Kwanini Marehemu Faustine Ndugulile alienda kusoma sheria (LL.B), wakati tayari alikuwa ni Daktari (MD)?

Habari Wakuu!

Katika mapitio yangu ya CV za watu mashahuri Nchini, Week kadhaa nyuma nilipata wasaa wa kupitia CV ya the Late Hon. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa WHO kanda ya Africa.

Hivyo swali langu nilitamani kufahamu umuhimu wa MD kusomea degree ya sheria ilihali tayari yeye ni specialist kwenye Afya.

View attachment 3176412
Mkuu Congressman Salam

Je kwanini Hayati Ndugulile Alisoma shahada ya Sheria wakati tayari akiwa MD ni vigumu kwa yeyote kumjibia muhusika kikamilifu hata hivyo naomba nitoe mtizamo wangu kama ifuatavyo :-

1. Katika dunia ya Leo mwanasiasa mtunga Sheria (Mbunge au Diwali) kuwa na alau ABC za Sheria kama sio degree ya Sheria hiyo inakuwa added advantage

2. Katika dunia ya Leo tathnia ya Sheria na Uhandishi Habari, specialization ina nguvu sana. Mfano pakiwapo Mahakamani kesi ya Mkandarasi kuchakachua katika ujenzi wa Jengo au Barabara, kuupinga au kuuthibisha huo uchakachuaji wakiwapo wanadheria ambao ni Wahandisi hiyo kesi itanoga sana. Au Pakiwapo Mahakamani kesi ya Daktari au Hospitali kusababisha kifo au vifo, Mwanasheria ambaye sio Daktari anaweza asiwasilishe ipasavyo hoja za mashitaka au utetezi base on report za uchunguzi walizofanyiwa marehemu

Kwa upande wa Uhandishi wa habari, kwa vyombo vikubwa kama CNN, BBC, Sky News, Aljazera unakuta Mhandishi wa habari za Afya ni Daktari au Ana ABC za afya, Mhandishi wa habari za Sheria kama Pascal Mayalla ni Mwanasheria.
Itoshe tu kusema swali LA mkuu Congressman hapo juu sio LA kupuuza bali ni swali fikirishi.

Ahsante​
 
Post yako ina mantiki kwenye point one tu.

Specialisation ya LLB ya Ndugulile inaishia kwenye afya tu.

Hana huo uelewa wa mambo ya kandarasi; ni way beyond ya mafunzo ya LLB na taaluma yake ya awali.

Huo weledi asingeweza kuwa nao miaka 800.

Huwezi kujiandikia vitu tu kutoka kichwani kwako. Unatakiwa kuelewa how things work.
 
Pamoja na mawazo ya wengi humu ambayo yamepelekea kwenda Off Topic hili ni swali zuri sana na naweza kusema ni swali la siku.... kama Conficius alivyosema; The man who asks a question is a fool for a minute, the man who does not ask is a fool for life.

Nikirudi kwenye mada nadhani swali lako limejikita kwenye utamaduni wa sasa wa kwamba mtu unasoma ili upate cheti na unapata cheki ili kikusaidie kwenye kipato na sio uelewe wa kupambana na mazingira yako au kukidhi matamanio yako....

Alikuwepo mdau alikuwa anakusanya degree kama stamps..., yaani anaona hii bado sina ngoja nichukue ila anafika hata wakati anapropose kwa Chuo kuanzisha Course fulani au mchanyato wa Course (kwake yeye vyeti ilikuwa challenge / prestige)... Kuna mwingine vitu vinakuja kwa urahisi au anapenda kitu fulani na alisomea kitu ambacho alikuwa hakipendi kuliko hiki na sasa hivi kapata muda. Unaweza ukawa ni Mwanakemia ila unapenda kuimba na kuna Course ya kuimba hivyo unaona kwanini nisiongeze ujuzi na kuwa certified

Sasa ingawa Muhusika simfahamu wala siwezi kujua motive yake, LAKINI pia nadhani mleta uzi una point fulani kwamba Medicine ni pana sana na kubwa na ngumu na hivyo mshika mbili huenda zote zikamponyoka..., ila katika dunia ya leo unaweza ukawa MD au Lawyer ila haufanyi practice wala ku deal na hizo issue day to day hata hadi kupata muda wa kupiga porojo kwenye siasa, Hivyo vyeti vinakuwa ni qualification za kuweza kukuuza wewe especially kwenye kazi za administration (sababu una ufahamu wa field nyingi)..., Ndio maana hata Mwinyi Rais ambaye ni MD nina uhakika sasa hivi akiamua na muda anao anaweza hata akapiga hata Masters za kutosha (na sio za kupewa bali za kufanya kabisa kazi na kutoa maandiko)

To each His/Her Own...
 
