Kwanini matukio ya Ngono za Kuagana kabla ya Harusi yanashika kasi Tanzania?

Ex nae ana Ex wake
 
Kuna muda kumbe huwa unarudi kwenye factory settings..!! 😹😹
 
Ila inauma kinoma, siku ukibaini ukiwa na roho ndogo ni suicide au murder.
 
Hakuna jambo linaumiza kama hili. Baba levo alivyolisema bungeni kuna wabunge wanawake walitaka kulichukulia kiwepesi lakini hili ni zito sana

unaoitwa ukatili kwa mwanamke unaofanywa na mwanaume, siku ukifanyiwa uchunguzi makini watagundua chanzo kikubwa ni mwanamke mwenyewe

Hebu fikiria, umefunga ndoa, unaishi nae, unalala nae kitanda kimoja, huduma zote unatoa, anapata mimba, unalea mimba pamoja na kero zote za mimba, anajifungua, unapewa hongera kwa kupata mtoto, unahudumia mama na mtoto, mtoto anajifunza kuongea kwa kukuita "Baba", heka heka zoote za utotoni unazivumilia ukijua hata wazazi wako walizivumilia,

halafu dakika za jioooookni kabisa unakuja kugundua mtoto sio wako, kuna jamaa liko pembeni kipindi chote hicho lilikuwa linakuchora tu

Hivi hali kama hii wanaichukulia poa eeh???
 
Nikuulize jambo moja tu ukiangalia mabandiko ya humu jukwaani we unaona ni kina nani wa trauma?
 
Nikuulize jambo moja tu ukiangalia mabandiko ya humu jukwaani we unaona ni kina nani wa trauma?
Ni nyuzi chache za hapa jukwaani zina viashiria vya wahusika kuwa na trauma ya kweli. Kile ambacho mara nyingi kinaweza kuonekana kama ni trauma kwa wahusika ni "venting" tu. Ni hali ya wahusika kuelezea hisia zao kuhusu issues mbalimbali za kimahusiano lakini haimaanishi kwamba wana trauma. Pia ni makosa ku judge ni jinsia ipi kwa nyuzi za hapa jukwaani ina trauma zaidi kwasababu hautapata representative sample for obvious reasons. Wanawake wengi wa Kitanzania hawana utayari wa kuwa wa kwanza kufunguka siri za maisha yao kwenye umati uliojaa wanaume ambao tayari wapo very negative kuhusu wanawake.
 
Au sio!!
 
Haya mkuu mie hizi issue za kutafuta nani ni perfect kati ya me na ke zimeshanichosha

Utakatifu mliojivika wanaume hauna kiwango aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…