Toa mfano mmoja wa lugha ya kutukana na ilitolewa na nani. Naamini wewe siyo lucas utatoa mfano mmojaMartin huwa anajitahidi kujenga hoja hata kama ni upotoshaji ila anapiga kisiasa kwa lugha isiyo ya kuudhi.
MMM ana siasa za hoja kama ilivyo Mnyika na Zitto Kabwe.
Hawa kina Hilda, Twaha, Nuruvazi, Pambalu na Lissu huwa hawana hoja na hutumia lugha za kuudhi na kutukana sana.
Mfano mmojawapo wa matusi ni upi mkuuNaam watu wakikosoa kwa hoja bila matusi sidhani kama kuna tatizo
Juzi kajipost yupo kwenye "Ndinga" zao na King'ora kikaonekana watu kumuuliza kaanza matusi nikaja tuu nae wa makumbusho...Tangu Buyobe amseti Mshabaha. Sijawahi muamini Maranja tena
Kasome post za Sativa.Toa mfano mmoja wa lugha ya kutukana na ilitolewa na nani. Naamini wewe siyo lucas utatoa mfano mmoja
Nilijua tu kuwa huna ujualo zaidi ya kufata mkumbo kama Lucas, Tlaat na Dokta wa Manesi. Umesema mwenyewe kuwa wanatoa lugha za matusi, ukiulizwa mfano unasema mtu atoke humu akatafuta post za Sativa. IdiotKasome post za Sativa.
Na tumkubali Samia ,chokor Abduli na makuma ninyi au sioTumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania
Ndo kusema kwamba ccm ya sasa ingemteka hata Mwl. JK Nyerere!?Yule hakosoi kwa kebehi na matusi mdio maana bado hana madhara yeye alikosoa anakosoa kwa hoja
Siasa ni mchezo mchafuJuzi kajipost yupo kwenye "Ndinga" zao na King'ora kikaonekana watu kumuuliza kaanza matusi nikaja tuu nae wa makumbusho...
Mi nishasema wa kumuamini ni wewe mwenyewe nafsi yako basiiSiasa ni mchezo mchafu
Hata wewe ni mfano mzuri wa mwanachadema mwenye matusi. Hakuna haja ya kutaja mtu mwingine. Wewe ni mfano hai.Nilijua tu kuwa huna ujualo zaidi ya kufata mkumbo kama Lucas, Tlaat na Dokta wa Manesi. Umesema mwenyewe kuwa wanatoa lugha za matusi, ukiulizwa mfano unasema mtu atoke humu akatafuta post za Sativa. Idiot
Thibitisha Uanachadema wake?Hata wewe ni mfano mzuri wa mwanachadema mwenye matusi. Hakuna haja ya kutaja mtu mwingine. Wewe ni mfano hai.
Hakuna ulazima wa mimi kuthibitisha.Thibitisha Uanachadema wake?
Tuliza matako sasa...Hakuna ulazima wa mimi kuthibitisha.
Kawaida yenu kutukana... nikiwaambia mtume namba zenu inbox tupange kuonana ili tutukanane uso kwa uso mnaogopaTuliza matako sasa...
Tusi lipo wapi hapo?Kawaida yenu kutukana... nikiwaambia mtume namba zenu inbox tupange kuonana ili tutukanane uso kwa uso mnaogopa
Wee kumbe??Mnyika kitambo mbona
Itakua kweliJiulize tu kwa nini hapati misukosuko