Kwanini Marais wengi wa Afrika ni wanene wakati Ulaya, Amerika na Asia ni Wembamba?

Unadharau sana.

Yaani unene ni utaahira??
 
Miili mikubwa plus ulafi wa kula kula hovyo.
 
Ulaya wanachagua wenye shibe
Afrika tunachagua wenye njaa wanashibia madarakani
 
Rais wa ufaransa emanuel macron na waziri mkuu wa uingereza rishi sunak ni wembamba hawana vitambi. Kwetu kulikuwa na rais nyerere na waziri mkuu wake warioba walikuwa wembamba na hawakuwa na vitambi, mpaka sasa mzee warioba hana kitambi walipendeza sana. Hawa wenye vitambi na wanene huenda ni morhology ya miili yao ndivyo ilivyo, hata wakijinyima kula ni kazi bure wataumia kuzuia unene na vitambi vyao
 
Ila kuna wengine wamekuwa wanene na kuwa na vitambi kutokana na ulafi wao
 
Bila kusahau wanawake wa ulaya vs wa africa
 
Joto kali sn
 
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya ujinga na unene.... Pita mashuleni au mtaani
 
Akiwa mwembamba hatumchagui,unachaguaje balozi wa njaaa
Sijawahi kuona mwembamba amegombea
 
Acha nikae kimya mana mimi mwenyewe nna mwili mkubwa japo sio rais
 
Nyerere, Lumumba, Mugabe, Mandela, Naseer, Sankara kwa kufupi na uchache hawakua wanene (na vitambiz najua ndio unene unaoongelea
 
Kakagame ni mua kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…