Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?

Sio kweli,katika sehemu ambazo zimepoteza ushawishi ni masaki.masaki kuna jina kubwa lakini uhalisia ni tofauti.majengo ya kizamanu na hayashtui.
Lakini mbezi bado ni ya moto,ina jina linaendana na uhalisia,kumetulia na kumekaa kishua.

Japo kwa sasa,sehemu ambayo inakoroma ni mbweni,huku kama una ugonjwa wa moyo sikushauri ufike.
Mbweni inakoroma kivipi?
 
Sasa hivi hapakamatiki
Ila mipango miji tu hawazingatia
Hapo unapopaona panaitwa goba Centre zamani palikuwa panaitwa muembe madole,na kulikuwa na usafiri wa landrover na ilikuwa moja inapiga route hadi tangi bovu
Watu huko zamani walikuwa wanauza maeneo mpaka 15,000 ,20000
Ila huko bado kuna kijiji fulani kimebakia cha asili watu hapo wakuda sana ,jina lake limentoka kdg

Ova
 
Duh wapi hapo
Wanauza maeneo?
 
Enzi hizo Tangi Bovu lipo bado.

Nimerudi likizo Mbezi Beach nimeshangaa kule juu nimekuta kuna uswekeni, nimekuta vibanda vibanda Bagamoyo Road kama uswekeni.

Mbezi Beach zile character za ushuani zimeondoka, ingawa kuna mitaa ina majumba bado.

Mvua ikinyesha kidogo tu mafuriko.

Siku ya kwanza naiona Bagamoyo Road mchana hata sikuitambua. Imekuwa uswaziii. Vibanda vibanda kila sehemu.

Hivi tangi bovu lilikua tang la aina gani, na lilikua linahudumia watu gani I.e community or nyumba binafsi.
 
Tangi Bovu tumelikuta bovu hivyo hivyo lina kutu.

Pale kulikuwa na mashamba, shamba la bibi yangu lilikuwa upande wa pili hapo palipokuwa na Tangi Bovu.

Hivyo inaonekana lilitumika katika kuhudumia nyumba ya shambani.
 
Back
Top Bottom