Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #81
Hoja unajua kujenga wewe msomi sio mimi kilaza...Unaoneka huwezi kujenga hoja bali kulazimisha tu bila evidence
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja unajua kujenga wewe msomi sio mimi kilaza...Unaoneka huwezi kujenga hoja bali kulazimisha tu bila evidence
Kujifanya mjuaji sana hakukupeleki popoteLight skin and white people are two different people. Kiswahili hakina misamiati ya kutosha ya kutofautisha watu.Waafrika weupe huko ulaya huitwa black au light skin.Hao Mexico, Wajapan no ni light skin but not white.Hats ulaya yenyewe kuna badhi ya nchi wazungu weupe huwa hawawatambui kama white.Mfano Ureno, Italy, Spain,greece sion White people.White are Arien people ambao in UK,Germany France nk
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Kwanini Marekani imewazidi jirani yao Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na jirani yao Ufaransa ilhali hizi zote ni nchi za wazungu (The Whites)?
View attachment 1605845
Je, ushahidi huu ni udhibitisho mwingine tena wa ule msemo/dhana maarufu ya kwamba kuishi karibu na mahakama sio kujua sheria kwa maana nchi ya Mexico ipo karibia kabisa na mahakama (Marekani) lakini bado sio wabobezi wa sheria (Global Influence) tofauti na Wafaransa wanavyojitahidi kutaka kulingana na Wajerumani.
Kwanini utofauti ni mkubwa hivi na hawa wote ni rangi nyeupe?
Kwa kipindi cha muda mrefu sana kumekuwapo na dhana sijui niseme ni kasumba ya kuamini kwamba ukikaa karibu na mzungu basi wewe ndio umefanikiwa. Tazama maendeleo ya nchi kama South Afrika ukilinganisha na jirani zao wa Msumbiji waliojawa na umasikini wa kutupwa.
Asilimia kubwa ya watu wanaamini ya kwamba maendeleo yale ya vitu yametokana na wao kukumbatia wazungu waliokuwapo nchi ile enzi na enzi pamoja na uamuzi wa mzee Madiba wa kutotaka kuwafukuza punde baada ya kumalizika kwa utawala wa kikaburu (Apatheid Regime)
Tukirudi hapa nyumbani kwetu Tanzania, moja kati ya sera za baba wa taifa Mwalimu Julius Nyarere ambazo baadhi ya wanazuoni wamekuwa wakizikosoa kwa nguvu zote na kudai ya kwamba ndio chanzo kikuu cha Tanzania kutokuwa na uchumi kama wa South Afrika ni ile ya kuwafukuza wazungu nikiwa na maana kwamba aliwafukuza kwa kufuta lugha ya kiingereza kama medium of instruction katika taasisi zetu za elimu ya msingi pamoja na utaifishwaji wa mali zao.
Achilia mbali sera za Mwalimu Nyerere pamoja na Makaburu wa South Afrika, bali turudi huku uswahilini kwetu tunapokaa. Just imagine leo hii umepita ukiongozana na mzungu barabarani huku uswahilini tunapokaa, unafikiri watu watasemaje. Lazima viji maneno vitambae utasikia daaaah yule jamaa si ndio Infantry Soldier.
Yule si ndio hapa juzi alikuwa analialia eti ameangusha pesa yake 300,000/= ya rambirambi ila leo anaongozana na wazungu hakika ametoboa kimaisha. Kwanini hii dhana ya mafanikio huletwa ukaapo na mzungu imekuwa si halisi kwa Mexico?
SWALI LA KIZUSHI: Je, ni mara ngapi uliwahi kukataa kupiga picha na mzungu? (Kuwa Mkweli)
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Sawa mkuuNitasoma
People can never be equal but at least equivalent. Au nimekosea mkuu?
kwahiyo wachina nao ni wazungu kwakua ni weupe?They are WHITES and Africans are BLACK...
Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizi sio nchi za Afrika?kwahiyo wachina nao ni wazungu kwakua ni weupe?
kwasababu hawana uwezo wa kukuza uchumi wao kama marekaniKwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa?
Mexicans there are not white my friend, definition of white people is those people that originated from Europe..(Wazungu)They are WHITES and Africans are BLACK...
mkuu ujerumani na ufaransa ni madola makubwa toka zamani hivo kufukuzana kiuchumi ni jambo la kawaidaKwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizi sio nchi za Afrika?
Swali la msingi ni kwamba;Mexicans there are not white my friend, definition of white people is those people that originated from Europe..(Wazungu)
Swali la msingi ni kwamba;Mleta uzi umeleta mada kama swali watu wanakuelimisha unakaza shingo sasa ulileta uzi wa nini kama unajifanya mjuaji?
Sawa mkuuMexicans are "Latinos", they are from South America
People from South America are stamped as "red Indians",Watu wa Mexico wana makabila kama sisi Waafrika
Tafakari
Ufaransa ni nchi iliyoko Ulaya(Europe)Sawa na Ujarumani,..Swali la msingi ni kwamba;
Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizi zote sio nchi za Afrika?...
Sawa mkuu. Asante...Ufaransa ni nchi iliyoko Ulaya(Europe)Sawa na Ujarumani,..
Ulaya yote imefanana,maendeleo yao yamefanana
Katika Karne ya 20,kulitokea kitu kilichoitwa " Industrial revolution",mapinduzi ya viwanda ..
Mfumo huo wa nchi kuwa na viwanda vikubwa ulianzishwa na Mwengereza,na hiyo ndio ikawa mwanzo wa maendeleo katika nchi za Ulaya