Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?

Mbweni inakoroma kivipi?
 
Sasa hivi hapakamatiki
Ila mipango miji tu hawazingatia
Hapo unapopaona panaitwa goba Centre zamani palikuwa panaitwa muembe madole,na kulikuwa na usafiri wa landrover na ilikuwa moja inapiga route hadi tangi bovu
Watu huko zamani walikuwa wanauza maeneo mpaka 15,000 ,20000
Ila huko bado kuna kijiji fulani kimebakia cha asili watu hapo wakuda sana ,jina lake limentoka kdg

Ova
 
Duh wapi hapo
Wanauza maeneo?
 

Hivi tangi bovu lilikua tang la aina gani, na lilikua linahudumia watu gani I.e community or nyumba binafsi.
 
Hivi tangi bovu lilikua tang la aina gani, na lilikua linahudumia watu gani I.e community or nyumba binafsi.
Tangi Bovu tumelikuta bovu hivyo hivyo lina kutu.

Pale kulikuwa na mashamba, shamba la bibi yangu lilikuwa upande wa pili hapo palipokuwa na Tangi Bovu.

Hivyo inaonekana lilitumika katika kuhudumia nyumba ya shambani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…