Pamoja na mawazo ya wengi humu ambayo yamepelekea kwenda Off Topic hili ni swali zuri sana na naweza kusema ni swali la siku.... kama Conficius alivyosema; The man who asks a question is a fool for a minute, the man who does not ask is a fool for life.

Nikirudi kwenye mada nadhani swali lako limejikita kwenye utamaduni wa sasa wa kwamba mtu unasoma ili upate cheti na unapata cheki ili kikusaidie kwenye kipato na sio uelewe wa kupambana na mazingira yako au kukidhi matamanio yako....

**** mdau alikuwa anakusanya degree kama stamps..., yaani anaona hii bado sina ngoja nichukue ila anafika hata wakati anapropose kwa Chuo kuanzisha Course fulani au mchanyato wa Course (kwake yeye vyeti ilikuwa challenge / prestige)... Kuna mwingine vitu vinakuja kwa urahisi au anapenda kitu fulani na alisomea kitu ambacho alikuwa hakipendi kuliko hiki na sasa hivi kapata muda. Unaweza ukawa ni Mwanakemia ila unapenda kuimba na kuna Course ya kuimba hivyo unaona kwanini nisiongeze ujuzi na kuwa certified

Sasa ingawa Muhusika simfahamu wala siwezi kujua motive yake, LAKINI pia nadhani mleta uzi una point fulani kwamba Medicine ni pana sana na kubwa na ngumu na hivyo mshika mbili huenda zote zikamponyoka..., ila katika dunia ya leo unaweza ukawa MD au Lawyer ila haufanyi practice wala ku deal na hizo issue day to day hata hadi kupata muda wa kupiga porojo kwenye siasa, Hivyo vyeti vinakuwa ni qualification za kuweza kukuuza wewe especially kwenye kazi za administration (sababu una ufahamu wa field nyingi)..., Ndio maana hata Mwinyi Rais ambaye ni MD nina uhakika sasa hivi akiamua na muda anao anaweza hata akapiga hata Masters za kutosha (na sio za kupewa bali za kufanya kabisa kazi na kutoa maandiko)

To each His/Her Own...
kwa kifupi maandishi yako ni ujinga.

Hiyo elimu yako haina faida kwenye mission/objectives za serikali inayojitambua,

Ni culture issues tu za watanzania.

LLB ya Ndugulile haiwezi kuwa na faida nje ya afya, uwezi soma sheria kwa mwaka mmoja kwa upana wake.

Acheni na hizi fikra kudhani mtu ana shahada fulani basi ana akili sana.

Kutokana na background yake ya elimu, hakuna kitu ambacho Ndugulile angeweza kisheria nje ya shahada yake ya kwanza.

Unadhani law ni discipline ndogo.
 
Habari Wakuu!

Katika mapitio yangu ya CV za watu mashahuri Nchini, Week kadhaa nyuma nilipata wasaa wa kupitia CV ya the Late Hon. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa WHO kanda ya Africa.

Hivyo swali langu nilitamani kufahamu umuhimu wa MD kusomea degree ya sheria ilihali tayari yeye ni specialist kwenye Afya.

View attachment 3176412
Kila mtu ana hobbies na malengo yake. Kwanini alifanya hivyo that up yo him. Focus na yako
 
