Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?

Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?

Wameishi mbez ipi mkuu? Maana zipo mbili tofauti.

Wewe umesema mbezi au aina mbili za Mbezi? Unajua vijana mnafeligi mthihan kwa ajili ya Ujinga kama huu.

Mbezi beach zote zimeishi maskini miaka yote, nenda rudi, hakuna mahali utamkosa maskini, labda Nashvile ndo si kuona.

Hata LA carlifonia kati, San Diego down town, China town, maskini wapo tu utakutana nao wanaishi humo humo wanachanganyana kama kawaida.

Kwa Zena, upande wa juu wa BOT kumekuwa na mafukara miaka sogea twende turudi, maskini wamejaa.

BOT Cota opp na gate pana kibanda na genge, mle ndani wanaishi nani? Maskini lukuki, upande wa chini opp na sheli mkabala na Kakobe kuna gorofa kuu kuu mskini wanalipa 50,000 wanakaa.

Zunguka kama unaenda beach, maskini wamejaa wa kutosha, wanakula upepo wa bahari kwenye mapagala.

Mkinunua viwanja kwao wataenda, ukijenga watarudi mdogo mdogo kulinda, mwishowe wanaoa, wanahamia hapo hapo na kuanza kukuloga usimalizie nyumba.
 
Mbezi beach ilikuwa pori tu huko
Wakazi wenyewe huko unawahesabu
Shukuru kuiona hiyo mbezi beach ya leo....
Sema tu wamefeli kidogo kwenye mipango miji ya ujenzi

Ova
Hata stand nako si kulikuwa pori vile vile mkuu. Ila Mbezi beach ilianza kujulikana kabla ya Mbezi kimara. Lakini leo hii watu wengi hawaifahamu Mbezi beach.
 
Wewe umesema mbezi au aina mbili za Mbezi? Unajua vijana mnafeligi mthihan kwa ajili ya Ujinga kama huu.

Mbezi beach zote zimeishi maskini miaka yote, nenda rudi, hakuna mahali utamkosa maskini, labda Nashvile ndo si kuona.

Hata LA carlifonia kati, San Diego down town, China town, maskini wapo tu utakutana nao wanaishi humo humo wanachanganyana kama kawaida.

Kwa Zena, upande wa juu wa BOT kumekuwa na mafukara miaka sogea twende turudi, maskini wamejaa.

Mkinunua viwanja kwao wataenda, ukijenga watarudi mdogo mdogo kulinda, mwishowe wanaoa, wanahamia hapo hapo na kuamza kukuloga usimalizie nyumba.
Mkuu mimi nafikiri wewe umesoma heading tu na kukimbilia ku comment. Kama ungesoma ndani ungeelewa nilichoandika. Uzi unazungumzia Mbezi beach na Mbezi Louis mkuu.

Yani kama mtihani basi ungefeli mapema sana mkuu 😀
 
Kweli ningefeli bro, kumradhi, ila mbezi luis na mbezi beach huwezi compare, Mbezi beach is way better.
 
Barabara zenyewe wamejengewa hivi karibuni tu
Watu tulikuwa tunaijuwa mbezi beach wakati huo wakazi ni wachache tu huko akiwemo malecela,mbezi pori tu
Shukuru kuiona hiyo mbezi ya leo ilivyo....zamani haikuwa hivyo
Watu wa mwanzo wote waliohamia huko lazima uibiwe

Ova
Enzi hizo Tangi Bovu lipo bado.

Nimerudi likizo Mbezi Beach nimeshangaa kule juu nimekuta kuna uswekeni, nimekuta vibanda vibanda Bagamoyo Road kama uswekeni.

Mbezi Beach zile character za ushuani zimeondoka, ingawa kuna mitaa ina majumba bado.

Mvua ikinyesha kidogo tu mafuriko.

Siku ya kwanza naiona Bagamoyo Road mchana hata sikuitambua. Imekuwa uswaziii. Vibanda vibanda kila sehemu.
 
Kweli ningefeli bro, kumradhi, ila mbezi luis na mbezi beach huwezi compare, Mbezi beach is way better.
Ok mkuu nimekuelewa. Lakini kwa leo nazungumzia umaarufu. Namaanisha kwa sasa ukitaja neno Mbezi bila kuweka neno beach au luis basi eneo la kwanza litakalowajia watu kichwani ni mbezi luis.

Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya 2000 kushuka chini, ambapo, 85% ya wakazi wa Dar kutoka katika wilaya zingine (mbali na hii ya sasa inayoitwa Ubungo) hawakuwa wanaifahamu au pengine kuijua Mbezi luis.
 
Back
Top Bottom