Kwanini matukio ya Ngono za Kuagana kabla ya Harusi yanashika kasi Tanzania?

Ninachokwambia ni migogoro ya kugombana tu kama mume na mke ndiyo watakuwa nayo, hata mpendane vipi lazima kuna viugombi vitokee.

Ila hiyo ya kubadilishana mke na mhuni au nyoka kukumbuka pori huikuti.

Naona hujanielewa
Wee unajuaje mambo ya familia za watu? Huwa unashinda nao 24/7??
 
Yule jamaa ni kichwa sana anastahili lile jina lake la "Mwanafalsafa"
 
Tatizo kubwa ni umasikini,ukikutana na binti anatoka familia ya kipato cha juu kwa asilimia kubwa unaounguza huo ujinga.
Masikini ana tamaa vibaya sana,masikini hana dhamana.
Maskini hana kiapo.
Kwa mfano unakuta binti tangu amezaliwa hadi anakuwa mtu mzima hajawahi kupewa laki 3 cash,siku akionyeshwa kibunda cha laki 5 anasahau kabisa kama ni mke wa mtu anatoa kiulaini kabisa.
Na kuna mwingine akiona mtu ana gari tu anaamini ni tajiri akipewa lift tu analiwa kiulaini hata bila kupewa kibunda.
Kuna washikaji fulani hivi wa kitaa huwaga wana michezo fulani hivi wakikuona una gari wanajenga urafiki wa karibu na wewe halafu wanakuwa wanakuazima gari siku za wikiendi kwenda kupigia misele ili kuwaokota mabinti walimbukeni kwa kuigiza kuwa wao ndio wamiliki wenyewe wanaiita gari kwa jina la "Hirizi ya mzungu"
 
Kwenye group la send off bibi harusi kawaadd maex zake na mara kwa mara anawakumbusha michango, we unazani kifuatacho ITV kitakuwa nini.
Hili lipo wazi,nipo kwenye magroup ya send off manne ya wadada(maex zangu)na wote ndo wahamasishaji wa michango

Wapo tayari kuliwa muda wowote nikiwahitaji aiseeeeeeeeeee!!
 
Usiombe bibi harusi akakuaga aise huwa anatoa penzi real vby mnooo na muagwaji huwa kuna kuwa na mzuka wa kufa raia mtt huwa anafinywa mpk unajiuliza hiz nguvu nimetoa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…