Kwanini Martin Maranja Masese hajawahi kuletewa shida na Vyombo vya Dola?

Kwanini Martin Maranja Masese hajawahi kuletewa shida na Vyombo vya Dola?

Martin huwa anajitahidi kujenga hoja hata kama ni upotoshaji ila anapiga kisiasa kwa lugha isiyo ya kuudhi.

MMM ana siasa za hoja kama ilivyo Mnyika na Zitto Kabwe.

Hawa kina Hilda, Twaha, Nuruvazi, Pambalu na Lissu huwa hawana hoja na hutumia lugha za kuudhi na kutukana sana.
Toa mfano mmoja wa lugha ya kutukana na ilitolewa na nani. Naamini wewe siyo lucas utatoa mfano mmoja
 
Kasome post za Sativa.
Nilijua tu kuwa huna ujualo zaidi ya kufata mkumbo kama Lucas, Tlaat na Dokta wa Manesi. Umesema mwenyewe kuwa wanatoa lugha za matusi, ukiulizwa mfano unasema mtu atoke humu akatafuta post za Sativa. Idiot
 
Hata wewe ni mfano mzuri wa mwanachadema mwenye matusi. Hakuna haja ya kutaja mtu mwingine. Wewe ni mfano hai.
 
there is known known and known unknown,what is known is unknown,and what is unknown is known
 
Back
Top Bottom