Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #61
Sawa mkuuNa kimuonekano tu Kama unajua basi unao uwezo wa kumjua Hispanic au white
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuNa kimuonekano tu Kama unajua basi unao uwezo wa kumjua Hispanic au white
Haaa, MKuu kama ile movie unaona ya kawaida wewe sio wa kawaida. Mie nilitoka ukumbini wakati vichwa vya mateka wa vita vinavingirika toka juu wakitolewa dhabihu!Kwanini mkuu? Mbona ime movie ni ya kawaida sana mzee baba...!!!!
Mdogo wangu kinachoisibu Mexico ni uhalifu uliokidhiri bangi na madawa ya kulevyaShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Kwanini Marekani imewazidi jirani yao Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na jirani yao Ufaransa ilhali hizi zote ni nchi za wazungu (The Whites)?
View attachment 1605845
Je, ushahidi huu ni udhibitisho mwingine tena wa ule msemo/dhana maarufu ya kwamba kuishi karibu na mahakama sio kujua sheria kwa maana nchi ya Mexico ipo karibia kabisa na mahakama (Marekani) lakini bado sio wabobezi wa sheria (Global Influence) tofauti na Wafaransa wanavyojitahidi kutaka kulingana na Wajerumani.
Kwanini utofauti ni mkubwa hivi na hawa wote ni rangi nyeupe?
Kwa kipindi cha muda mrefu sana kumekuwapo na dhana sijui niseme ni kasumba ya kuamini kwamba ukikaa karibu na mzungu basi wewe ndio umefanikiwa. Tazama maendeleo ya nchi kama South Afrika ukilinganisha na jirani zao wa Msumbiji waliojawa na umasikini wa kutupwa.
Asilimia kubwa ya watu wanaamini ya kwamba maendeleo yale ya vitu yametokana na wao kukumbatia wazungu waliokuwapo nchi ile enzi na enzi pamoja na uamuzi wa mzee Madiba wa kutotaka kuwafukuza punde baada ya kumalizika kwa utawala wa kikaburu (Apatheid Regime)
Tukirudi hapa nyumbani kwetu Tanzania, moja kati ya sera za baba wa taifa Mwalimu Julius Nyarere ambazo baadhi ya wanazuoni wamekuwa wakizikosoa kwa nguvu zote na kudai ya kwamba ndio chanzo kikuu cha Tanzania kutokuwa na uchumi kama wa South Afrika ni ile ya kuwafukuza wazungu nikiwa na maana kwamba aliwafukuza kwa kufuta lugha ya kiingereza kama medium of instruction katika taasisi zetu za elimu ya msingi pamoja na utaifishwaji wa mali zao.
Achilia mbali sera za Mwalimu Nyerere pamoja na Makaburu wa South Afrika, bali turudi huku uswahilini kwetu tunapokaa. Just imagine leo hii umepita ukiongozana na mzungu barabarani huku uswahilini tunapokaa, unafikiri watu watasemaje. Lazima viji maneno vitambae utasikia daaaah yule jamaa si ndio Infantry Soldier.
Yule si ndio hapa juzi alikuwa analialia eti ameangusha pesa yake 300,000/= ya rambirambi ila leo anaongozana na wazungu hakika ametoboa kimaisha. Kwanini hii dhana ya mafanikio huletwa ukaapo na mzungu imekuwa si halisi kwa Mexico?
SWALI LA KIZUSHI: Je, ni mara ngapi uliwahi kukataa kupiga picha na mzungu? (Kuwa Mkweli)
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Daaah, so sad to MexicansMdogo wangu kinachoisibu Mexico ni uhalifu uliokidhiri bangi na madawa ya kulevya
Hahahaaaaa daah...Haaa, MKuu kama ile movie unaona ya kawaida wewe sio wa kawaida.
Mexico siyo wazungu
Wa mexico mzungu wanamuita El"Gringo"""""
Lakin wao sio wazungu( mabeberu)
Hata wewe ?Ni wazungu
hapana mexican are not white...South american mexico included ni masalio ya waafrika na mataifa ya hapo kama wa inca,wa aztec..marekani ni zao la watu wa ulaya sana na nchi nyengine ..usiconfuseThey are WHITES and Africans are BLACK...
