya alikuwa waziri. Yupo kwenye game siku nyingi. Ana mbinu nyingi na connection nyingi.1995 ndiyo alianza kujijenga,na vijana wenzie akina lowasa na jakaya
Hizo biashara karithi,zilianza tangu mababu 150 years ago,binafsi naijua kampuni ya Caspian,ilikua kampuni ndogo inayolipa vibaya pale mgodini lusu 1990s,now imekua kubwa,nilisoma pahala imekabidhiwa mgodi,nadhani ni Williamson mwaduiWatu wanasema ni mfanyabiashara wa siku nyingi toka enzi za Mwinyi akiwa mdogo ila hakuwa don. Ila alikuwa na connection na mawaziri na manaibu waziri enzi za Mwinyi. Na enzi hizo jakaya alikuwa waziri. Yupo kwenye game siku nyingi. Ana mbinu nyingi na connection nyingi.
Acha wivu we mpuuzi baba yako si.alijiona mjanja kila siku kwenda Ddc mlimani park oan sasa amezaa mtoto mwenye wivu kama.weweHawa wazee wa CCM ebu wafe waishe kwanza wanaghasia sana katika nchi hii, ona kama huyo sasa🚮
Duh!Hizo biashara karithi,zilianza tangu mababu 150 years ago,binafsi naijua kampuni ya Caspian,ilikua kampuni ndogo inayolipa vibaya pale mgodini lusu 1990s,now imekua kubwa,nilisoma pahala imekabidhiwa mgodi,nadhani ni Williamson mwadui
Jamaa kakua Sana kiuchumi,1995-2024,kapiga Sana hatua,wakati kautendea hakiDuh!
Connection alizonazo ndio zimemkuza. Ila kila skendo ya upigaji lazima Jina lake liwepo. Nahisi hizo skendo zimemsaidia mno kwenye biashara zake. Kuanzia epa mpaka leo. Mpaka kwenye royotua jina lake lipo 🤣🤣🤣. Huyo mwamba kwenye kikosi cha first eleven ya upigaji Tz hakosi namba.Jamaa kakua Sana kiuchumi,1995-2024,kapiga Sana hatua,wakati kautendea haki
SAsa alienda Rome au Vatican..Kwahiyo ukifika Vatican unapigwa marufuku kufanya Shopping Rome?
Biashara ya nishati ni hela,dowans sijui vitu gani,na Sasa taifa gas ni tz na Kenya na nadhani muda si mrefu east and central Africa yote atasambaza gas Hadi huko Zambia,Botswana,Namibia...akiishi miaka 7 ijayo atakua tajiri Sana, ndo nikajua kwa nini wafanyabiashara biashara waligombea ubunge na udiwani, rubbing shoulders with people with authority,deals inakua mserereko,no vikwazo,biashara na siasa ni damudamu,hutakiwi kuwa against wanasiasa waliopo madarakaniConnection alizonazo ndio zimemkuza. Ila kila skendo ya upigaji lazima Jina lake liwepo. Nahisi hizo skendo zimemsaidia mno kwenye biashara zake. Kuanzia epa mpaka leo. Mpaka kwenye royotua jina lake lipo 🤣🤣🤣. Huyo mwamba kwenye kikosi cha first eleven ya upigaji Tz hakosi namba.
Hivi Vatican city haipo Rome!?..nachojua Vatican city ni kama mlimani citySAsa alienda Rome au Vatican..
Maana huwezi sema umeenda Malawi halafu unaonekana upo south Afrika au uko malawi unasema nipo Tanzania au?
Acha ubishi ndugu nadhani hujawahi fika hata Roma.SAsa alienda Rome au Vatican..
Maana huwezi sema umeenda Malawi halafu unaonekana upo south Afrika au uko malawi unasema nipo Tanzania au?
Hahaha Alikuwa anaenda Disco Mbowe Enzi hizo kabla haijaitwa Club Billicanas 🤣🤣Acha wivu we mpuuzi baba yako si.alijiona mjanja kila siku kwenda Ddc mlimani park oan sasa amezaa mtoto mwenye wivu kama.wewe
Hawa wazee wa CCM ebu wafe waishe kwanza wanaghasia sana katika nchi hii, ona kama huyo sasa🚮
Napoongea na Wewe Niko Italy na Nina miaka zaidi ya kumi huku,Nilikuwa Sweeden na Denmark na Nachokuambia Nakujua Vizuri sana Vatican city inauongozi na ina kiti UNAcha ubishi ndugu nadhani hujawahi fika hata Roma.
Unaijua Lesotho Mkuu..Hivi Vatican city haipo Rome!?..nachojua Vatican city ni kama mlimani city
Umeenda kwa kuguugo?Napoongea na Wewe Niko Italy na Nina miaka zaidi ya kumi huku,Nilikuwa Sweeden na Denmark na Nachokuambia Nakujua Vizuri sana Vatican city inauongozi na ina kiti UN
Hakuna mzalendo MaskiniNawasalimu..
MIMI NI MZALENDO..
Tumeshuhudia Safari nyingi za Rais Samia Za nje ya nchi zote Rostam lazma awepo iwe safari ya India au zingine zote..
Leo Rostam kaingia live kuelezea Kuhusu Lowassa cha ajabu Location Yake inasoma VATICAN wakati huo Rais na yeye akiwa huko..
Kwani Rostam Yeye huko Kwemye Jopo la Rais Ana cheo gani?
View attachment 2902047
Kufa sio solution mkuu wataibuka wengine na wengineHawa wazee wa CCM ebu wafe waishe kwanza wanaghasia sana katika nchi hii, ona kama huyo sasa🚮
Hakika, tuwatafutie dawa eehKufa sio solution mkuu wataibuka wengine na wengine
HakikaHwawezi isha wengine waja kina nape,makonda, riz1,chakubanga etc
Na baadayao nao wanawatoto wao kama yule wa mwigulu
Tuombe tupate katiba mpya tu