Kwanini matukio ya Ngono za Kuagana kabla ya Harusi yanashika kasi Tanzania?

Mama huwa anasema madhaifu ya baba ila baba kamwe hasemi madhaifu ya mama ndio maana tunawaona mama zetu ni malaika..

Kilichoongezeka ni kiwango tu ila hakuna jipya
Wanaume tumefundishwa kuwa hivyo tangu tukiwa wadogo

Ndiyo maana ikitokea mume akafukuzwa kazi na kuanza kuhudumiwa na mkewe ndani, baada ya mwezi mmoja tu Kila mtu atapewa taarifa zako kuanzia kwenu hadi kwa mkeo

Lakini imagine sisi tunahudumia familia zetu Kila siku bila manung'uniko
 
Jamani Kuna mwanamke ninataka nimuoe... kwasasa tupo kwenye mahusiano tu na hata mahari sijatoa yeye yupo songea chuoni mimi nipo masasi sasa naomba kama Kuna mtaalamu nitampa 50000 nataka aniwekee mfumo wa kwamba kila meseji na simu anayopigiwa mimi niwe naona huku
 
Utakufa kwa presha
 
Kwanini unataka uwe unasoma meseji zake?
 
Maisha ya uwoga uwoga siyo maisha kabisa, marriage is for strong minded men.
 
Ni kweli, toka udogo tunafundishwa kubeba majukumu, kustahimili maumivu, na kutokupenda kuropoka.

Ndio maana wanaume wengi huwa tunakuja kuwaelewa wazee wetu zaidi pale tunapobeba majukumu kama yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…