Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,411
- 2,700
Shida kubwa ya hao mashekhe ni njaa na uroho, demokrasia ni mapambano ya kudai HAKI na usawa.sasa wewe uliona wapi mtu mwenye njaa na uroho akawa mpigania haki?Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?
Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
HakikaWaislam walikuwa miongoni mwa makundi muhimu yaliyopigania uhuru wa Tanganyika pamoja na wengine.”
Ila si hoja kuwa ndio walileta uhuru BIG NOHakika
Ila si hoja kuwa ndio walileta uhuru BIG NO
Wakristo walikuepo
Wenye dini za asili walikuepo
Huna hojaSOMA HISTORIA YA HII NCHI WAISLAMU KAZI NI KUBWA SANA MKUU NA HAIWEZI IKAFANANISHWA NA HAO WAANDIKA WARAKA TEC N.K
Huna hoja
TANU ilikuwa wazi kwa Waislam, Wakristo na wengine
Swali: Kama uhuru uliletwa na Waislam, kwa nini harakati zilifanyika kupitia TANU, si chama cha dini?
Huna uwezo wa kutengeneza hojaMTAFUTE MZEE MOHAMMED YULE WA JF ATAKUPA KITABU
Stereotype diseaseHuna uwezo wa kutengeneza hoja
WAISLAMU WAACHE WALE BATA KWAKUWA WALIFANYA KAZI KUBWA SANA KUPAMBANIA UHURU WA HII NCHI .
WAACHENI WALE BATA .
DINI YA UISLAM HAINA SHIDA INASEMA USIINGIE KATIKA VITA AMBAYO UTAISHIA KUULIWA KAMA KUKU
Naona mtoa mada anapuyanga tu uongo mtupuUislamu na DEMOKRASIA ni vitu viwili tofauti kwenye uislamu hakuna kitu kinaitwa DEMOKRASIA...
DEMOKRASIA ni mfumo ulioletwa na makafiri wa kimagharibi ili kuendelea kutawala wajinga
BAKWATA ni jumuia ndani ya CCM hivyo mashehe wake wanasapoti kila upumbavu unaofanywa na chama chao kwa vile huko ndiyo wanalipwa fedha inayowaweka mjini.Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?
Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki ya uchaguzi huru katika nchi?
Bakwata siyo uislam, Hii ni Jumuiya ya CCM Iliyoanzishwa na Julius Nyerere na Paulo BomaniWAISLAMU WAACHE WALE BATA KWAKUWA WALIFANYA KAZI KUBWA SANA KUPAMBANIA UHURU WA HII NCHI .
WAACHENI WALE BATA .
DINI YA UISLAM HAINA SHIDA INASEMA USIINGIE KATIKA VITA AMBAYO UTAISHIA KUULIWA KAMA KUKU