dini imekulevyaKwa hio ukiwa mweusi hufai kusali sio, nikikuambia wewe ni kenge unabisha.
Sijida ni nuru hio ukiwa kaburini hio ndio touch yako, wewe mkristo utaipata wapi umeshikilia msalaba. Bibilia zenu zinawambia anaye utukuza msalaba ana lana sababu ya msalaba ni nini? Kama sio kutukuza aliye tundikwa kwenye ✝️
Ila members ni watu wako na unapenda mission za Al Qaeda
View: https://youtube.com/shorts/3UoGURhYeMg?si=foWktBzfqCq5ZI7U
Wamepata pesa za bure lazima wawatumie hizo fedha kufanya fujo huko Burkina Faso. Al Qaeda ni kikosi cha USA
Ni rahisi sana kumtumuia muislamu kwa maslai ya mabeberu kipumbavu kwa sababu nilisha sema hakuna muislamu MZALENDOKuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali?
Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama hayo kwa mahasimu wake wengine mfano Venezuela, Ecuador, Urusi, China, Korea Kaskazini, Belarus, Zimbabwe na Cuba?
Joshua alipoteka canaan hakuambiwa achinje wakazi wote asiache hata vitoto vichanga? Dini zote ziliasisiwa kwa msingi wa coercive conversion.
Allah hawamkubalSio Allah Akbar ni Allahu Akbar tatizo kenge kazoewa kuimba kanisani hawezi kutamka Allahu Akbar, ukiwa mkanisa huwezi kutamka sawa sawa lazima ukosee tu.
Joshua hakuwa Mkristo. Kumbe unadandia mambo huyajui dogoJoshua alipoteka canaan hakuambiwa achinje wakazi wote asiache hata vitoto vichanga? Dini zote ziliasisiwa kwa msingi wa coercive conversion.
Yesu alisema sikuja kuleta amani,nimeleta upanga.Matokeo yake akasulubiwa na kuchomwa mkuki,na kuuliwa.Mwanafunzi wake Yuda,akayafanyia kazi,akapanga na wauaji,anaitwa Yuda msaliti,wakati aliyafanyia kazi maagizo ya Yesu.Yesu alipoondoka aliacha maagizo ya upendo, ukipigwa shavu la kulia geuza na la pili, mitume wakahubiri amani wakauawa kinyama, miaka 500 baadaye akaja muarabu na kuanzisha dini inayohubiri kinyume na kila kitu kilichohubiriwa na Yesu.
Mwenyewe huyo muarabu akaanzisha dini huku akichinja na kuuza watoto utumwani, leo nyie wafuasi wake mnachinja na kuteka watoto.
Kama hakuwa mkristo,mbona wakristo mnaitana jina lake.Joshua hakuwa Mkristo. Kumbe unadandia mambo huyajui dogo
Stupid question.Kama hakuwa mkristo,mbona wakristo mnaitana jina lake.
Yesu asingesulubiwa na apinzani wake,kama ilikuwa halazimishi watu wawe wakristo kwa nguvu.Tena alusalitiwa na Yuda,mwanafunzi wake kwa vipande vya fedha.Walimsulubu wakamuua,aliyeleta amani anauliwa?Ukristo haukasisiwa katika msingi wa kulazimisha watu kuongoka/ kuifuata dini ya Ukristo
Huna hoja,nimekubana.Jibu kwa nini mwaitana Joshua na alikuwa sio mkristo.Stupid question.
Umeuliza swali la kipumbavu. Nimejisikia hata uvivu kuwa huna uwezo wa ku reason. Ukristo siyo jina.Huna hoja,nimekubana.Jibu kwa nini mwaitana Joshua na alikuwa sio mkristo.
Ni kwasababu uislamu unafuata sheria na ukristu unafuata demokrasia ( bora liende),, mfano katika suala la ushoga uislamu uko serious na unatoa adhabu kali kwa anayebainika,lkn ukiristu haujali unaona huo ni uhuru wa mtu binafsi,apaswi kuzuiwa..Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali?
Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama hayo kwa mahasimu wake wengine mfano Venezuela, Ecuador, Urusi, China, Korea Kaskazini, Belarus, Zimbabwe na Cuba?
NChi hazina waislamu na magzidi wapo,ila hamtaki kuwaita magaidiKuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali?
Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama hayo kwa mahasimu wake wengine mfano Venezuela, Ecuador, Urusi, China, Korea Kaskazini, Belarus, Zimbabwe na Cuba?
Makundi ya kigaidi ya kikiristoKuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali?
Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama hayo kwa mahasimu wake wengine mfano Venezuela, Ecuador, Urusi, China, Korea Kaskazini, Belarus, Zimbabwe na Cuba?
Kama ukristo sio jina,mbona hamuitani majina ya Kibaniani,mwaitana majina ya kizungu na kiyahudi.Sijawahi kuona mkristo kuitwa Patel wala Jitendra.Hata wale Magoa(wahinndi wakristo)wana majina ya kizunguUmeuliza swali la kipumbavu. Nimejisikia hata uvivu kuwa huna uwezo wa ku reason. Ukristo siyo jina.
Hawa magaidi wa hizi nchi walianzishwa na Marekani?NChi hazina waislamu na magzidi wapo,ila hamtaki kuwaita magaidi
1.Ireland ya kaskazini ,wakatoliki na waptotestant wanauana kila silu na kutiana vilema
2.Kongo wanauwana wakristo watupu.hawaitwi magaidi
3Rwanda wanauana mpaka makanisani,hawaitwi magaidi
4 Haiti wanauana wakristo,hawaitwi magaidi
5.Sudan ya kusini,wanauana wakristo hawaitwi magaidi
6.Burundi wanauana wakristo hawaitwi magaidi
7.Urusi na Ukraine wanauana wakristo,hawaitwi magaidi
8. ASKOFU Kibwetere kawachoma moto wakristo kanisani,akishirikia na mwanamke sister,hawaitwi magaidi
9.kijana wa kizungu,aliingia kanisani Amerika ,akawaua wakristo weusi kwa bastola,hakuitwa gaidi
10.Matukio ya mauji ya watu wengi nchi za ulaya,zikifanywa na mkridto haitwi gaidi
1
Makundi ya kigaidi ya kikiristo
1.Ireland ya kaskazini ,wakatoliki na waprotestant wanauana
2 Sudan ya kusini wanauana
3.Kongo
4 Haiti
5Rwanda mpaka makanisani
5.Haiti
6.Urusi na Ukraine
7.Burubdi
8.Askofu Kibwetere na mwanamke sister,waliwachoma wakristo kanisani wakawaua
9.Kijana wa kizuungu aliwauwa waktisto weusi kanisani kwa bastola
Hao wote na wengine wakristo ni magaidi
Dini ni utumwa na upumbavu wa kiwango cha lami.Kila sehemu inaangamizwa kwa udhaifu wake.
Hizo nchi dini isingefanya kazi kama nchi za kiislam ambazo zinaamini kufia dini.
Misingi ya uislam na dini zisizo za kiislam ni tofauti.
Sidhani kama umewahi kulifikiria hili mkuu!?
Dini sio utumwa ila itikadi ndio utumwa kaka.Dini ni utumwa na upumbavu wa kiwango cha lami.