GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 1,398
- 5,198
Calling a jewish man who rarely and spasmodically intermingled with uncircumcised gentiles of Rome a bishop of Rome and a Pope, is an excessive and blatant anachronistic misnomer.Mjinga ni wewe unayesoma biblia kama kitabu cha hadithi.
Kwa kuwa umechagua ujinga, ishi nao ili ufaidi matunda yake.
Umekopi ujinga ukidhania ni maarifa.Calling a jewish man who rarely and spasmodically intermingled with uncircumcised gentiles of Rome a bishop of Rome and a Pope, is an excessive and blatant anachronistic misnomer.
Also denying that the Bible is a history text, is ignorance on a whole new level. It's ignorance on steroids I suppose. Bloody hell ! What wine have you been binging that you fail to comprehend the obviousness of history ?
Askofu wa kanisa la Yerusalemu alikuwa ni Yohana, siyo Petro. Petro alikuwa mtume kwa Wayahudi na Paulo alikuwa ni mtume kwa mataifa.Umekopi ujinga ukidhania ni maarifa.
Ungekuwa unasoma vizuri biblia, ungegundua kuwa kulikuwa na mabishano miongoni mwa mitume ambao walikuwa Wayahudi, juu ya kuufungamanisha ukristo na desturi za kiyahudi, hasa tohara.
Na mwisho iliamliwa na kiako cha mitume kuwa wasio wayahudi wasilazimishwe kufuata desturi za wayahudi kama sharti la kuwa Wakristo. Na ndiyo msingi wa mafunfisho ya mitume kuwa tohara ya mwili haikuwa na umuhimu wowote katika ukristo, na kuwa wakristo walistahili kutahiri roho zao kama sharti muhimu la ukristo, nayo kuacha maisha ya dhambi.
Ufahamu kuwa kwenye ukristo, kwa kadiri ya mafundisho ya mitume, tohara ilibakia kuwa desturi ya wayahudi isiyokuwa na mahusiano na ukristo.
] In the Epistle to the Galatians, Paul warned Gentile Christians that the advocates of circumcision were "false brothers" (Gal 2:4),[5] and wrote: "Are you so foolish, that, whereas you began in the Spirit, you would now be made perfect by the flesh?" (Gal 3:3); he also wrote: "Listen! I, Paul, am telling you that if you let yourselves be circumcised, Christ will be of no benefit to you" (Gal 5:2). He accused circumcision advocates of wanting to make a good showing in the flesh (Gal 6:12–13), and of glorying or boasting of the flesh (Gal 6:12–14).[12][7][53] Paul in his letters fiercely criticized the Judaizers that demanded circumcision for Gentile converts, and opposed them;[12][7][9][10][53] he stressed instead that faith in Christ constituted a New Covenant with God,[12][7][9][10] a covenant which essentially provides the justification and salvation for Gentiles from the harsh edicts of the Mosaic Law, a New Covenant that did not require circumcision[2][12][7][9][10][53] (see also Justification by faith, Pauline passages supporting antinomianism, Abrogation of Old Covenant laws).
See also: Primacy of Simon Peter
[https://upload]St. Peter holding the Keys of Heaven, by Rubens
According to Acts, Simon Peter condemned required circumcision of converts.[55]
Tembea kotekote huo ndio ukweli vatcan ndiyo inayo control dunia kupitia Jesuit hao wapo kila eneo. Nakuongezea nahili Hao Jesuit si lazima wavae majoho ya kipadri wao wanaweza kuwa viongozi wa kiserikali au hata kuwa viongozi wa kidini hata zile ambazo si za kikatoliki. Kuna barua aliandika Abraham Lincoln kuhusu vita ya USA ile ya mwaka 1861 Lincoln alieleza vita hii ilisababishwa na Vatcan ili kuzibiti America na mwisho wa siku Lincoln aliuawa na tangu wakati huo kiongozi yoyote anaenda tofauti na Vatican huondolewa au kuawa. Sasa kama waliweza kudhibiti taifa kubwa kama America hivi vitaifa vidogo vitakuwa kwenye hali gani? Adolf Hitler kupitia kitabu cha Mein Kampf anasema chama chake kiliundwa kwa muundo wa vatcan na alipata msaada mkubwa kupitia jesuit.Nilipokuwa bado naishi kijijini wakati huo kuna mambo mengi nilikuwa ninaamini ni sisi tu wenye nguvu na influence kuliko jamii nyingine. Nilipokuja mjini ndipo nikafunguka macho kuwa kumbe nilikuwa nimejifungia chumba cha giza.
