Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?
Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
Umewahi kuona Middle East kuna Demokrasia? Ndiyo urithi wao, dictatorshipDemokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?
Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
Nimesema Middle East, siyo AsiaMalaysia na Indonesia wana demokrasia
Hahaha demokrasia ipo Venezuela na USAUmewahi kuona Middle East kuna Demokrasia? Ndiyo urithi wao, dictatorship
1. Udini.
Hao mashehe-ubwabwa wa Batwaka wakishajua alieko iluku ni dini yao huwa wanaona ni fursa ya 'kueneza dini'. Hizo mambo ya demokrasia, utawala bora kwao si hoja tena. Mission ni ileile - ni ama uwe hiyo dini au uuliwe. Australia na UK wanalia na kusaga meno saivi.
2. Hawana elimu.
Wewe chukuwa tu Daftari ya Mazoezi geuza nyuma muite kiongozi wao muimbie tebo ya 3 uone kama hajaanza kupotea kuanzia kwenye 3x2.
Andika mara 1000 itabadirika kua ukweliWaislamu ndo wamekuletea Uhuru then unawadharau !!!?
Huo ndo ukweliAndika mara 1000 itabadirika kua ukweli
Ndo mnauzia Oman nchi hamna akili nyie. Safari hii kitaumana. Hakuna Mtanganyika atatolewa makende tena kwa ajili ya kupelekwa utumwani Oman.Waislamu ndo wamekuletea Uhuru then unawadharau !!!?
π π π Mbona mnawafanya waislam mazuzu sana wajameni? Eti waache wale bata.... So waislamu wanakula bata gani ambazo Wala kitlmoto wanazikosa. Waislam huyu mpuuzi anawafanya mazuzu mno, amkeni.WAISLAMU WAACHE WALE BATA KWAKUWA WALIFANYA KAZI KUBWA SANA KUPAMBANIA UHURU WA HII NCHI .
WAACHENI WALE BATA .
DINI YA UISLAM HAINA SHIDA INASEMA USIINGIE KATIKA VITA AMBAYO UTAISHIA KUULIWA KAMA KUKU
Ndo mnauzia Oman nchi hamna akili nyie. Safari hii kitaumana. Hakuna Mtanganyika atatolewa makende tena kwa ajili ya kupelekwa utumwani Oman.
Venezuela ni kama Tanzania, Maduro huiba kura, na kuwanyanyasa wapinzani. Marekani anataka kuibadirisha Ven kuwa demokrasiaHahaha demokrasia ipo Venezuela na USA
kazi ya kuhubiri siasa ni ya wanasiasa,Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?