kwa kifupi maandishi yako ni ujinga.
Nadhani wewe ndio mjinga tena tatizo la ujinga kama huo ni kwamba hujui kama ni ujinga hence kuendelea kuwa mjinga to infinity..., unaangalia mambo kutoka kwenye perspective yako na sio perspective ya muhusika aliyefanya kilichofanyika
Hiyo elimu yako haina faida kwenye mission/objectives za serikali inayojitambua,
Naam haina kabisa, ila una assume kwamba alifanya alichofanya ili kukidhi Mission na Objectives za Serikali, na sio mambo binafsi... Tena Serikali hii ya sasa ambayo hata haitoi grants kwa watu bali watu kujisomea haina moral grounds za kusema lolote..., Ingawa ukiangalia kwenye mtizamo wa nchi tuna Jacks of all Trades and Masters of None..., Ndio maana tumejaza wataalamu wa mambo kibao wanapiga porojo kwenye Siasa na tunawafundisha watu kwa Kodi zetu katika sekta tofauti alafu tunawaambia wakajiajiri wakawe wachuuzi....
Ni culture issues tu za watanzania.
Naam ndio hizo culture na sio Bongo tu dunia nzima kila watu wana mtizamo tofauti..., hata wewe mtizamo wako ni kutumia ujuzi wa huyu kujenga nchi huenda yeye mtizamo wake ni kujijenga binafsi and care less about everyone else...., na dunia ya leo ya looking after Numero Uno (Who can Blame him).., Kuepuka haya mambo ni nchi ingekuwa inatoa full grants kwa Creme de la Creme za nchi, na kuhakikisha hao watu waliotumia Kodi za wananchi wanarudisha walichochokua kwa kufanya kazi ambayo walibidi wafanye kama nilivyosema Medicine ni kubwa sana Ukienda deep na kufanya research huwezi kuimaliza hata ukiishi four lifetimes, vilevile Law nayo ni Pana sasa mtu kama kasomeshwa na anapata muda wa kufanya haya yote na muda wa porojo za kwenye siasa as well as kuwatumikia wananchi huenda he / she is not giving his/her all kwa waliomsomesha (kama alisomeshwa) ila kama alijitafutia who are we to judge (huenda ni hobby yake kukusanya vyeti)
LLB ya Ndugulile haiwezi kuwa na faida nje ya afya, uwezi soma sheria kwa mwaka mmoja kwa upana wake.
Unajuaje kama kwake ni field ambayo alikuwa curious na anapenda Sheria (na angeweza hata kuwa Bush Lawyer) na sababu kuna mitihani na ameona anaweza kushinda kwanini asifanye na kushinda ? After all huenda hobby yake ni Kuongeza Herufi kabla ya jina lake (prestige) ukizingatia binafsi naona hata kuwa kwake kupiga blah blah bungeni its a loss kwa field of medicine ambayo bado ni mengi yanahitaji kuvumbuliwa..., The Giants of the Past nao wangejikita kwenye hizi mambo huenda mengi yasingegunduliwa....
Acheni na hizi fikra kudhani mtu ana shahada fulani basi ana akili sana.
And who said that I might Ask..., sababu definitely its not me... Hii dunia ya leo ya kuweza kupata watu wa kukufanyia degree na wengine wa kupata za kupewa na Vyuo feki (Hata Rais wa Marekani alihusika na kimoja cha Utapeli) unaweza kuwa na as many Shahada's as the weight of your Wallet....
Kutokana na background yake ya elimu, hakuna kitu ambacho Ndugulile angeweza kisheria nje ya shahada yake ya kwanza.

Unadhani law ni discipline ndogo.
Again Ukisoma majibu ya juu hii statement yako ya mwisho ni Void...
 
Habari Wakuu!

Katika mapitio yangu ya CV za watu mashahuri Nchini, Week kadhaa nyuma nilipata wasaa wa kupitia CV ya the Late Hon. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa WHO kanda ya Africa.

Hivyo swali langu nilitamani kufahamu umuhimu wa MD kusomea degree ya sheria ilihali tayari yeye ni specialist kwenye Afya.

View attachment 3176412
Ilikuwa vizuri umuulize mwenyewe. Lakini ndo vile tena
 
Habari Wakuu!

Katika mapitio yangu ya CV za watu mashahuri Nchini, Week kadhaa nyuma nilipata wasaa wa kupitia CV ya the Late Hon. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa WHO kanda ya Africa.

Hivyo swali langu nilitamani kufahamu umuhimu wa MD kusomea degree ya sheria ilihali tayari yeye ni specialist kwenye Afya.

View attachment 3176412
Kuna watu wanasoma hivyo ili kuchanganya sheria na afya na kuweza kuwa viongozi wazuri wa sekta ya afya. Ndiyo maana mtu kama huyu akisimama kuomba kazi ya uongozi WHO wanaheshimu hiyo combination yake kwa sababu mtu kama huyo anakuwa mzuri kwenye policy (sheria) na anaijua sana sekta ya afya (MD).
 
