Kwanini Mawakili wengi binafsi wanashangilia na kukimbilia kusimamia kesi za wanaodaiwa kutukana au kuikosoa Serikali?

Hupendi watu watetewe haki zao? Hupendi uhuru wa mawazo? Unataka kilamtu asifu na kuabudu kama wewe?
Vijana critical wanaohoji hata Hayati Nyerere aliwasifu na vimbelembele wanaojikomba na kujipendekeza alisema wataliua taifa...
 
Ah mimi nilimuelewa sana mbona wapo wengi wanaomcruticize rais na hawajawahi chukuliwa hatu sema ni wanyonge tu ndo wanaoonewa
Kucriticize na kutukana watu ni vitu tofauti, mzee kucriticize raisi kuna tweep anayemfikia MMM maspana? (Huyu yeye atatukana tweeps wengine comments ila sio post yake kuu iwe ya kutukana viongozi) huyu dogo sukununu wanyooshe ipasavyo akirudi uraiani awe na nidhamu kiasi
 
Ni kwa kuwa ni kesi nyepesi sana na ngumu kwa serikali ku-define matusi ninini na kutukana ninini!
NI kesi ngumu sana serikali kushinda labda kwa figisu mahakamani!
 
Nilimsikia kamanda Muliro anadai mojawapo ya sababu kubwa ya kumkamata huyo Sukunuku kisa ameandika " Makamba amepanga kumchinja Samia 2025" hapo hata nikimchukua bibi yangu kutoka Namtumbo anayelima tungule kama wakili anashinda kesi asbhi tu.
 
Tanzania mtu akiwa anatukana na kudhalilisha watu,anaonekana shujaa kwa baadhi ya wajinga wanaenda mbali zaidi na kusema ni Uhuru, tunatengeneza kizazi cha ovyo sana kwa kisingizio cha Uhuru. Yaani utukane matusi usingizie uhuru?
Mkuu, alitukanaje? weka "tusi" hapa
 
Shida wakishakukamata hadi waje kutangaza wanakushikilia ni karibu wiki 1 au zaidi ya wiki. Hapo katikati unafanyiwa vitendo visivyo vya kibinadamu. Ukitoka hapo kesi umeshinda lakini utu wako umeshatwezwa unakuwa kama mdude vile. Sasa unapata faida gani au unaona sifa umetetewa na mawakili wengi wakati umeshafanyiwa ukatili wa kutosha? Au unadhani huko behind the scenes hao mawakili wanakuwepo?
 
"NO ONE IS ABOVE THE LAW", the President is.
the Speaker of the National Assembly is.
may be I too!
 
Hawana ueledi,double standard.
Akili ndogo Sana hao.
Ifikie waone aibu,Kwa maana inajulikana mpaka Sasa kuwa ccmB.
So,hawana jipya,tunawazuuuuuum
 
Amesema "watashughulikiwa", kwani wewe Lax umeelewaje neno "kushughulikiwa?
 
Huyi jamaa akitoka sijui kama atatumia tena mitandao

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…