Nchi siyo yako, ni yao kama hutaki walalamike waachie nchi yao.Kulalamika ni jadi na asili ya mtanzania, akipewa yeye nafasi vichekesho vitupu.
MAPINDUZI dhidi ya nani?Hao waliouliwa wangeingia ikulu tungekuwa tunajiliza kwa kina ICC kuhusiana na vifo vyao?.
Mlitaka kufanya mapinduzi ya kihuni mkadhibitiwa kihuni pia.
pamoja sana gentlemanNakubaliana na wewe,Marekani na Israeli wamevuliwa nguo na Irani.
Hao watoto waliozaliwa mwaka 2002 ndio wenye nchi hii?, baada ya kupata akili wanajidanganya kwamba tayari wameshakuwa na nchi?. Watanyooka tu.Nchi siyo yako, ni yao kama hutaki walalamike waachie nchi yao.
Kwani lazima ujilazimishe kuwa kiongozi wao na HAWAKUTAKI?
MAPINDUZI dhidi ya nani?
Tangu lini MGOMBEA anapinduliwa??
Huko CCM wanaokota kila mwenye mtindio wa ubongo anapewa uongozi??
Huu usenge tubza, utasimulia watoto kama ni mazuzu kama weweHao watoto waliozaliwa mwaka 2002 ndio wenye nchi hii?, baada ya kupata akili wanajidanganya kwamba tayari wameshakuwa na nchi?. Watanyooka tu.
Mapinduzi dhidi ya serikali iliyopo, usidhani wanafurahi kuona utajiri ulipo kila kona ya Tanzania, wanatumia wajinga wajinga kina Lissu na Heche katika kutengeneza chuki ili tupigane wao wachote mali kadri wanavyojisikia.
Sio kila kitu kinaweza kuandikwa humu.
Mtaishia kumalizia hasira kwenye maandiko yenu humu jukwaani.Huu usenge tubza, utasimulia watoto kama ni mazuzu kama wewe
Tunayo matumaini kuwa HATA WEWE UTAKUFA.Mtaishia kumalizia hasira kwenye maandiko yenu humu jukwaani.
Heshimuni mamlaka, hizo habari za kila mtu kufa kunamsubiri tunazisikia kila siku makanisani na huko misikitini.Tunayo matumaini kuwa HATA WEWE UTAKUFA.
Magufuli alimpiga LISSU RISASI 40, ila LEO AMEOZA, lakini LISSU yupo.
Huu UPUMBAVU wako hauwezi kuwepo TZ, MILELE yote.