Umekopi ujinga ukidhania ni maarifa.
Ungekuwa unasoma vizuri biblia, ungegundua kuwa kulikuwa na mabishano miongoni mwa mitume ambao walikuwa Wayahudi, juu ya kuufungamanisha ukristo na desturi za kiyahudi, hasa tohara.
Na mwisho iliamliwa na kiako cha mitume kuwa wasio wayahudi wasilazimishwe kufuata desturi za wayahudi kama sharti la kuwa Wakristo. Na ndiyo msingi wa mafunfisho ya mitume kuwa tohara ya mwili haikuwa na umuhimu wowote katika ukristo, na kuwa wakristo walistahili kutahiri roho zao kama sharti muhimu la ukristo, nayo kuacha maisha ya dhambi.
Ufahamu kuwa kwenye ukristo, kwa kadiri ya mafundisho ya mitume, tohara ilibakia kuwa desturi ya wayahudi isiyokuwa na mahusiano na ukristo.
] In the Epistle to the Galatians, Paul warned Gentile Christians that the advocates of circumcision were "false brothers" (Gal 2:4),[5] and wrote: "Are you so foolish, that, whereas you began in the Spirit, you would now be made perfect by the flesh?" (Gal 3:3); he also wrote: "Listen! I, Paul, am telling you that if you let yourselves be circumcised, Christ will be of no benefit to you" (Gal 5:2). He accused circumcision advocates of wanting to make a good showing in the flesh (Gal 6:12–13), and of glorying or boasting of the flesh (Gal 6:12–14).[12][7][53] Paul in his letters fiercely criticized the Judaizers that demanded circumcision for Gentile converts, and opposed them;[12][7][9][10][53] he stressed instead that faith in Christ constituted a New Covenant with God,[12][7][9][10] a covenant which essentially provides the justification and salvation for Gentiles from the harsh edicts of the Mosaic Law, a New Covenant that did not require circumcision[2][12][7][9][10][53] (see also Justification by faith, Pauline passages supporting antinomianism, Abrogation of Old Covenant laws).
See also: Primacy of Simon Peter
[https://upload]St. Peter holding the Keys of Heaven, by Rubens
According to Acts, Simon Peter condemned required circumcision of converts.[55]