Kwanini Martin Maranja Masese hajawahi kuletewa shida na Vyombo vya Dola?

Mbona na wewe kama unaishi kwa Bonny ?😹😹
 
Sii kwa ubaya.

Naombeni mnijuze, jamaa yupo hapahapa Tanzania, hajawahi kuitwa hata ofisi ya RCO licha ya kuwa ni mkosoaji wa utawala wa masisiem.

Naombeni mnijuze, kuna nukta naunganisha hapa
Kukosoa sio kosa la jinai..
 
Ili kesho uibuke na hashtag free Maranja. Ndio raha yako? Baada ya wiki upige kimya na maranja ibaki historia
 
Sii kwa ubaya.

Naombeni mnijuze, jamaa yupo hapahapa Tanzania, hajawahi kuitwa hata ofisi ya RCO licha ya kuwa ni mkosoaji wa utawala wa masisiem.

Naombeni mnijuze, kuna nukta naunganisha hapa
Hii post inaweza kuwa na ukweli. Nimemfuatilia kwa muda na niliwahi kujiuliza maswali kadhaa kutokana na red flags fulani na juzi juzi kuna kitu alipost, suspicion yangu iliongezeka mara dufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…