Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,025
- 1,270
Habari Wakuu!
Katika mapitio yangu ya CV za watu mashahuri Nchini, Week kadhaa nyuma nilipata wasaa wa kupitia CV ya the Late Hon. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa WHO kanda ya Africa.
Hivyo swali langu nilitamani kufahamu umuhimu wa MD kusomea degree ya sheria ilihali tayari yeye ni specialist kwenye Afya.
View attachment 3176412
Mkuu Congressman Salam
Je kwanini Hayati Ndugulile Alisoma shahada ya Sheria wakati tayari akiwa MD ni vigumu kwa yeyote kumjibia muhusika kikamilifu hata hivyo naomba nitoe mtizamo wangu kama ifuatavyo :-
1. Katika dunia ya Leo mwanasiasa mtunga Sheria (Mbunge au Diwali) kuwa na alau ABC za Sheria kama sio degree ya Sheria hiyo inakuwa added advantage
2. Katika dunia ya Leo tathnia ya Sheria na Uhandishi Habari, specialization ina nguvu sana. Mfano pakiwapo Mahakamani kesi ya Mkandarasi kuchakachua katika ujenzi wa Jengo au Barabara, kuupinga au kuuthibisha huo uchakachuaji wakiwapo wanadheria ambao ni Wahandisi hiyo kesi itanoga sana. Au Pakiwapo Mahakamani kesi ya Daktari au Hospitali kusababisha kifo au vifo, Mwanasheria ambaye sio Daktari anaweza asiwasilishe ipasavyo hoja za mashitaka au utetezi base on report za uchunguzi walizofanyiwa marehemu
Kwa upande wa Uhandishi wa habari, kwa vyombo vikubwa kama CNN, BBC, Sky News, Aljazera unakuta Mhandishi wa habari za Afya ni Daktari au Ana ABC za afya, Mhandishi wa habari za Sheria kama Pascal Mayalla ni Mwanasheria.
Itoshe tu kusema swali LA mkuu Congressman hapo juu sio LA kupuuza bali ni swali fikirishi.
Ahsante