ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Ukishajua hivyo tu basi haina haja tena kuulizia !Sii kwa ubaya.
Naombeni mnijuze, jamaa yupo hapahapa Tanzania, hajawahi kuitwa hata ofisi ya RCO licha ya kuwa ni mkosoaji wa utawala wa masisiem.
Naombeni mnijuze, kuna nukta naunganisha hapa
Maana tayari jibu unalo halafu unaendelea kuuliza jibu badala ya kuuliza maswali 😁🙏