Mkuu, hizo Gs wala zisikuchanganye sana mara sijui G5 tena G25, mbona hata tukianzisha G120 na sisi Tanzania tutakuwepo.mexico si wakuwabeza mkuu maana wapo nafasi ya 15 kiuchumi dunia pia wapo kwenye G20.
mkuu unadhani kua wa 15 kiuchumi duniani ni kazi ndogo? hawa mabwana wapo vizuri japo wamezidiwa mbali na marekaniMkuu, gizo Gs wala zisikuchanganye sana mara sijui G5 tena G25, mbona hata tukianzisha G120 na sisi Tanzania tutakuwepo.
Mexico wanaitwa colored not white.They are whites, sasa sijui kwa kiswahili sanifu tunasemaje hii statement...
If black and white are also colours, why don't we call a black and white TV a coloured TV?Mexico wanaitwa colored not white.
Unamaanishaje kitu ambacho hakipo.Unafahamu kuwa Aboriginal na sisi waafrika ni rangi mbili tofauti kabisa.Vipi mwarabu na mchina wawe saw a.Ina maana nadharia ya races haipo. Kwa hio warangi na wanyiramba,wachaga nk utawaweka kundi gani.Watu tupo tofauti hata waafrika tu tupo tofauti sana.M sokhsa was south na mzuru ni ranging mbili tofauti.It seems unaupungufu wa uelewa wa human races.Your hypothesis is very vague!Mimi ninamaanisha weupe ambao ni opposite na weusi na sio weupe huo wa kung'aa yaaani weupe peeeeee...
Piga kelele zooooote unazozijua wewe lakini duniani kuna rangi mbili tu za binadamu yaaani MWEUPE na MWEUSI.Unamaanishaje kitu ambacho hakipo.Unafahamu kuwa Aboriginal na sisi waafrika ni rangi mbili tofauti kabisa.Vipi mwarabu na mchina wawe saw a.Ina maana nadharia ya races haipo. Kwa hio warangi na wanyiramba,wachaga nk utawaweka kundi gani.Watu tupo tofauti hata waafrika tu tupo tofauti sana.M sokhsa was south na mzuru ni ranging mbili tofauti.It seems unaupungufu wa uelewa wa human races.Your hypothesis is very vague!
Kujifanya mjuaji sana hakukupeleki popote mkuu. Sasa wewe chukua hao Latino kisha nenda nao Mbagala alafu kawaambie watu kuwa hawa sio watu weupe kama haujapigwa mawe...Unamaanishaje kitu ambacho hakipo.Unafahamu kuwa Aboriginal na sisi waafrika ni rangi mbili tofauti kabisa.Vipi mwarabu na mchina wawe saw a.Ina maana nadharia ya races haipo. Kwa hio warangi na wanyiramba,wachaga nk utawaweka kundi gani.
Kwa uelewa wako but not books(facts).Usilazimishe uelewa wako ukawa uelewa wa jumla/Ukweli.Uelewa wako ni common sense na uelewa unaokubalika ni facts.Kuwa layman ktk jambo sio vibaya vibaya ni kuukataa ukweli unaokubalika.Fanya andiko ili upinge nadharia zilizopo zinazobainisha watu. Unaoneka huwezi kujenga hoja bali kulazimisha tu bila evidence.Hata babu zetu wenyewe waliwatofautisha watu weupe kwa majina tofauti ; Wazungu,wahindi,wabaniani,singasinga nk wewe unakuja na utopia.Napoteza mda bure sikujibu tena.Piga kelele zooooote unazozijua wewe lakini duniani kuna rangi mbili tu za binadamu yaaani MWEUPE na MWEUSI.
Labda kama wewe ni binadamu wa njano au blue.
Sasa wewe chukua hao Latino kisha nenda nao Mbagala alafu kawaambie watu kuwa hawa sio watu weupe kama haujapigwa mawe...Kwa uelewa wako but not books(facts).Usilazimishe uelewa wako ukawa uelewa wa jumla/Ukweli.Uelewa wako ni common sense na uelewa unaokubalika ni facts.Kuwa layman ktk jambo sio vibaya vibaya ni kuukataa ukweli unaokubalika.Fanya andiko ili upinge nadharia zilizopo zinazobainisha watu. Unaoneka huwezi kujenga hoja bali kulazimisha tu bila evidence.