Kwanini matajiri wa China na Arab hawaasili (Adoption) watoto weusi kama Wazungu? Daah, God bless America

Huyo al amoud kaachwa na dangote kwa zaidi ya 1b usd ambaye ni pure black tofauti na yeye (al amoud) ambaye ni multi racial sababu hata kwenye list ya black billionares hayupo na hata huko saudia ni ameamia tu. So usimpe credit sana kumfananisha na sisi blacks ni sio mwenzetu
 
Al Amoud baba yake alikuwa bilionea wa kiarabu, mama yake ndie alikuwa African kutokea Ethiopia, Ni rahisi muarabu kuoa mwanamke mweusi kuliko vice versa

baba wa Sultan Qaboos bin Said, Said bin Taimur, alikuwa wa asili ya Kiarabu na alitoka kwenye ukoo wa Al Said, ambao umekuwa ukitawala Oman tangu katikati ya karne ya 18. Ukoo wa Al Said unahusiana na asili ya kiarabu hasa Yemen, na ni sehemu ya jamii kubwa ya Kiarabu.

Waafrika wengi uarabuni wanafanya kazi za ndani, kubeba box, drivers, usafi, n.k. kazi premium kuna waarabu wengi, mifano halisi ni dada zetu wanaopelekwa huko uarabuni kufanya kazi za ndani na malalamiko kibao ya kunyanyaswa, Nenda ulaya au Marekani kuna kitu kinaitwa DEI, yani watu weusi wanapewa kazi hata kama wana sifa ndogo ilimradi ofisi kuwe na mchanganyiko rangi ya ngozi, jinsia, walemavu, n.k.

Uarabuni kuna neno limezoeleka kutuita watu weusi "Abeed" yaani "mtumwa", Ukienda ulaya au Marekani wazungu walikatazwa kutumia hayo majina, wanaodiriki wanashushiwa kipigo
 
Vipi ukoo wa Hawsawi Saudia? Naona umeuruka hapo kwenye Exaplanation yako, asili yake Sio Nigeria? Je kuna Ukoo wowote wa Mtu Mweusi dunia ya leo unaweza kujivunia MA Engineer, Madaktari, MA CEO. SCIEntist na wengineo kushinda huo? Kama upo utaje.

Na mwarabu akioa mweusi, mwanae akaoa mweusi, na mjukuu, akaoa mweusi, kitu kuu akaoa mweusi still huyo kwenu nyie watu weusi sio mtu mweusi?
 
Ndio maana nimekwambia wanapokezana, inategemea na mwaka na mwaka, na Dangote Yupo ndani ya Africa, hakuna mweusi Ulaya, Marekani ama popote pale nje ya Africa tajiri kumshinda Al Amoud.

Na mulivyo wabaguzi mbona wamarekani ambao wame mix Weusi na uzungu bado muna wa adress kama weusi ila walioachanganya uarabu na weusi sio weusi?
 
Waarabu ni watu wapuuzi sana mkuu..
 
Wamarekani weusi huitwa kisheria Africa Americans na sio Nigger tena kama zamani..
 
Hiyo ni kweli Chinese ni wabaguzi sana
Kuna wale wanaosema waarabu ni ndugu zaoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ila ukiwauliza ni nchi gani ungependa kuishi watakuambia Uingereza, Marekani, Australia, Canada na Norway.
FaizaFixy ukimwaambia nitakupeleka Sudan, Somalia, Lebanoni au Gaza ukaishi kama raia huko atagomaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahahaaaa balaa mkuu..
 
Mamia ya waarabu kutoka Syria wanakufa majini wakienda ulaya kutafuta maisha mazuri
kwanini wasingekimbilia kwenye nchi za kiarabu ambako kuna maisha mazuri?
Uarabuni kuna maisha mazuri? Ni kichaa tu na mtu ambaye anataka kazi za ndani ili arudi maiti atakuelewaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Angalia lifestyle ya ndugu zako black Americans utajua kwanini hawa watu hawataki kuchafua jamii zao na vitu vya kijinga na jamii ya hovyo kama watu weusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…