Hivyo na wewe upo Tz hapo kwavile kanisa Katoliki ndilo kubwa basi unaamini ndilo linaloendesha duniani . Nikushauri tu kuwa utoke nje hasa Kifikra maana najua physically huwezi kwenda hata hapo Zanzibar, toka ndipo utakapojua ukweli ulivyo.
Yes Kanisa Katoliki ni kanisa Kubwa duniani na lina heshima yake LAKINI HAYA MENGINE MNAONGEZEA CHUMVI SANA NA HASA NDUGU ZANGU NYIE MBUMBUMBU WA TANZANIA
Yeah in short ROMAN EMPIRE haikufa. Iligawanyika tu ikajificha. But still Ina operate kupitia Roman Catholic Church.Vatcan ndiyo inayo control dunia, ni kwamba roma empire inatawala dunia kupitia katoliki hakuna mtawa yoyote katika dunia hii anaweza kushindana nao. kupitia jesuit wameweza kuidhibiti dunia yote.
Narudia kukuambia hayo ni mawazo yako tu ya ugali na maharage ya hapo Tanganyika. IPO SIKU MTASEMA YANGA KUCHEZA FAINALI ZA CAF NI NGUVU YA KANISA KATOLIKI NA VATCAN.Tembea kotekote huo ndio ukweli vatcan ndiyo inayo control dunia kupitia Jesuit hao wapo kila eneo. Nakuongezea nahili Hao Jesuit si lazima wavae majoho ya kipadri wao wanaweza kuwa viongozi wa kiserikali au hata kuwa viongozi wa kidini hata zile ambazo si za kikatoliki. Kuna barua aliandika Abraham Lincoln kuhusu vita ya USA ile ya mwaka 1861 Lincoln alieleza vita hii ilisababishwa na Vatcan ili kuzibiti America na mwisho wa siku Lincoln aliuawa na tangu wakati huo kiongozi yoyote anaenda tofauti na Vatican huondolewa au kuawa. Sasa kama waliweza kudhibiti taifa kubwa kama America hivi vitaifa vidogo vitakuwa kwenye hali gani? Adolf Hitler kupitia kitabu cha Mein Kampf anasema chama chake kiliundwa kwa muundo wa vatcan na alipata msaada mkubwa kupitia jesuit.
Kuelewa jambo ni mchakato siku nawe utaelewa namna mambo yalivyo.Narudia kukuambia hayo ni mawazo yako tu ya ugali na maharage ya hapo Tanganyika. IPO SIKU MTASEMA YANGA KUCHEZA FAINALI ZA CAF NI NGUVU YA KANISA KATOLIKI NA VATCAN.
Mimi ni Mtanzania lakini bamoja na kuishi nje muda mrefu nikiri kuna ujinga mwingi vichwani mwa sisi wabongo. Akili zetu hazina UWEZO WA KUCHAKATA TAARIFA NA KUUPATA UKWELI, WE DON'T THINK CRITICALLY. Tumejaa mawazo ya kichawichawi tu na illusions vichwani mwetu.
Yaani mpo Tandale akili yako inaamini VATCAN ndio inaongoza duniani na ndiyo inapanga Rais wa Marekani awe nani. Yaani wewe ujue hivyo halafu wamarekani wenye nchi yao wasijue.
Aisee huu upopoma ufanyeni hapohapo Tanganyika kuaminishana kuwa Kanisa Katoliki ndio mhimili wa nchi
Poor mind
Pumbavu ni wewe usiyejua lolote kuhusu masuala ya mikataba unatumiwa bila ya kujijua masikini ya Mungu.Hatutaki utumwa, yeyote yule anaweza kuja kuwekeza lkn mikataba iwe na kikomo, nyie mbona ni wapumbavu kupita kiasi, hamsikii, pumbavu kabsa.
Father Kitima na kundi lake wamechemka vibaya sana.Umeokoteza.
Hatujafika huko 2025 bado tuna miaka miwili. Ukweli ndio huo huyo Father ni mwanasiasa anayejificha nyuma ya TEC.Na atakayekuwa meneja wa Kampeni za Mama 2025 atakuwa nani? Una akili wewe?
You know minimum and pretend to know everything.Askofu wa kanisa la Yerusalemu alikuwa ni Yohana, siyo Petro. Petro alikuwa mtume kwa Wayahudi na Paulo alikuwa ni mtume kwa mataifa.
Huo waraka wa unaonukuaa hapa inaonesha hata hujaosoma vizuri. Paulo alimkemea Petro hadharani kwasababu hakupenda kujichanganya na wasiotahiriwa. Wagalatia 2: 11- 12
They feed you doctrines, you swallow and regurgitate them, like a Parrot.
It takes one to know one.You know minimum and pretend to know everything.