Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Sasa hivi hapakamatikiGoba huko kulikuwa mashamba ya watu,huko mtu anakuambia anaenda shambani tu kufukuza ngedere
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi hapakamatikiGoba huko kulikuwa mashamba ya watu,huko mtu anakuambia anaenda shambani tu kufukuza ngedere
Ova
Mbweni inakoroma kivipi?Sio kweli,katika sehemu ambazo zimepoteza ushawishi ni masaki.masaki kuna jina kubwa lakini uhalisia ni tofauti.majengo ya kizamanu na hayashtui.
Lakini mbezi bado ni ya moto,ina jina linaendana na uhalisia,kumetulia na kumekaa kishua.
Japo kwa sasa,sehemu ambayo inakoroma ni mbweni,huku kama una ugonjwa wa moyo sikushauri ufike.
NgojawajekukukujibuMtu unaanzaje kuishi Mbezi Beach? Umekuwa mvuvi?
Uzunguniuoomkuuu akusemekiMbweni inakoroma kivipi?
Ila mipango miji tu hawazingatiaSasa hivi hapakamatiki
Ina viwango vya kutishia ward yoyote kwa hapa dsm.Mbweni inakoroma kivipi?
Yap ila sshv duh.Goba huko kulikuwa mashamba ya watu,huko mtu anakuambia anaenda shambani tu kufukuza ngedere
Ova
Duh wapi hapoIla mipango miji tu hawazingatia
Hapo unapopaona panaitwa goba Centre zamani palikuwa panaitwa muembe madole,na kulikuwa na usafiri wa landrover na ilikuwa moja inapiga route hadi tangi bovu
Watu huko zamani walikuwa wanauza maeneo mpaka 15,000 ,20000
Ila huko bado kuna kijiji fulani kimebakia cha asili watu hapo wakuda sana ,jina lake limentoka kdg
Ova
Kumbe🤔Goba Kulangwa na Tegeta A bado kuna maeneo.
Kulangwa viwanja milion 30+.
Tegeta A milion 8, 9, 10
Mbweni..Mkuu ufafanuzi, Mbweni kuna nini? Na kwann mgonjwa wa moyo asifike??
Enzi hizo Tangi Bovu lipo bado.
Nimerudi likizo Mbezi Beach nimeshangaa kule juu nimekuta kuna uswekeni, nimekuta vibanda vibanda Bagamoyo Road kama uswekeni.
Mbezi Beach zile character za ushuani zimeondoka, ingawa kuna mitaa ina majumba bado.
Mvua ikinyesha kidogo tu mafuriko.
Siku ya kwanza naiona Bagamoyo Road mchana hata sikuitambua. Imekuwa uswaziii. Vibanda vibanda kila sehemu.
Hivi tangi bovu lilikua tang la aina gani, na lilikua linahudumia watu gani I.e community or nyumba binafsi.Enzi hizo Tangi Bovu lipo bado.
Nimerudi likizo Mbezi Beach nimeshangaa kule juu nimekuta kuna uswekeni, nimekuta vibanda vibanda Bagamoyo Road kama uswekeni.
Mbezi Beach zile character za ushuani zimeondoka, ingawa kuna mitaa ina majumba bado.
Mvua ikinyesha kidogo tu mafuriko.
Siku ya kwanza naiona Bagamoyo Road mchana hata sikuitambua. Imekuwa uswaziii. Vibanda vibanda kila sehemu.
Tangi Bovu tumelikuta bovu hivyo hivyo lina kutu.Hivi tangi bovu lilikua tang la aina gani, na lilikua linahudumia watu gani I.e community or nyumba binafsi.
Umefungwa UziMaskin wengi wanaishi mbezi beach saivi
Wakati enzi hizo ilikuwa Sehemu ya madon