Nadhani wewe ndio mjinga tena tatizo la ujinga kama huo ni kwamba hujui kama ni ujinga hence kuendelea kuwa mjinga to infinity..., unaangalia mambo kutoka kwenye perspective yako na sio perspective ya muhusika aliyefanya kilichofanyika

Naam haina kabisa, ila una assume kwamba alifanya alichofanya ili kukidhi Mission na Objectives za Serikali, na sio mambo binafsi... Tena Serikali hii ya sasa ambayo hata haitoi grants kwa watu bali watu kujisomea haina moral grounds za kusema lolote..., Ingawa ukiangalia kwenye mtizamo wa nchi tuna Jacks of all Trades and Masters of None..., Ndio maana tumejaza wataalamu wa mambo kibao wanapiga porojo kwenye Siasa na tunawafundisha watu kwa Kodi zetu katika sekta tofauti alafu tunawaambia wakajiajiri wakawe wachuuzi....

Naam ndio hizo culture na sio Bongo tu dunia nzima kila watu wana mtizamo tofauti..., hata wewe mtizamo wako ni kutumia ujuzi wa huyu kujenga nchi huenda yeye mtizamo wake ni kujijenga binafsi and care less about everyone else...., na dunia ya leo ya looking after Numero Uno (Who can Blame him).., Kuepuka haya mambo ni nchi ingekuwa inatoa full grants kwa Creme de la Creme za nchi, na kuhakikisha hao watu waliotumia Kodi za wananchi wanarudisha walichochokua kwa kufanya kazi ambayo walibidi wafanye kama nilivyosema Medicine ni kubwa sana Ukienda deep na kufanya research huwezi kuimaliza hata ukiishi four lifetimes, vilevile Law nayo ni Pana sasa mtu kama kasomeshwa na anapata muda wa kufanya haya yote na muda wa porojo za kwenye siasa as well as kuwatumikia wananchi huenda he / she is not giving his/her all kwa waliomsomesha (kama alisomeshwa) ila kama alijitafutia who are we to judge (huenda ni hobby yake kukusanya vyeti)

Unajuaje kama kwake ni field ambayo alikuwa curious na anapenda Sheria (na angeweza hata kuwa Bush Lawyer) na sababu kuna mitihani na ameona anaweza kushinda kwanini asifanye na kushinda ? After all huenda hobby yake ni Kuongeza Herufi kabla ya jina lake (prestige) ukizingatia binafsi naona hata kuwa kwake kupiga blah blah bungeni its a loss kwa field of medicine ambayo bado ni mengi yanahitaji kuvumbuliwa..., The Giants of the Past nao wangejikita kwenye hizi mambo huenda mengi yasingegunduliwa....

And who said that I might Ask..., sababu definitely its not me... Hii dunia ya leo ya kuweza kupata watu wa kukufanyia degree na wengine wa kupata za kupewa na Vyuo feki (Hata Rais wa Marekani alihusika na kimoja cha Utapeli) unaweza kuwa na as many Shahada's as the weight of your Wallet....

Again Ukisoma majibu ya juu hii statement yako ya mwisho ni Void...
Naelewa jibu langu alitokuwa fair kwa jinsi ulivyobwabwaja ilihitajika na mimi kutoa maelezo ku-counter your nonsense m.

Back to the real world 99% ya maandishi yako ni vitu ulivyotoa kichwani kwako.

Hujui Sheria kwa upana wake (kwa watu wanaoisoma) kwa miaka minne na uelewa wanaotoka nao.

Hujui tofauti ya shahada za sheria zinazotolewa kwenye bachelor

Kwa mantiki hiyo uwezi elewa faida ya LLB kwa mtu ambae hana msingi wa elimu ya sheria kama degree yake ya kwanza.

Unatakiwa uelewe fundamentals kwanza kabla ya kuandika mambo.

Huwezi kuandika mambo kutoka kichwani when you argue. Huo ndio msingi wa elimu apply underpinned knowledge.

Huna hoja ya kujibuwa, ni vitu vya kutoka kichwani kwako tu.

You can’t do that.
 
