Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Utakuta mwanaume uko vizuri kipesa, unamuona mdada unampenda, ila amepauka kwa umaskini. Unajitoa kumhudumia kipesa kwa hali na mali, hadi mdada ananawiri, ila atakachokuja kukulipa huyo binti, ni heri tu angekuambia tuachane.
Niliona makala YouTube, mdada mmoja wa Kifilipino alimuua mume wake wa kizungu mwenye pesa ili abaki na mpenzi wake wa kifilipino, na arithi mali za huyo mzungu.
mume wa kizungu alimpenda Sana huyo dada hadi alijengea ndugu za huyo dada ghorofa. Dada alikuwa anapewa $1000 kwa mwezi, na maisha mazuri. Sehemu ya hiyo hela alimnunulia pikipiki mpenzi wake wa Kifilipino ambaye mwaka mzima mshahara wake haufiki $1000! Kuna cases nyingi sana zinafanana na hii.
Yaliyowakuta njooni mtoe ushuhuda hapa.