Ila viongozi wa siasa kutumia majukwaa ya kidini kufanya siasa ni sawa au sio. Bro there is no way unaweza kutenganisha dini na siasa.kazi ya kuhubiri siasa ni ya wanasiasa,
kazi ya kuhubiri masuala ya kidini ni wajibu wa viongozi wa dini
hakuna haja ya watu wa kuhubiria watu na kuwapeleka kwa Mungu kubabaika na siasa.
hiyo ni nonsense.
kama umeshindwa kuhubiri dini yako, ingia kwenye siasa katika ukamilifu, sio leo unahubiri siasa kesho unahubiri porojo madhabahuni
Waziri Tlaatla!!!!!!!!!!kazi ya kuhubiri siasa ni ya wanasiasa,
kazi ya kuhubiri masuala ya kidini ni wajibu wa viongozi wa dini
hakuna haja ya watu wa kuhubiria watu na kuwapeleka kwa Mungu kubabaika na siasa.
hiyo ni nonsense.
kama umeshindwa kuhubiri dini yako, ingia kwenye siasa katika ukamilifu, sio leo unahubiri siasa kesho unahubiri porojo madhabahuni
Hayo madai yako yote hapo Samia ameyakuta na ataondoka atayaachaDemokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?
Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
Uongo, uislamu hausapoti democracy uongo huo umeutoa wapi?Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?
Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
Hiyo Kaz kapewa na nani?Venezuela ni kama Tanzania, Maduro huiba kura, na kuwanyanyasa wapinzani. Marekani anataka kuibadirisha Ven kuwa demokrasia
Tanzania kuna mashekh wengi wa kutengeneza kwa ajenda maalumu ...ndiyo kama hao wa bakwataDemokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?
Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
Hizo jumuia za CCM nazo mnataka zikinzane na misimamo ya chama chao? Nyerere aliianzisha BAKWATA kwa lengo la ku-contain radicalism ndiyo maana kuna time Waislamu walioustukia mchezo huo walianzisha BALUKTA ikapata nguvu sana lakini wakawa radicals waliopitiliza serikali ikaifuta, wakawasambaratisha na wale financiers wao wakakutana na ya kukutana nayo wakaona bora kuendelea kuwa chawa alimradi mkono uende kinywani. BAKWATA ni kikundi cha maslahi binafsi ya viongozi na si zaidi ya hapo. Mufti yuko kiserikali zaidi na si kitaasisi ya dini per se.Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?
Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
Siasa ni uongo uongo na kuteka akili za watuIla viongozi wa siasa kutumia majukwaa ya kidini kufanya siasa ni sawa au sio. Bro there is no way unaweza kutenganisha dini na siasa.
ninajojua mimi kitaalamu ni kwamba siasa ni maisha,Ila viongozi wa siasa kutumia majukwaa ya kidini kufanya siasa ni sawa au sio. Bro there is no way unaweza kutenganisha dini na siasa.
Kuna watu waliamua kuchagua upande.Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?
Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
KweliDemokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?
Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
Hawa masheikh wa bakwata maisha yao yote yanaendeshwa na serikali ya CCM...chochote kinachohatarisha utawala wa CCM na wenyewe kinawahatarisha....kamwe hauwezi kuwasikia wakiikomalia serikali kuhusu utekaji, demokrasia na utawala bora...mfano rahisi tu ni walivyonyuti issue ya MKIRUDemokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?
Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
Kusapoti demokrasia, utawala Bora ni kuunga mkono mo29?Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?
Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
Uislamu na DEMOKRASIA ni vitu viwili tofauti kwenye uislamu hakuna kitu kinaitwa DEMOKRASIA...Uongo, uislamu hausapoti democracy uongo huo umeutoa wapi?
Nakubalina na ww ni kweli every living human being is a political animal, means siasa ni sehemu ya maisha ya bibadamu.ninajojua mimi kitaalamu ni kwamba siasa ni maisha,
na kila binadamu ni mwanasiasa.
hawa kuhubiri dini na wale kuhubiri siasa ni ustaarabu wa kibinadamu katika mgawanyo wa majukumu na ndio maana ukijifanya yote unaonekana wewe ni mtu wa fujo tu na daima wanaochanganya hayo mambo huharibu na kuharibikiwa kama alivyochanganyikiwa fuska gwajima, na nadhani hata mzinifu kitima anaelekea huko huko.
neno la Mungu likikulemea kulihubiri kwasababu watu hawakuelewi kwasababu ya ufuska wako, achana naolo jiunge kwenye siasa in full. Sio unatukana kwenye majukwaa ya kisiasa halafu unakimbia kuficha madhabahuni, hiyo ni nonsense
Kulingana na uislamu mfumo gani wa utawala ndio sahihi kwa nchi??Uislamu na DEMOKRASIA ni vitu viwili tofauti kwenye uislamu hakuna kitu kinaitwa DEMOKRASIA...
DEMOKRASIA ni mfumo ulioletwa na makafiri wa kimagharibi ili kuendelea kutawala wajinga
Waislam walikuwa miongoni mwa makundi muhimu yaliyopigania uhuru wa Tanganyika pamoja na wengine.”WAISLAMU WAACHE WALE BATA KWAKUWA WALIFANYA KAZI KUBWA SANA KUPAMBANIA UHURU WA HII NCHI .
WAACHENI WALE BATA .
DINI YA UISLAM HAINA SHIDA INASEMA USIINGIE KATIKA VITA AMBAYO UTAISHIA KUULIWA KAMA KUKU