Masuonline
Senior Member
- Jun 4, 2013
- 194
- 21
Tatizo lipo ukianza toa awareness kwa jamii, usipofanya hivyo we sio threat kwa dola
Ongezea nyama kidogo mkuuTangu Buyobe amseti Mshabaha. Sijawahi muamini Maranja tena
Mbona na wewe kama unaishi kwa Bonny ?😹😹Yule sio mpinzani wa kweli ni sawa na Zitto Kabwe, Alafu pia mifumo yake ilisha dukuliwa, yaani ni mgongo wazi, Boni yai ndiye anayefukuwa mfumo pale, mjini hana cha maana anachofanya zaidi ya kuishi kwa Boni yai. Unaambiwa alisha acha kulinda mgongo wake Kitambo sana.
Kukosoa sio kosa la jinai..Sii kwa ubaya.
Naombeni mnijuze, jamaa yupo hapahapa Tanzania, hajawahi kuitwa hata ofisi ya RCO licha ya kuwa ni mkosoaji wa utawala wa masisiem.
Naombeni mnijuze, kuna nukta naunganisha hapa
Hadi Mnyika?MMM, God bless Lema na John Mnyika hawa na vipenyo na ndiyo wana waseti wenzao wanakamatwa
haha kwa nyoka yuleSii kwa ubaya.
Naombeni mnijuze, jamaa yupo hapahapa Tanzania, hajawahi kuitwa hata ofisi ya RCO licha ya kuwa ni mkosoaji wa utawala wa masisiem.
Naombeni mnijuze, kuna nukta naunganisha hapa
usimsahau kada wa Ccm Maria SarungiMMM, God bless Lema na John Mnyika hawa na vipenyo na ndiyo wana waseti wenzao wanakamatwa
tena ndio wale wa mwanzo kwa upande wa chadomo.Hadi Mnyika?
Mmmh basi hatari sana.tena ndio wale wa mwanzo kwa upande wa chadomo.
wengine wamewelekea chauma
Mnyika🦠MMM, God bless Lema na John Mnyika hawa na vipenyo na ndiyo wana waseti wenzao wanakamatwa
Nchimbi alikosoa kwa matusi? Polepole?Yule hakosoi kwa kebehi na matusi mdio maana bado hana madhara yeye alikosoa anakosoa kwa hoja
Hii post inaweza kuwa na ukweli. Nimemfuatilia kwa muda na niliwahi kujiuliza maswali kadhaa kutokana na red flags fulani na juzi juzi kuna kitu alipost, suspicion yangu iliongezeka mara dufu.Sii kwa ubaya.
Naombeni mnijuze, jamaa yupo hapahapa Tanzania, hajawahi kuitwa hata ofisi ya RCO licha ya kuwa ni mkosoaji wa utawala wa masisiem.
Naombeni mnijuze, kuna nukta naunganisha hapa
Jiulize tu kwa nini hapati misukosukoHadi Mnyika?
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya TanzaniaSii kwa ubaya.
Naombeni mnijuze, jamaa yupo hapahapa Tanzania, hajawahi kuitwa hata ofisi ya RCO licha ya kuwa ni mkosoaji wa utawala wa masisiem.
Naombeni mnijuze, kuna nukta naunganisha hapa
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya TanzaniaYeye ni afisa kipenyo mwandamizi
Usimuamini mtu. TISS inachukuwaga waseminary wakiwa Form 3. Huyu alisoma Uru seminaryMnyika🦠
kweli kabisa angalia alikuwepo hadi kwenye bunge la katiba na alishakuwa katibu wa kikweteusimsahau kada wa Ccm Maria Sarungi
yaan yule dada anwamaliza kimya kimya