Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya Afrika?

Kujifanya mjuaji sana hakukupeleki popote
 
Nitasoma
 
They are WHITES and Africans are BLACK...
Mexicans there are not white my friend, definition of white people is those people that originated from Europe..(Wazungu)

Mexicans are "Latinos", they are from South America

People from South America are stamped as "red Indians",Watu wa Mexico wana makabila kama sisi Waafrika

Tafakari
 
Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizi sio nchi za Afrika?
mkuu ujerumani na ufaransa ni madola makubwa toka zamani hivo kufukuzana kiuchumi ni jambo la kawaida
 
Mexicans there are not white my friend, definition of white people is those people that originated from Europe..(Wazungu)
Swali la msingi ni kwamba;

Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizi zote sio nchi za Afrika?...
 
Mleta uzi umeleta mada kama swali watu wanakuelimisha unakaza shingo sasa ulileta uzi wa nini kama unajifanya mjuaji?
Swali la msingi ni kwamba;

Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za watu weusi?
 
Sababu ziko nyingi.
Kwanza Ujerumani na Ufaransa wameendelea si kwasababu ya kuwa karibu tu ila hawa wote walikuwa na makoloni duniani kote ambayo yalisaidia kukuza uchumi wao.

Marekani yenyewe ni nchi kubwa hivo ina nguvu huwezi linganisha na Mexico pia walikuwa wajanja mapema wakashirikiana na mabeberu wakati Mexico wao walijitenga.
 
Mbona hushangai kariakoo kuna nyumba za udongo wanauzia mkaa huku pembeni kuna ghorofa la bilioni 20
 
Swali la msingi ni kwamba;

Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizi zote sio nchi za Afrika?...
Ufaransa ni nchi iliyoko Ulaya(Europe)Sawa na Ujarumani,..

Ulaya yote imefanana,maendeleo yao yamefanana

Katika Karne ya 20,kulitokea kitu kilichoitwa " Industrial revolution",mapinduzi ya viwanda ..

Mfumo huo wa nchi kuwa na viwanda vikubwa ulianzishwa na Mwengereza,na hiyo ndio ikawa mwanzo wa maendeleo katika nchi za Ulaya

Mexico ni nchi iliyoko America kusini,Wamexico sio wazungu,walitawaliwa,kama ilivyotawaliwa Tanzania

Nchi ikitawaliwa mambo mengi yanabadilika mila,desturi,utamaduni Na mengi mengijei yanapotea

mfumo wa kufikiri unabadilika, anae tawala anafanya kila hila anae mtawala awe mjinga..

Mexico ni nchi iliyotawaliwa Na Spain,watu wa Mexico wanawasiliana Kwa kutumia lugha ngeni ya kispanish,lugha ya Mtawala,mila Na tamaduni zao zimekuwa za kigeni,

Wamexico wanajitawala Kwa kutumia mbinu walizoachiwa na wageni..

Huwezi kufananisha maendeleo ya Mtawala France na Germany na mtawaliwa Mexico

Tafakari
 
Sawa mkuu. Asante...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…