Kuna watu wanasoma hivyo ili kuchanganya sheria na afya na kuweza kuwa viongozi wazuri wa sekta ya afya. Ndiyo maana mtu kama huyu akisimama kuomba kazi ya uongozi WHO wanaheshimu hiyo combination yake kwa sababu mtu kama huyo anakuwa mzuri kwenye policy (sheria) na anaijua sana sekta ya afya (MD).
Sometimes wazungu wanatuacha tu.

Ushaenda kwenye hivyo vyuo vyao vinavyo promote kuajiri walimu waafrika.

Usiombe, lecture zao tu mbovu; kweli kweli. To think those are the people who are gonna mark your research work (salalee).

Halafu sasa walivyokuwa washenzi wazungu wana branch zao, vyuo hivyo hivyo nje ya mji wanafunzi wazungu na walimu wazungu quality tofauti.

Usitishike na shahada za waafrika.

Kinachowasaidia nikujiamini kuna wasaa unaandika kazi unasema kama huyu ndio marker wangu sipati A sio kwa sababu ya quality ya kazi yangu, ila huyu taahira atakae mark.

Unajuta

Ndio kama hapa JF watu wanajiandikia arguments kutoka vichwani mwao tu and they think it’s ok.
 
Sometimes wazungu wanatuacha tu.

Ushaenda kwenye hivyo vyuo vyao vinavyo promote kuajiri walimu waafrika.

Usiombe, lecture zao tu mbovu; kweli kweli. To think those are the people who are gonna mark your research work (salalee).

Halafu sasa walivyokuwa washenzi wazungu wana branch zao, vyuo hivyo hivyo nje ya mji wanafunzi wazungu na walimu wazungu quality tofauti.

Usitishike na shahada za waafrika.

Kinachowasaidia nikujiamini kuna wasaa unaandika kazi unasema kama huyu ndio marker wangu sipati A sio kwa sababu ya quality ya kazi yangu, ila huyu taahira atakae mark.

Unajuta
Hii si habari ya wazungu tu. WHO nibtaasisi ya Umoja wa Mataifa.

Umoja wa Mataifa si wazungu tu.
 
Sasa nani ana vote hizo nafasi za WHO Africa si ni sisi wenyewe.

Strategically WHO kwa upande wao watakuwa na control measures za nafasi ya kiongozi wa Africa.

WHO behind the scenes ina proper trained ya kila aina ya medical (health and social care) scientists who advices on the objectives/mission.

Hiyo ni serious technocrat global advisory body unadhani watamskiliza advisory wa Africa kufanya maamuzi yao wazungu,

Policy za WHO wash sur wataalamu ni wazungu, they couldn’t careless wapuuzi ambao waafrika tunateua.

Ni sawa na kudhani mtu kama Tibaijuka na Migiro walikuwa na influence kwenye international politics kwa nafasi walizowahi shika.
 
Watu kama hao ndiyo huitwa "Wasomi"
Msomi ni mtu mwenye taaluma kadhaa katika nyanja tofauti, mfano Hayati Mzee Mugabe wa Zimbabwe (Shahada zaidi ya kumi), Tumtemeke Sanga (Shahada saba), Mwl. Nyerere, nk. Ukibobea kwenye fani/taaluma moja wewe unakuwa Mtaalamu/Mtaaluma
Lakini pia Wabunge baadhi hupenda kusoma taaluma ya sheria ili kumudu vema shughuli za kibunge hasa utungaji wa sheria. Ile ya kusema Mbunge ajue tu kusoma na kuandika imepitwa na wakati.
Huenda mleta mada alitaka kujua majibu ya aina hii, sasa kuna wachangiaji wengine wamemfokea kweli kweli na kashfa juu.
 
Sasa nani ana vote hizo nafasi za WHO Africa si ni sisi wenyewe.

Strategically WHO kwa upande wao watakuwa na control measures za nafasi ya kiongozi wa Africa.

WHO behind the scenes ina proper trained ya kila aina ya medical (health and social care) scientists who advices on the objectives/mission.

Hiyo ni serious technocrat global advisory body unadhani watamskiliza advisory wa Africa kufanya maamuzi yao wazungu,

Policy za WHO wash sur wataalamu ni wazungu, they couldn’t careless wapuuzi ambao waafrika tunateua.

