Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,380
- 68,484
siasa ni sayansi gentleman,Sii kwa ubaya.
Naombeni mnijuze, jamaa yupo hapahapa Tanzania, hajawahi kuitwa hata ofisi ya RCO licha ya kuwa ni mkosoaji wa utawala wa masisiem.
Naombeni mnijuze, kuna nukta naunganisha hapa
Hivi Δ·wΓ mfano ninΜi kitaatokea ape anapokuwa kirusi mchomeshΓ ji?Sii kwa ubaya.
Naombeni mnijuze, jamaa yupo hapahapa Tanzania, hajawahi kuitwa hata ofisi ya RCO licha ya kuwa ni mkosoaji wa utawala wa masisiem.
Naombeni mnijuze, kuna nukta naunganisha hapa
UzushiYule sio mpinzani wa kweli ni sawa na Zitto Kabwe, Alafu pia mifumo yake ilisha dukuliwa, yaani ni mgongo wazi, Boni yai ndiye anayefukuwa mfumo pale, mjini hana cha maana anachofanya zaidi ya kuishi kwa Boni yai. Unaambiwa alisha acha kulinda mgongo wake Kitambo sana.
Probably collaborator.Sii kwa ubaya.
Naombeni mnijuze, jamaa yupo hapahapa Tanzania, hajawahi kuitwa hata ofisi ya RCO licha ya kuwa ni mkosoaji wa utawala wa masisiem.
Naombeni mnijuze, kuna nukta naunganisha hapa
Chuki ni mbaya sanaYule sio mpinzani wa kweli ni sawa na Zitto Kabwe, Alafu pia mifumo yake ilisha dukuliwa, yaani ni mgongo wazi, Boni yai ndiye anayefukuwa mfumo pale, mjini hana cha maana anachofanya zaidi ya kuishi kwa Boni yai. Unaambiwa alisha acha kulinda mgongo wake Kitambo sana.
Kama Nchimbi na Polepole walifikiwa, no one is unreachable!Sii kwa ubaya.
Naombeni mnijuze, jamaa yupo hapahapa Tanzania, hajawahi kuitwa hata ofisi ya RCO licha ya kuwa ni mkosoaji wa utawala wa masisiem.
Naombeni mnijuze, kuna nukta naunganisha hapa
Sii kwa ubaya.

Yeye ni afisa kipenyo mwandamiziSii kwa ubaya.
Naombeni mnijuze, jamaa yupo hapahapa Tanzania, hajawahi kuitwa hata ofisi ya RCO licha ya kuwa ni mkosoaji wa utawala wa masisiem.
Naombeni mnijuze, kuna nukta naunganisha hapa
Kwa kosa gani?Sii kwa ubaya.
Naombeni mnijuze, jamaa yupo hapahapa Tanzania, hajawahi kuitwa hata ofisi ya RCO licha ya kuwa ni mkosoaji wa utawala wa masisiem.
Naombeni mnijuze, kuna nukta naunganisha hapa
Informer ndio jasusi, unaujua ujasusi wewe..wote wachumia tumbo nyinyi..wahedi kabisaHuenda akawa ni double agent, hawa wanaharakati si wote ni wa kuaminiwa, wengine wapo kazini, ni majasusi/makachero