ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Ukishajua hivyo tu basi haina haja tena kuulizia !Sii kwa ubaya.
Naombeni mnijuze, jamaa yupo hapahapa Tanzania, hajawahi kuitwa hata ofisi ya RCO licha ya kuwa ni mkosoaji wa utawala wa masisiem.
Naombeni mnijuze, kuna nukta naunganisha hapa
Umemuuliza swali zuri sana.Martin Maranja Masese: Hivi ndivyo tutakavyozuia chaguzi zote zijazo kuanzia na huu wa 2025Kwa kosa gani?
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanuka uchi wanatuchezesha kimaisha kweli?Umemuuliza swali zuri sana.Martin Maranja Masese: Hivi ndivyo tutakavyozuia chaguzi zote zijazo kuanzia na huu wa 2025
Martin Maranja Masese amchambua Hayati Magufuli (JPM) mwanzo mwisho
A to Z majibizano kati ya Hilda Newton na Buyobe: Ni kweli Buyobe ni mtu wa mfumo?
Watu wengi hawaelewi kwamba katika siasa hasa upinzani kuna hatua inafika watu wanashindwa kutofautisha kati ya JINAI na SIASA,Jina na UKOSOAJi,Jinai na UZALENDO....Sasa Maranja kwa kiasi huwe anajitahidi sana kukwepa huo Mtego
Wao ni sauti,kuna waliko nyuma yao hao ndio ambao ni adui zetu kina Mange na Maria wanaamini wanachopgania ila hawaelewi kwamba katika Mpango mzima wao ni Pawns tu na kwamba kuna ambao wanataka kunufaika.Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanuka uchi wanatuchezesha kimaisha kweli?
Awareness ndio haitakiwi 🤣🤣 !Tatizo lipo ukianza toa awareness kwa jamii, usipofanya hivyo we sio threat kwa dola
Akili za minyumbu bwana, dah!Yule sio mpinzani wa kweli ni sawa na Zitto Kabwe, Alafu pia mifumo yake ilisha dukuliwa, yaani ni mgongo wazi, Boni yai ndiye anayefukuwa mfumo pale, mjini hana cha maana anachofanya zaidi ya kuishi kwa Boni yai. Unaambiwa alisha acha kulinda mgongo wake Kitambo sana.
Ongeza malissa na zitto kambeMMM, God bless Lema na John Mnyika hawa na vipenyo na ndiyo wana waseti wenzao wanakamatwa
..ilikuwa zamani, sasa hivi wanarecruit wengi kutoka madrasa za zanzibar na sifa muhimu uwe umefeli f.4Usimuamini mtu. TISS inachukuwaga waseminary wakiwa Form 3. Huyu alisoma Uru seminary
acha awauze maboya.kweli kabisa angalia alikuwepo hadi kwenye bunge la katiba na alishakuwa katibu wa kikwete
Na kweli yaani hasa hasa ma diaspora ni mapumbavu paka nashindwa niwaitaje nadhani ndo maana waeshindwa kuishi huku knye nchi ya maziwa na asaliacha awauze maboya.
Ongezea nyama kidogo mkuu
Huna kumbukumbu kaa kimya.Sii kwa ubaya.
Naombeni mnijuze, jamaa yupo hapahapa Tanzania, hajawahi kuitwa hata ofisi ya RCO licha ya kuwa ni mkosoaji wa utawala wa masisiem.
Naombeni mnijuze, kuna nukta naunganisha hapa
Yule hakosoi kwa kebehi na matusi mdio maana bado hana madhara yeye alikosoa anakosoa kwa hoja
Hadi Mnyika?