Ni sawa na kudhani mtu kama Tibaijuka na Migiro walikuwa na influence kwenye international politics kwa nafasi walizowahi shika.
Narudia, WHO si organization ya wazungu, ni ya mataifa ya dunia nzima.

Mbona unakuwa mgumu sana kuelewa point hii ndogo?
 
Naelewa jibu langu alitokuwa fair kwa jinsi ulivyobwabwaja ilihitajika na mimi kutoa maelezo ku-counter your nonsense m.
Again unaangalia mambo kwa perception yako na huenda kwako wewe utaona kwamba kwa mdau kufanya jambo halina tija ila kwake yeye likawa na tija (sasa ukitaka afanye akufurahishe wewe nadhani atakuwa mtu miserable sana)
Back to the real world 99% ya maandishi yako ni vitu ulivyotoa kichwani kwako.
Sasa ulitaka vitoke wapi wakati nimevitoa mimi ? Ila I was wise enough na kusema kuanzia mwanzo kwamba watu wapo tofauti na motive tofauti kwahio navyotoa kichwani mwangi vitapelekea kufanya mambo ambayo kwangu mimi naona yanafaa hata kama kwa mengine anaona hayafai... Na unless nimepewa pesa ya kijiji ili niende nikachukue ujuzi fulani kuja kuwasaidia hakuna mwenye moral ground ya kuniambia ninachofanya nimekosea..., Ingawa huenda kuwepo kwangu kwenye jopo la watunga Sheria hakuna ubaya wa kuwa na basics za sheria..., na sababu nina basics na naweza kupata cheti (making it official) basi kama nikikipata na sistahili kukipata ni kosa la walionipa (na that will be another topic altogether)
Hujui Sheria kwa upana wake (kwa watu wanaoisoma) kwa miaka minne na uelewa wanaotoka nao.
Naam sijui wala sihitaji kujua ili kufahamu kwamba watu wana motive tofauti ya kupata chochote na so long as wanakidhi motive zao who are we to say otherwise ? The only argument you can make ni labda kama walikuwa hawakidhi majukumu yao in their pursuit... (be it a hobby or otherwise)
Hujui tofauti ya shahada za sheria zinazotolewa kwenye bachelor
Again don't need to know ili kufahamu haki ya mtu kufanya lolote analotaka no matter linaonekana vipi kwa yoyote hata kwa jamii kwa ujumla..., might be a waste getting a skill and not utilizing it fully (especially katika jamii inayohitaji wataalamu walioiva) lakini kufanya maisha kuwa rahisi na kwa muhusika ni kufanya analopenda na analotaka and if it happens to help others fair enough...
Kwa mantiki hiyo uwezi elewa faida ya LLB kwa mtu ambae hana msingi wa elimu ya sheria kama degree yake ya kwanza.

Unatakiwa uelewe fundamentals kwanza kabla ya kuandika mambo.
Fundamentals za kwamba kwanini mtu anafanya anachotaka kwa utashi wake ? Talking about complicating life...; Unajuaje kama kwake muhusika faida ya kupata hicho cheti sio kutundika kwenye ofisi yake ya Mbunge na watu kuona kwamba anajua Sheria ? (Be it hajui au anajua)?
Huwezi kuandika mambo kutoka kichwani when you argue. Huo ndio msingi wa elimu apply underpinned knowledge.

Huna hoja ya kujibuwa, ni vitu vya kutoka kichwani kwako tu.

You can’t do that.
Wewe vyako vinatoka wapi ukizingatia hapa tunaongelea utashi wa mtu na sio a formula au a given rule or law ? Wewe unayeongelea vitu kutoka unapovitoa nionyeshe wapi kuna Sheria / Katazo la mtu akiwa na MD hawezi kuchukua LLB au lolote lile analotaka ?
 
Narudia, WHO si organization ya wazungu, ni ya mataifa ya dunia nzima.

Mbona unakuwa mgumu sana kuelewa point hii ndogo?
Nani wana devise WHO objectives (msingi wa hayo maamuzi).

Unafahamu implications ya WHO objectives kwenye health policies za developed nations.

Unadhani hayo ni maamuzi ya UN nations au wataalamu wachache wa developed nations.

That’s me being polite on my post (I know your limitations) on the subject.
 
Back
Top Bottom