Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonde la mpunga pangevunjwa koteMsasani gani mkuu, hi hii ambayo kuna sehemu kigogo inangoja?
Wasubmbufu wote mjini hapa wana nyumba kule.Kwel Mbweni imejengwa sana, nasikia hadi namba 1 wa taifa ana mjengo wake wa ajabu huko Mbweni.
Wakidhani nyumba nzuri wanajenga wachaga tuu ,baada y kukuta kumbe ziko Hadi mikoani wakaona aibuKwanini unaona ilikuwa ni ushamba mkuu?
Wameishi mbez ipi mkuu? Maana zipo mbili tofauti.
Hata stand nako si kulikuwa pori vile vile mkuu. Ila Mbezi beach ilianza kujulikana kabla ya Mbezi kimara. Lakini leo hii watu wengi hawaifahamu Mbezi beach.Mbezi beach ilikuwa pori tu huko
Wakazi wenyewe huko unawahesabu
Shukuru kuiona hiyo mbezi beach ya leo....
Sema tu wamefeli kidogo kwenye mipango miji ya ujenzi
Ova
Mkuu mimi nafikiri wewe umesoma heading tu na kukimbilia ku comment. Kama ungesoma ndani ungeelewa nilichoandika. Uzi unazungumzia Mbezi beach na Mbezi Louis mkuu.Wewe umesema mbezi au aina mbili za Mbezi? Unajua vijana mnafeligi mthihan kwa ajili ya Ujinga kama huu.
Mbezi beach zote zimeishi maskini miaka yote, nenda rudi, hakuna mahali utamkosa maskini, labda Nashvile ndo si kuona.
Hata LA carlifonia kati, San Diego down town, China town, maskini wapo tu utakutana nao wanaishi humo humo wanachanganyana kama kawaida.
Kwa Zena, upande wa juu wa BOT kumekuwa na mafukara miaka sogea twende turudi, maskini wamejaa.
Mkinunua viwanja kwao wataenda, ukijenga watarudi mdogo mdogo kulinda, mwishowe wanaoa, wanahamia hapo hapo na kuamza kukuloga usimalizie nyumba.
Mkuu mimi nafikiri wewe umesoma heading tu na kukimbilia ku comment. Kama ungesoma ndani ungeelewa nilichoandika. Uzi unazungumzia Mbezi beach na Mbezi Louis mkuu.
Yani kama mtihani basi ungefeli mapema sana mkuu 😀
Enzi hizo Tangi Bovu lipo bado.Barabara zenyewe wamejengewa hivi karibuni tu
Watu tulikuwa tunaijuwa mbezi beach wakati huo wakazi ni wachache tu huko akiwemo malecela,mbezi pori tu
Shukuru kuiona hiyo mbezi ya leo ilivyo....zamani haikuwa hivyo
Watu wa mwanzo wote waliohamia huko lazima uibiwe
Ova
Doh,i mean mbweni.Mkuu unamaanisha Mbezi au Mbweni?
Ok mkuu nimekuelewa. Lakini kwa leo nazungumzia umaarufu. Namaanisha kwa sasa ukitaja neno Mbezi bila kuweka neno beach au luis basi eneo la kwanza litakalowajia watu kichwani ni mbezi luis.Kweli ningefeli bro, kumradhi, ila mbezi luis na mbezi beach huwezi compare, Mbezi beach is way better.